Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Pole kwa msiba huo tajiri mzee wa laki moyaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna jamaa nilikutana naye Mgahawa Fulani wa Chakula, alikuwa na Manzi Mmoja white hivi.

Picha linaanza Yule Manzi kaagiza Kuku mzima, mishikaki, Chipsi, Soda sijui na mazaga gani.

Baada ya dakika 10 hivi jamaa, akatoka nje kama anapiga simu hivi.

Ndiyo hakurudi kabisa.

Inaonekana yule Manzi hakuwa na fedha ya kulipa na alikuwa anamtegemea yule Jamaa.

Hivyo alilazimika kuacha Simu Janja yake (Smartphone) kama dhamana.

Inaonekana yule Dada alikutana na Vijana wenye roho ngumu kama ya Mtoa Mada Half american 😜

Yule Binti hakujua Vijana wanahitaji "Game" kabla ya kuanza kuhudumia πŸ€—
 
Wengi wabinafsi sana na hata akija na kitu atataka ukigharamikie wewe.

Kuna pisi ilinifanyia suprise ya kijinga sana, imetoa oda ya picha ya kuchora kwa mchoraji, imekamilika ananipigia simu anadaiwa nilipie ile picha nikaona huu ujinga siwezi.
Demu anakuchagulia location halafu anataka akifika aspend ila bill ulipe wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Demu anakuchagulia location halafu anataka akifika aspend ila bill ulipe wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ mwaka juzi ilinitokea hiyo ila mbinu ya kuwa na akiba mfukoni au kwenye simu iliniokoa/ilituokoa.
Hii pisi ilinijulisha inakuja town imetoka mkoa tukutane nikakubali, ikajitutumua imenimiss tukae mahali tule tunywe nikataka kumpiga chenga ya mwili ila akaniambia kashaweka oda mahali ni vyema tukienda, nikakubali. Tumekula tumemaliza bill inakuja ananiambia amechanganya pochi, yenye hela kaacha nyumbani, nilikuwa na hela ya rejesho ikabidi nilipie vinginevyo ilikuwa ni kuaibishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…