Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Siku hizi wame zeeka, doctor Ali olewa last time kumuona ni 2015 Kawa kibonge🤓.

Mama nae she is more focused kuchuma vichenchi vyangu, she always try to find ana excuse avi tafune🤣🤣.

And about the story keep enjoying, ila omba USI kutane na watu design ya kina thabo 🤓
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We mpe tu bana...I'm sure she deserves it!

We niombee nikutane nao...for research purposes tu lakini!!!🤓🤓 Huwa nakua fascinated na matukio kama yale maana inaonyesha jinsi binaadam tulivyo complex.
 
He said it all kwakweli!!!👊🏾👊🏾

Mi naamini kwamba kuna wakati huwa mnajifelisha wenyewe!!!

Shimba ya Buyenze amesema kitu kimoja chamsingi sana. Pamoja na kwamba "wanawake wa maana" kwa standard zenu sio wengi, wapo, na inawapasa na nyie kuji-package in a way that you'll qualify to be with one. You cannot be with a high-value woman if you yourself are not a high-value man.

Lingine ni APPROACH!!!!

Ukikutana na mimi, hunijui, sikujui na uka-express interest yako kwangu kabla hata hatujawa na one deep/meangful conversation itakayokusaidia kujua mimi ni mtu aina gani, sitoweza kukuchukulia serious. I mean, utawezaje kujua kama nafaa kuingia kwenye mahusiano ya maana na wewe kama hunijui kiundani??? Kama ukiniambia kabisa unataka tuburudishane tu (one night stand, something casual etc. Etc...) ntakuelewa, ila sio zaidi ya hapo.

Katika kitu ambacho mnapaswa kutilia maanani (ikiwa you after a meaningful relationship that is..) ni kujaribu kuelewa hao kina dada mnaokutana nao ni watu wa aina gani before making a move.

Yes, umevutiwa na kasura kake, umbo limekaa vizuri, akitembea ana swagg...but what about her values?? Principles zake about life?? What does she believe about this or that??? Because those are the things that makes a person.
Anzeni ku-invest on deep conversations. Ask her tricky questions zitakazokusaidia kujua misimamo yake ni ipi...
Uelewa wake ukoje...
Maturity Level...
Is she a GIVER or a TAKER...?
Matarajio yake kwenye mahusiano ni yapi...
Etc. Etc...

That way, kwanza utaweza kuchuja mapema ili usipoteze muda wako na mtu asiyekufaa, pili kama umekutana na mwanamke wa maana nae ataelewa interest yako inatokea wapi, pia wewe ni mwanaume wa aina gani.
Dr. umeandika kama vile unatetea tasnifu ya uzamivu katika Saikolojia ya Mahusiano. Asante sana!

Nikipata nafasi (na nguvu) nitakuja kushusha gazeti linalotokana na uzoefu wangu katika hili. Vijana wa kisasa wanafeli sana katika hili na wanaishia kulaumu mabinti kumbe mara nyingi tatizo pia linaweza kuwa ni wao wenyewe. Kama lengo lako kuu kwa binti ni mbususu tu, kwa nini unalalamika ukiombwa pesa? Unataka upewe mbususu bure? 😳

Nitarudi ila Asante sana Dr Lizzy kwa bandiko hili 🖐
 
Hicho kijiji ukitaja tu kesho naamkia huko😅

Daktari mpaka hapa nahisi umenielewa nahitaji mwanamke wa aina gani.

Ahsante kwa nyimbo nzuri 🤩🙏
InshaAllah, utampata maana unaonekana unastahili!!

🤣🤣🤣
Ujue ni mbali sana kutokea huko mjini lakini. Alafu kuna milima yakutosha...usije tu ukaishia njiani.
 
Mwanaume akishakutongoza kifuatacho hapo kinajulikana, una nia nae na unaona anakufaa jipe muda uruhusu mfahamiane zaidi.
Hilo swali wa kujibu ni nyie wanawake.
Ni kwa mwanamke pekee ambae atakua kavutiwa/kampenda mwanaume husika ndio wa kujipa muda, ama mwanamke asie na hayo mambo ya uombelezi kama hajakuelewa basi muishie hapo vinginevyo ndio nasemea yale yale mambo ya kuviziana kila mtu apate chake mapema apite hivi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We mpe tu bana...I'm sure she deserves it!

We niombee nikutane nao...for research purposes tu lakini!!!🤓🤓 Huwa nakua fascinated na matukio kama yale maana inaonyesha jinsi binaadam tulivyo complex.
Yap, she deserves it a lot. Sema nae apunguze Kidogo.
Mwaka Jana ali ona my account ni Kama yake, Eti angalia saving zako zime bakia kiasi gani🤣.

Hao tunao kwenye jamii, na hata sisi tuna weza kuwa Kati yao🤓😂.
Ni vile hatuja fika climax ya ushetani ndani yetu

I will never play Eti ukutane nao, madam wale ni zaidi ya devil (japo sija muona), Wana ku attack Huku wana cheka.
 
Ni kwa mwanamke pekee ambae atakua kavutiwa/kampenda mwanaume husika ndio wa kujipa muda, ama mwanamke asie na hayo mambo ya uombelezi kama hajakuelewa basi muishie hapo vinginevyo ndio nasemea yale yale mambo ya kuviziana kila mtu apate chake mapema apite hivi.
sasa hayo yote yanini
 
InshaAllah, utampata maana unaonekana unastahili!!

🤣🤣🤣
Ujue ni mbali sana kutokea huko mjini lakini. Alafu kuna milima yakutosha...usije tu ukaishia njiani.
Nastahili sana ukimuona mwambie nitamsubiria bila kuchoka ila awahi watoto wanapaswa wawahi kwenda shule tungali na nguvu 😅

Kwa nimpendae hata angekuwa huko haiti ningeenda kumfuata.
 
Sana, maana napenda kucheka!😁 Please share.

True...lakini inawezekana na ni rahisi kuliko watu wanavyodhani. Kuna siku ntaleta ushuhuda... 😶‍🌫️
Una ijua varshita kibanda Cha mazaga zaga, varshita 🔥, njoro wa uba.

- hubaloo estate hii ndo Kama scenario ya my mom na mimi 🤣.
Hizi zote za juu ni series za kikenya.

- Madea ziko nyingi ya Tyler perry🤣🤓
 
Dr. umeandika kama vile unatetea tasnifu ya uzamivu katika Saikolojia ya Mahusiano. Asante sana!

Nikipata nafasi (na nguvu) nitakuja kushusha gazeti linalotokana na uzoefu wangu katika hili. Vijana wa kisasa wanafeli sana katika hili na wanaishia kulaumu mabinti kumbe mara nyingi tatizo pia linaweza kuwa ni wao wenyewe. Kama lengo lako kuu kwa binti ni mbususu tu, kwa nini unalalamika ukiombwa pesa? Unataka upewe mbususu bure? 😳

Nitarudi ila Asante sana Dr Lizzy kwa bandiko hili 🖐
Jamani Shimba ya Buyenze 🤣🤣
Basi naomba nipewe kitengo mahali popote mheshimiwa!!🤝🏾

Bandiko lako ndilo lililoni-inspire, so... thank you!!!

I'm looking forward to it!!!🤗 Tafadhali siku ukifanikiwa kulishusha usiache kuniita na mimi nile madini.
 
Hapa jf nime spot baadhi.
Hope everything goes well.
Yes!

Wapo!

Na kama una jicho la kuwaona utawaona tu. Simple yet extremely complicated. Emotionally mature. Very patient. Good human beings. Altruistic. Best friends you will ever have...

Anyway; everything that is well-intentioned will eventually go well...

I am rooting for you!
 
Nastahili sana ukimuona mwambie nitamsubiria bila kuchoka ila awahi watoto wanapaswa wawahi kwenda shule tungali na nguvu 😅

Kwa nimpendae hata angekuwa huko haiti ningeenda kumfuata.
Na kweli...lazima nguvu yakucheza nao iwepo!! 💯 😂😂

Nikimuona wakukufaa namleta kwako. Sasa ole wako uzingue!🤨
 
Una ijua varshita kibanda Cha mazaga zaga, varshita 🔥, njoro wa uba.

- hubaloo estate hii ndo Kama scenario ya my mom na mimi 🤣.
Hizi zote za juu ni series za kikenya.

- Madea ziko nyingi ya Tyler perry🤣🤓
Varshita na hubaloo sijawahi kuziona...

Njoro wa Uba yuko vizuri ila nilipenda zaidi Kibanda cha mazaga zaga kwasababu ya Kokoro. 😀 And ofcourse, za Madea nimeona zote!!

Ila itabidi niichungulie hiyo hubaloo ili nione Inteligee na mama Inteligee mahusiano yenu yako aje.😁
 
Varshita na hubaloo sijawahi kuziona...

Njoro wa Uba yuko vizuri ila nilipenda zaidi Kibanda cha mazaga zaga kwasababu ya Kokoro. 😀

Ila itabidi niichungulie hiyo hubaloo ili nione Inteligee na mama Inteligee mahusiano yenu yako aje.😁
Nime kosea mama intelli, tupo kwenye njoro wa uba🤓.

Kokoro ndo favorite actor wangu pendwa, siku hizi ana bibi Amina🤣.

Anza na varshita ni Kali mnoo, beside uki download,
USI sahau ku share mzigo, maana Nina uvivu wa kudownload this days😂😂
 
Back
Top Bottom