Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Kwamba wenye majini wote wanaigiza au?Religion is a drug, religious leaders are the dealers, Believers are the addicts.
Sio kwamba huyo msichana karukwa na akili, ni wanafanya maigizo tu.
Hapo akitokea mtu akapiga risasi juu kwa ghafla, Utaona akili zinamrudi kwa haraka huyo msichana.
Hapo anaigiza tu.
Inawezekana ni ukweli π€π€japo Kuna watu wenye akili timamu kabisa utaona Kuna effect inawapataReligion is a drug, religious leaders are the dealers, Believers are the addicts.
Sio kwamba huyo msichana karukwa na akili, ni wanafanya maigizo tu.
Hapo akitokea mtu akapiga risasi juu kwa ghafla, Utaona akili zinamrudi kwa haraka huyo msichana.
Hapo anaigiza tu.
Wewe mpaka mwaka kuisha utakuwa umevurugwa vibaya mno maana hata hujijui upande uliokuwepoSijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui.
Msogeze upande wakoWewe mpaka mwaka kuisha utakuwa umevurugwa vibaya mno maana hata hujijui upande uliokuwepo
Sijawahi kuelewa kabisa alafu hii ni common kwa makanisa ya ki apostle, prophet, walokole ila kwa wakatoliki sio commonDini ni starehe tamu sana, ikikukolea unasahau starehe zingine
No one understands it wengi wanajibu based na Imani na circular reasoning hamna fact broWewe mpaka mwaka kuisha utakuwa umevurugwa vibaya mno maana hata hujijui upande uliokuwepo
Upande gani huoMsogeze upande wako
Uliokuwepo wewe kiongozi si umemuona haelew aende wapi πUpande gani huo
Shida yako ni kuwa kuna siku ukiamka hivi unakuja kusema Mungu yupo na ukiamka vile ndo kama hivi unasema huna uhakikaNo one understands it wengi wanajibu based na Imani na circular reasoning hamna fact bro
Kwa kweli, πππππReligion is a drug, religious leaders are the dealers, Believers are the addicts.
Sio kwamba huyo msichana karukwa na akili, ni wanafanya maigizo tu.
Hapo akitokea mtu akapiga risasi juu kwa ghafla, Utaona akili zinamrudi kwa haraka huyo msichana.
Hapo anaigiza tu.
Huu upande niliokuwepo mimi kuna siku anadai na yeye yupo upande huohuo na siku akiamka vibaya anatukanaUliokuwepo wewe kiongozi si umemuona haelew aende wapi π
Habari za majini zina aminiwa na watu wajinga na maskini tu.Kwamba wenye majini wote wanaigiza au?
ππHivi Seran ni mdada π