Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #21
I'm agonistic bro, sijui chochote na pia sijasimama upande wowote maana sijui ukweli uko wapi. Chukulia kama judgeShida yako ni kuwa kuna siku ukiamka hivi unakuja kusema Mungu yupo na ukiamka vile ndo kama hivi unasema huna uhakika
Kuna siku nimekutana nae humu nikajua ni jamaaππ
We umejuaje kama Bakhresa na Mo hawaamini habari za majini?Habari za majini zina aminiwa na watu wajinga na maskini tu.
Huwezi kukuta mtu kama Bakhressa, Mo Dewji, Aliko Dangote au Elon Musk anaamini na kuzungumzia huu ujinga wa βmajini.
Majini ni stori za wajinga tu.
Majini ni imani zinazo aminiwa na wajinga tu.
Hakuna majini.
Hakuna Mungu wala Shetani.
mkuu habari yakoHabari za majini zina aminiwa na watu wajinga na maskini tu.
Huwezi kukuta mtu kama Bakhressa, Mo Dewji, Aliko Dangote au Elon Musk anaamini na kuzungumzia huu ujinga wa βmajini.
Majini ni stori za wajinga tu.
Majini ni imani zinazo aminiwa na wajinga tu.
Hakuna majini.
Hakuna Mungu wala Shetani.
Agonist ndo nini?I'm agonistic bro, sijui chochote na pia sijasimama upande wowote maana sijui ukweli uko wapi. Chukulia kama judge
π€£π€£π€£ mkuu unajua unavitukoKuna siku nimekutana nae humu nikajua ni jamaa
Salama kabisa.mkuu habari yako
Ulishawahi kuona mtu tajiri kama Bakhressa au Mo Dewji kapandwa na majini?We umejuaje kama Bakhresa na Mo hawaamini habari za majini?
Siku mtafute mtu aliyepandwa na majini halafu muulize kuhusu habari ambazo unaamini kuwa hakuna anayezijua isipokuwa wewe mwenyewe hapo ndo utajua hujui
Sasa kwani lazima kila mtu apandwe na majini?Ulishawahi kuona mtu tajiri kama Bakhressa au Mo Dewji kapandwa na majini?
Hujawahi kupandwa na majini kwa sababu majini hayapo.Sasa kwani lazima kila mtu apandwe na majini?
Mbona mimi sijawahi kupandwa na majini?
Je hao wenye huo ugonjwa wanaweza kumtajia mtu mambo aliyoyafanya akiwa peke yake?Hujawahi kupandwa na majini kwa sababu majini hayapo.
Hakuna majini.
Hao watu wanao amini majini yapo, si kwamba ni majini kweli, Bali wanasumbuliwa na ugonjwa ambao kisayansi unaitwa Schizophrenia.
Schizophrenia ni hali ambayo mtu husikia sauti au kelele za viumbe ambao kiuhalisia havipo.
Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior. Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.View attachment 3555164
Schizophrenia is a mental disorder characterized variously by hallucinations (typically, hearing voices), delusions and disorganized thinking.
Schizophrenia - Wikipedia Schizophrenia - Wikipedia
Wanaweza ndio. Ni kama wagonjwa wa akili tu, wanao ongea peke yao.Je hao wenye huo ugonjwa wanaweza kumtajia mtu mambo aliyoyafanya akiwa peke yake?
πππNoma sana hivi wadau mnajuaje hizi pisiπ€£π€£π€£ mkuu unajua unavituko
Itakuwa hujalielewq swali languWanaweza ndio. Ni kama wagonjwa wa akili tu, wanao ongea peke yao.
Kuna uwezekano boss ingawa nimefikiria hivi tuleta wahindi au wachina nao wata react kama hawa wabongo wanaosemekan Wana mapepoMatatizo ya akili hayo
Ila boss mbona mtu akiombewa mchungaji akisema Toka mtu anarudi kwenye Hali yake ya kawaidaHujawahi kupandwa na majini kwa sababu majini hayapo.
Hakuna majini.
Hao watu wanao amini majini yapo, si kwamba ni majini kweli, Bali wanasumbuliwa na ugonjwa ambao kisayansi unaitwa Schizophrenia.
Schizophrenia ni hali ambayo mtu husikia sauti au kelele za viumbe ambao kiuhalisia havipo.
Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior. Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.View attachment 3555164
Schizophrenia is a mental disorder characterized variously by hallucinations (typically, hearing voices), delusions and disorganized thinking.
Schizophrenia - Wikipedia Schizophrenia - Wikipedia
πππ ni rahisi sana mkuu,unafeli wapi mkuuπππππNoma sana hivi wadau mnajuaje hizi pisi
Hilo haliwezekani.Itakuwa hujalielewq swali langu
Sijakuuliza kuongea peke yao yaani namaanisha mfano wewe umekutana njiani na mtu usiyemjua lakini akakuambia mambo ambayo umetoka kuyafanya kwenu tena ukiwq peke yako na anakuelezea kwa usahihi kabisa