Uislamu ni dini ya hovyo sana.
Eti wameambiwa wasihoji sana kuhusu Dini yao kwakuwa kuna Aya majibu yake lazima yatawachukiza.
Surah Al-Maidat Ayah 101
يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تَسَۡٔلُواْ عَنۡ أَشۡيَآءَ إِن تُبۡدَ لَكُمۡ تَسُؤۡكُمۡ وَإِن تَسَۡٔلُواْ عَنۡهَا حِينَ يُنَزَّلُ ٱلۡقُرۡءَانُ تُبۡدَ لَكُمۡ عَفَا ٱللَّهُ عَنۡهَاۗ وَٱللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٞ
Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur’ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole.
Kama haya hapa.
Surah Al-Baqarat Ayah 223
نِسَآؤُكُمۡ حَرۡثٞ لَّكُمۡ فَأۡتُواْ حَرۡثَكُمۡ أَنَّىٰ شِئۡتُمۡۖ وَقَدِّمُواْ لِأَنفُسِكُمۡۚ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّكُم مُّلَٰقُوهُۗ وَبَشِّرِ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.
Katika ufafanuzi wa hii Aya kutokana na Qurani iliyoandikwa na Ali Juma Mayunga na kuchapishwa na Taasisi ya Ansariyan mwaka 2003. Katika Ukurasa wa 108.
Unasema, nanukuu.
"Imepokelewa kwa Naafi. Anasema: Aliniuliza Abdallah bin Umar bin Khatab: 'unajua Aya hii (223 Sura 2) ilishushuka kwa ajiri gani ?' Nikajibu: La, sijui. Akasema: Imeshuka kwa ajiri ya kuwaingilia wanawake katika tupu zao"
Mwisho wa kunukuu.
Kisa kilichotokea kinaelezwa katika ukurasa wa 107.
Huyu Umar bin Khatab usiku wa jana alimwingilia mke wake kinyume na maumbile. Siku ya pili alipomwona Mtume anapiga ukelele "Nimeangamia" Mtume akamwuliza Jambo gani lililo kuangamiza? Umar akamwambia alivyomgeuza mke wake .
Mtume akatulia kidogo bila kuongea kitu baada ya muda Aya hiyo ya 2:223 ikashuka kama Wahayi.
( Huo ni ufafanuzi wa mazingira ya kushuka hiyo Aya ndio maana Umar alimfafanulia Naafi hapo juu jinsi Mtume alivyo msisitiza kwa maneno kabisa baada ya Aya kushuka na kusema "Mwelekeze mbele au nyuma" )
Kwa majibu haya Mwislamu lazima akatazwe kuuliza ufafanuzi wa baadhi ya Aya za Qurani. Maana majibu yake lazima Yatamchukiza kama Aya 4:101 inavyo elekeza.
Mwenye Qurani iliyochapishwa na Taasisi na mwandishi wa hapo juu asome hizo fafanuzi katika kurasa nilizo ziweka hapo juu ili kujiridhisha.
Nilichosema ni kweli na kweli tupu.
Jina la Bwana Lihimidiwe liwaepushe watu kushawishiwa kuwa Waislamu. Uislamu umeficha uovu mwingi sana.
Nawasilisha.
Wanazuoni wengi wa madhehebu na vikundi mbalimbali vya Kikristo wamethibitisha kuwa sehemu kubwa ya maandiko ya Biblia ina mashaka makubwa juu ya uhalisia wake.
Katika utangulizi wa Ngano za Mungu mwenye Mwili, Mtunzi ameandika yafuatayo:
"Katika karne ya kumi na tisa, Wakristo wa Kimagharibi walifanya marekebisho makubwa mawili ili kuitikia wito wa
kupanuka kwa elimu ya wanadamu: imekubalika kuwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile na ameibuka kuwa ni miongoni mwa wanamageuzi wa mfumo wa maisha duniani; imekubalika kuwa vitabu vya Biblia vimeandikwa na watu tofauti tofauti katika matukio tofauti tofauti na haviwezi kukubaliwa kuwa ni utunzi wa Mungu wa neno kwa neno."
Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?' kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba". Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya
Injili.
Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa.
Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu...") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.
Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia". Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili. Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji. Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.
Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu.
Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi. Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.
Mabadilikoya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.
Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."
Aliendelea kusema zaidi:
"Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya
miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.
Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora. Hata matoleo ya Agano
Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu."
Source
The Myth of Gold Incarnation, p. ix.
October 31, 1988, p. 44.
Luka 11:2 na Mathayo 6:9-10.
Hilo neno Gospel limetokana na neno la Anglo-Saxon god-spell, lenye maana ya "hadithi nzuri",
tafsiri ya neno la Kilatini evangelium na Kigiriki euangelion, lenye maana ya "habari njema" au
"simulizi nzuri." (The New Encyclopaedia Britannica, vol. 5, p. 379).
Kubuniwa: si halisi; si ya kweli au yamevumbuliwa. (Oxford Advanced Learner's Dictionary, p. 4 5).
Ekaristi ni mkate na divai vinavyoliwa katika sherehe za Kikristo vinatokana na chakula cha karamu
ya usiku ya mwisho ya Kristo. (Oxford Advanced Learner's Dictionary, p. 410).
Julai mosi, 1991, p. 57