britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #41
Ahahahaaaa, nchi yote ilihamia Dodoma, kama ulifika one/two week before and for 18/1/25 unaondolewa lodge/hotel kwa kuambiwa waheshimiwa waliweka booking one month before, π’ π!.
Wassira was supposed to settleWassira ndio makamu mwenyekiti wako wa Ccm.
Asubiri kdogo penzi langu bado jipyaSasa kama mna pesa za kuzunguka dunia nzima na kuna watu wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na ada, kuna watoto ni yatima wanakosa hela ya mavazi, malazi nq chakula.
Na imani utasema umepambana mwenyewe, Ila ninachojua kila mtu amewezeshwa, Mkoloni alisomesha watu, Watu wakasomesha watu ukawa ni mwendelezo. Ila kuna familia zingine zilikosa hiyo bahati.
Lakini kama nyie ndo watu mnaojidai kumwabudu Mungu ili kutoa support hamuwezi, Basi nimeamini huyo Mungu mnamwabudu kinafiki.
Nachukia nyuzi za sifa wakati kuna watu wana mahitaji.
Mungu kama kweli upo basi leta hata TSUNAMI ili wote tumezwe, Hii dunia imejaa unafiki.π
Mkurugenzi imebidi nikujibu hapaSasa kama mna pesa za kuzunguka dunia nzima na kuna watu wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na ada, kuna watoto ni yatima wanakosa hela ya mavazi, malazi nq chakula.
Na imani utasema umepambana mwenyewe, Ila ninachojua kila mtu amewezeshwa, Mkoloni alisomesha watu, Watu wakasomesha watu ukawa ni mwendelezo. Ila kuna familia zingine zilikosa hiyo bahati.
Lakini kama nyie ndo watu mnaojidai kumwabudu Mungu ili kutoa support hamuwezi, Basi nimeamini huyo Mungu mnamwabudu kinafiki.
Nachukia nyuzi za sifa wakati kuna watu wana mahitaji.
Mungu kama kweli upo basi leta hata TSUNAMI ili wote tumezwe, Hii dunia imejaa unafiki.π
Hata ungekuwa unajigharamia mwenyewe, bado unatafuta maisha yeye ni nani akupangie matumizi ya pesa zako au jinsi ya kuishi maisha yako?Mkurugenzi imebidi nikujibu hapa
Mimi si rika la vijana wanaotafta maisha
I was born 1957 kabla ya uhuru now am 67 years old
Nimefanya kazi na Serikali kwa miaka kadhaa na nikahudumu maeneo kadhaa duniani,
Na baadhi ya safari zangu sijigharamii mwenyewe ni ama UN wahusike au Forumsyd wahusike,
Na napokiwa safarini siendi ku enjoy tu nakuwa naenda kikazi
Ikae hivyo
Britanicca
Tafadhali Usikose Version ya kiswahiliThis is it man damn ππ½ππ½πΉπΏ
Ccm yenu hiyoWassira was supposed to settle
No siteki audience tu! I mean itNaona unaaamua kutoka na kitabu , Kama unayo Nia nzuri kigawe bure , la sivyo unataka uteke audience baadaye uwapige hela usepe zako
Wanazingua wapo vijana wengi ambao waneweza Nafasi HiyoCcm yenu hiyo
WamezinguaIwee CCM wamechomoa betry huku
NaamAah mbona mji una gharama hivyo ase?
Hongera sana Mkuu kutembea nchi 125 sio mchezo.
Unataka kumfikia jamaa anaitwa Wandering Earl yeye ana blog ya masuala ya safari nchi mbalimbali tayari amezunguka nchi 140.
YesHata ungekuwa unajigharamia mwenyewe, bado unatafuta maisha yeye ni nani akupangie matumizi ya pesa zako au jinsi ya kuishi maisha yako?
Mbona Ccm yako haiwapi hiyo nafasi ?Wanazingua wapo vijana wengi ambao waneweza Nafasi Hiyo
Machawa wengiWamezingua