Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
We mpe tu bana...I'm sure she deserves it!

We niombee nikutane nao...for research purposes tu lakini!!!๐Ÿค“๐Ÿค“ Huwa nakua fascinated na matukio kama yale maana inaonyesha jinsi binaadam tulivyo complex.
 
Dr. umeandika kama vile unatetea tasnifu ya uzamivu katika Saikolojia ya Mahusiano. Asante sana!

Nikipata nafasi (na nguvu) nitakuja kushusha gazeti linalotokana na uzoefu wangu katika hili. Vijana wa kisasa wanafeli sana katika hili na wanaishia kulaumu mabinti kumbe mara nyingi tatizo pia linaweza kuwa ni wao wenyewe. Kama lengo lako kuu kwa binti ni mbususu tu, kwa nini unalalamika ukiombwa pesa? Unataka upewe mbususu bure? ๐Ÿ˜ณ

Nitarudi ila Asante sana Dr Lizzy kwa bandiko hili ๐Ÿ–
 
Hicho kijiji ukitaja tu kesho naamkia huko๐Ÿ˜…

Daktari mpaka hapa nahisi umenielewa nahitaji mwanamke wa aina gani.

Ahsante kwa nyimbo nzuri ๐Ÿคฉ๐Ÿ™
InshaAllah, utampata maana unaonekana unastahili!!

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ujue ni mbali sana kutokea huko mjini lakini. Alafu kuna milima yakutosha...usije tu ukaishia njiani.
 
Mwanaume akishakutongoza kifuatacho hapo kinajulikana, una nia nae na unaona anakufaa jipe muda uruhusu mfahamiane zaidi.
Hilo swali wa kujibu ni nyie wanawake.
Ni kwa mwanamke pekee ambae atakua kavutiwa/kampenda mwanaume husika ndio wa kujipa muda, ama mwanamke asie na hayo mambo ya uombelezi kama hajakuelewa basi muishie hapo vinginevyo ndio nasemea yale yale mambo ya kuviziana kila mtu apate chake mapema apite hivi.
 
Yap, she deserves it a lot. Sema nae apunguze Kidogo.
Mwaka Jana ali ona my account ni Kama yake, Eti angalia saving zako zime bakia kiasi gani๐Ÿคฃ.

Hao tunao kwenye jamii, na hata sisi tuna weza kuwa Kati yao๐Ÿค“๐Ÿ˜‚.
Ni vile hatuja fika climax ya ushetani ndani yetu

I will never play Eti ukutane nao, madam wale ni zaidi ya devil (japo sija muona), Wana ku attack Huku wana cheka.
 
Huwa una penda commed series??, zipo baadhi uta cheka Sana๐Ÿค“.

Uta gundua sweet melody iko kwako tu๐Ÿ˜‚.
Sana, maana napenda kucheka!๐Ÿ˜ Please share.

True...lakini inawezekana na ni rahisi kuliko watu wanavyodhani. Kuna siku ntaleta ushuhuda... ๐Ÿ˜ถโ€๐ŸŒซ๏ธ
 
sasa hayo yote yanini
 
InshaAllah, utampata maana unaonekana unastahili!!

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ujue ni mbali sana kutokea huko mjini lakini. Alafu kuna milima yakutosha...usije tu ukaishia njiani.
Nastahili sana ukimuona mwambie nitamsubiria bila kuchoka ila awahi watoto wanapaswa wawahi kwenda shule tungali na nguvu ๐Ÿ˜…

Kwa nimpendae hata angekuwa huko haiti ningeenda kumfuata.
 
Sana, maana napenda kucheka!๐Ÿ˜ Please share.

True...lakini inawezekana na ni rahisi kuliko watu wanavyodhani. Kuna siku ntaleta ushuhuda... ๐Ÿ˜ถโ€๐ŸŒซ๏ธ
Una ijua varshita kibanda Cha mazaga zaga, varshita ๐Ÿ”ฅ, njoro wa uba.

- hubaloo estate hii ndo Kama scenario ya my mom na mimi ๐Ÿคฃ.
Hizi zote za juu ni series za kikenya.

- Madea ziko nyingi ya Tyler perry๐Ÿคฃ๐Ÿค“
 
Jamani Shimba ya Buyenze ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Basi naomba nipewe kitengo mahali popote mheshimiwa!!๐Ÿค๐Ÿพ

Bandiko lako ndilo lililoni-inspire, so... thank you!!!

I'm looking forward to it!!!๐Ÿค— Tafadhali siku ukifanikiwa kulishusha usiache kuniita na mimi nile madini.
 
Hapa jf nime spot baadhi.
Hope everything goes well.
Yes!

Wapo!

Na kama una jicho la kuwaona utawaona tu. Simple yet extremely complicated. Emotionally mature. Very patient. Good human beings. Altruistic. Best friends you will ever have...

Anyway; everything that is well-intentioned will eventually go well...

I am rooting for you!
 
Nastahili sana ukimuona mwambie nitamsubiria bila kuchoka ila awahi watoto wanapaswa wawahi kwenda shule tungali na nguvu ๐Ÿ˜…

Kwa nimpendae hata angekuwa huko haiti ningeenda kumfuata.
Na kweli...lazima nguvu yakucheza nao iwepo!! ๐Ÿ’ฏ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nikimuona wakukufaa namleta kwako. Sasa ole wako uzingue!๐Ÿคจ
 
Una ijua varshita kibanda Cha mazaga zaga, varshita ๐Ÿ”ฅ, njoro wa uba.

- hubaloo estate hii ndo Kama scenario ya my mom na mimi ๐Ÿคฃ.
Hizi zote za juu ni series za kikenya.

- Madea ziko nyingi ya Tyler perry๐Ÿคฃ๐Ÿค“
Varshita na hubaloo sijawahi kuziona...

Njoro wa Uba yuko vizuri ila nilipenda zaidi Kibanda cha mazaga zaga kwasababu ya Kokoro. ๐Ÿ˜€ And ofcourse, za Madea nimeona zote!!

Ila itabidi niichungulie hiyo hubaloo ili nione Inteligee na mama Inteligee mahusiano yenu yako aje.๐Ÿ˜
 
Varshita na hubaloo sijawahi kuziona...

Njoro wa Uba yuko vizuri ila nilipenda zaidi Kibanda cha mazaga zaga kwasababu ya Kokoro. ๐Ÿ˜€

Ila itabidi niichungulie hiyo hubaloo ili nione Inteligee na mama Inteligee mahusiano yenu yako aje.๐Ÿ˜
Nime kosea mama intelli, tupo kwenye njoro wa uba๐Ÿค“.

Kokoro ndo favorite actor wangu pendwa, siku hizi ana bibi Amina๐Ÿคฃ.

Anza na varshita ni Kali mnoo, beside uki download,
USI sahau ku share mzigo, maana Nina uvivu wa kudownload this days๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ