Naweza sema wew ni mpumbavu. Samahani kama utaelewa vibayaDunia ipi iliyostaarabika? Ile ambayo raia wake weusi wanauwawa kama mbwa na polisi wazungu huku hakuna hatua ya maana iliyochukuliwa ili kukomesha mambo hayo yasiendelee kutokea au unazungumzia dunia ipi?
Hakuna mtu timamu aliyemkubali jiwe. Lazima uwe mjinga au masikini usiyejielewa ndipo ungeweza kumwelewa jiwe.Nchi haimshindi KATU.....
Haikumshinda Hayati kipenzi chetu JPM kupelekea Mh.Mbowe kuishi DUBAI..... pamoja na ninyi KUMSHAMBULIA VYA KUTOSHA bado wengi wa WALALAHOI wanamkumbuka mpaka sasa.....
Serikali ni mfumo.....
Pamoja na yote....mh.Kagame bado yupo.....
Pamoja na yote.....mh.Museveni bado yupo.....
CCM si Sawa na CHADEMA....endeleeni KUJIOTESHA NDOTO MPENDAZO
#NchiKwanza
#AmaniKwanza
#JMTKwanza
#PundaAfeMzigoUfike
#KaziInaendelea
Nimeshindwa kabisa kuwaelewCHADEMA, wanataka katiba mpya inavyopunguza mamlaka ya rais, hapo hao wanamuomba mama aingilie mihimili mingine.... Sijui sasa wanataka nini
Vigezo gani au Instruments gania zinatumika katika kumtambua mtu aambaye ni timamu na asiye kuwa timamu?Hakuna mtu timamu aliyemkubali jiwe. Lazima uwe mjinga au masikini usiyejielewa ndipo ungeweza kumwelewa jiwe.
Uwezo wao wa akili ni mdogoKinachonisikitisha, huyu mama alikuwa na nafasi ya kipekee ya kupendwa na kukong'a nyoyo za watanzania.
Alitakiwa afanye mambo. matatu tu
1. Kuachana na pia kurekebisha mambo ya kijingajinga ya mtangulizi wake
2. Kuyafanyia kazi mazuri ya mtangulizi wake ikiwemo miradi mikubwa
3. Kufanya reforms za msingi za kiuchumi na kisiasa ili yale yaliyojitokeza kwa mwendazake yasijitokeze tena
Sasa unfortunately kaanza kukumbatia hata yale ya kijinga ya mwendazake kama kuonea, kutoheshimu katiba na kiapo alichokula.
Asipobadilika, wananchi watamchukia vibaya sana!
Uwezo wao wa akili ni mdogoKinachonisikitisha, huyu mama alikuwa na nafasi ya kipekee ya kupendwa na kukong'a nyoyo za watanzania.
Alitakiwa afanye mambo. matatu tu
1. Kuachana na pia kurekebisha mambo ya kijingajinga ya mtangulizi wake
2. Kuyafanyia kazi mazuri ya mtangulizi wake ikiwemo miradi mikubwa
3. Kufanya reforms za msingi za kiuchumi na kisiasa ili yale yaliyojitokeza kwa mwendazake yasijitokeze tena
Sasa unfortunately kaanza kukumbatia hata yale ya kijinga ya mwendazake kama kuonea, kutoheshimu katiba na kiapo alichokula.
Asipobadilika, wananchi watamchukia vibaya sana!
Kigezo ni kumkubali kichaa aliyeenda zakeVigezo gani au Instruments gania zinatumika katika kumtambua mtu aambaye ni timamu na asiye kuwa timamu?
In the news.View attachment 1865155
View attachment 1865208
Hao ni CNN
View attachment 1865476
Na hao ni Aljazeera
Matendo yakeVigezo gani au Instruments gania zinatumika katika kumtambua mtu aambaye ni timamu na asiye kuwa timamu?
Dunia ya leo, nchi za dunia ya tatu lolote ufanyalo wanaliona, inakuwa unajidanganya kwa kuuficha uso wakati mwili wote uko wazi. Tozo ni wizi wa kuhamisha hela za watu kwa nguvu kuzipeleka hazina. Weka tozo kwenye umiliki wa simcard, hata sh 100000 kwa mwaka, uko sahihi, kuna wenye pesa wanamiliki zaidi ya line 3. Hela inayotumwa ni pato ambalo tayari limekatwa kodi, kuweka tozo ni unyang'anyi wa kidola.Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.
Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.
Tuko uchi!
Yes. Kwasababu hawako jwa ajili ya maslahi ya nchi. Wao ni vibaraka tu wa wazungu. Kwa maneno mengi ni opener au Keys wa milango yao ya kutuibia.Kuwaeliminate Wasaliti wote unamaanisha nini? Kuwaua???
Tutapambana na mabeberu mpaka tone la mwisho la damu,hawatuwezi
Sovereign country kwa nchi inayotegemea donors zaidi ya 30% ya budget, dumping place ya bidhaa zao unaweza nini huna mitaji,technologia wala wataalam lazima wakubane tuuKelele za CHURA hazimzuii TEMBO kunywa maji.....
Hiyo CNN na hiyo DUNIA imeshaongea sana kuhusu RWANDA....Mh.Kagame bado yupo.....M7 yupo....
CNN hawajapewa kibali cha KUWAAMULIA WENGINE WAISHI VIPI.....
TANZANIA IS A SOVEREIGN COUNTRY ,WE AS THE PEOPLE KNOW MUCH ABOUT OURSELVES THAN FOREIGNERS
#KaziIendelee
#NchiKwanza
#AmaniKwanza
Kipaumbele chake.Huyo Mbowe ana nia ya kuleta vurugu nchi hii.Huwezi kuvitisha vyombo vya dola kisha ubaki wewe ndiye mshindi.
Hii ni serikali siyo muvi ya kihindi eti mtu kama Mbowe anajipa u starring
Si mlisema mtamnyoa kama mlivyo mnyoa Magu ni sawa tu na yeye akianza kuwanyoa kabla nyinyi hamjamnyoaView attachment 1865155
View attachment 1865208
Hao ni CNN
View attachment 1865476
Na hao ni Aljazeera
Kuwa mwanamme. Usidanganyike wala kuogopeshwa na hela zao. Technology hata wewe unaweza kuipata. Ninkujiamini tu na kike unachokifanya.Sovereign country kwa nchi inayotegemea donors zaidi ya 30% ya budget, dumping place ya bidhaa zao unaweza nini huna mitaji,technologia wala wataalam lazima wakubane tuu
Mtaa gani unaousemea? huku mtaani mbona mambo shwari tu?She is Magufuli wannabe!
Ndiyo maana mtaani raia hawamuelewi kabisa na hizi series za makosa yake anayoyafanya.
Wewe unadhani watu lazima wafanye mivuruguvurugu ndo ujue wamekasirishwa na jamboMtaa gani unaousemea? huku mtaani mbona mambo shwari tu?
Shida yenu CDM ni kutaka kuwin sympathy za watu wa nje,badala ya kupambana mpate sympathy ya wananchi wa Tanzania ambao kimsingi ndo waamuzi wa hatima yenu.Kwa kufanya hivyo mnaonekana kama chama cha vibaraka.
Hivi wingereza kuna DemocracyView attachment 1865155
View attachment 1865208
Hao ni CNN
View attachment 1865476
Na hao ni Aljazeera