Dunian sijawai kuona mji wa kipuuzi Kama Phuket unazunguka hotel zaidi ya 200 zote full?

Ahahahaaaa, nchi yote ilihamia Dodoma, kama ulifika one/two week before and for 18/1/25 unaondolewa lodge/hotel kwa kuambiwa waheshimiwa waliweka booking one month before, 😢 😂!.
 
Kitabu unakitoa lini?
IMG_8118.jpeg

Anyw time
 
Sasa kama mna pesa za kuzunguka dunia nzima na kuna watu wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na ada, kuna watoto ni yatima wanakosa hela ya mavazi, malazi nq chakula.

Na imani utasema umepambana mwenyewe, Ila ninachojua kila mtu amewezeshwa, Mkoloni alisomesha watu, Watu wakasomesha watu ukawa ni mwendelezo. Ila kuna familia zingine zilikosa hiyo bahati.

Lakini kama nyie ndo watu mnaojidai kumwabudu Mungu ili kutoa support hamuwezi, Basi nimeamini huyo Mungu mnamwabudu kinafiki.

Nachukia nyuzi za sifa wakati kuna watu wana mahitaji.

Mungu kama kweli upo basi leta hata TSUNAMI ili wote tumezwe, Hii dunia imejaa unafiki.🙏
Asubiri kdogo penzi langu bado jipya
 
Mkurugenzi imebidi nikujibu hapa

Mimi si rika la vijana wanaotafta maisha

I was born 1957 kabla ya uhuru now am 67 years old
Nimefanya kazi na Serikali kwa miaka kadhaa na nikahudumu maeneo kadhaa duniani,

Na baadhi ya safari zangu sijigharamii mwenyewe ni ama UN wahusike au Forumsyd wahusike,

Na napokiwa safarini siendi ku enjoy tu nakuwa naenda kikazi

Ikae hivyo

Britanicca
 
Hata ungekuwa unajigharamia mwenyewe, bado unatafuta maisha yeye ni nani akupangie matumizi ya pesa zako au jinsi ya kuishi maisha yako?
 
Aah mbona mji una gharama hivyo ase?

Hongera sana Mkuu kutembea nchi 125 sio mchezo.

Unataka kumfikia jamaa anaitwa Wandering Earl yeye ana blog ya masuala ya safari nchi mbalimbali tayari amezunguka nchi 140.
 
Naona unaaamua kutoka na kitabu , Kama unayo Nia nzuri kigawe bure , la sivyo unataka uteke audience baadaye uwapige hela usepe zako
 
Mkuu ebu sema neno kwa walichofanya CCM kuhusu kumpitisha huyo Mwanamke mzazibari kwa njia ya kihuni na kwa namna ya utekaji wa kisiasa ndani ya CCM
 
Aah mbona mji una gharama hivyo ase?

Hongera sana Mkuu kutembea nchi 125 sio mchezo.

Unataka kumfikia jamaa anaitwa Wandering Earl yeye ana blog ya masuala ya safari nchi mbalimbali tayari amezunguka nchi 140.
Naam
 
Back
Top Bottom