Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

pole sana kwa kunyimwa 😂
muda sahihi haupo itategemea na context ya kwenu tu ! lakini in general (kama hakuna distance relationship) ndani ya miez miwili uwe ushakua nae full faragha (chumbani) ata kama usipokula, na ndani ya siku 90 ujilie 😂
 
Kwa hawa mabinti wa sasa? We utahudia pesa, john atasomesha, paul atamvalisha ila tunda atapewa omary.

Bora kuyafanya hayo yote kwa binti anaejitambua na kujitunza.
 
😂 miezi miwili upo na mtu kila siku ni kilio cha shida. Hapana, hapana, hapanaaa siku 60 nyingi sana kutoboka.
 
Wewe ndo unapenda wakusumbue unawafatafata wengi. Fata mmoja ambae mtaendana...papuchi atatoa na wewe wajibika bila kuombwa.
Sipendi usumbufu hata kidogo, mimi sio mtu wa pisi nyingi huwa nawinda moja tu, nina ugonjwa wa kupenda baada ya muda mrefu sana.

Kutoa bila kuombwa mbona kawaida ila inategemea siwezi tu kutoa kwa mtu nnaeona hana time namimi, tunaviziana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…