britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong!
Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ , asubuhi nikachukua taxi tukazunguka kila hotel kutafta cheap ! Nazo Nikaambiwa kwamba hata hiyo uliyopata ya Patong royal shukuru Mungu!
Mji ule uko Thailand Ila umechukuliwa na wa Ukraine na waarabu! Ukiwa huko huna tofaut na mtu ambaye yuko hapa Ulaya !
Ila nili enjoy sana ! Japo sikupenda suala la hotel
Ntasimulia simulia na kuwapa hints Wa Tanzania wa naotaka kutembea duniani maeneo kadhaa
Naandaa kitabu
Ntakipa jina moja wapo
1. Being black Abroad
2. Sole travelers
3. Explore the world from poor countries
Maana Mpaka sasa nimetembea nchi zaidi ya 125 dunian
Britanicca