Hujawahi kupandwa na majini kwa sababu majini hayapo.
Hakuna majini.
Hao watu wanao amini majini yapo, si kwamba ni majini kweli, Bali wanasumbuliwa na ugonjwa ambao kisayansi unaitwa
Schizophrenia.
Schizophrenia ni hali ambayo mtu husikia sauti au kelele za viumbe ambao kiuhalisia havipo.
Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior. Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.
View attachment 3555164
Schizophrenia is a mental disorder characterized variously by hallucinations (typically, hearing voices), delusions and disorganized thinking.
Schizophrenia - Wikipedia
Schizophrenia - Wikipedia