Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
Ivi hayo maswali yanamajibu sahihi kweli ? Na kama yapo tutajuaje kama hayo ndo majibu na si vinginevyo?. Tuchukulie mfano Darasani ukikosea utasahihishwa na mwalimu, vp kwa maswali hayo masahihisho yanapatikanaje ?Maisha yanaanza kuwa na maana pale utakapojiuliza na utakapopata majibu ya maswali haya matatu:
1-WEWE NI NANI.
2-NI KWANINI UKO DUNIANI.
3-NINI KITAFUATA BAADA YA MAISHA HAYA.
tofauti na hivyo, life is meaningless!
The purpose of life is you to die..only that mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]What is the purpose of life?[emoji17] ....Can somebody help me on this please![emoji30]
Tuna suffer for nothing , kama kuna kifo, maisha hayama maana yyte ileMada yako ni nzuri sana.Nakumbuka wakati nipo f6 tulikuwa tunazungumzia swala la ungependa kuzaa watoto wangapi'Mi nikawaambia wawili tu wakaniuliza kwenu mpo wangapi nikawajibu 3 wakasema kama wazazi wako nao wangezaa 2 wewe ungekuwepo daah' niliwashangaa sana maana mi nilitamani nisingezaliwa coz dunia yenyewe sijaielewa bado
Mkuu nimegundua we ni muoga wa kifo..ishu ya wazazi umechomekea tuu....Tuna suffer for nothing , kama kuna kifo, maisha hayama maana yyte ile
Ki ukweli mi mwenyewe huwa naona the whole point of living is useless, dunia imejaa struggle nyingi za kijinga tuu
Ubinadamu kazi
Duh huyu mleta mada hana tofauti na Deo KisanduUko sawa ila Hauko sahihi.
Hata huu uwezo wa kutuandikia hiki ulichokiandika ni moja ya sababu za Kuwashukuru wazazi waliokuzaa.
Kwani hiki ulichokiandika siyo cha maana?.
kuna wakati unaweza kupitia maisha hadi ukawaza hayo unayoyawaza, lakini ukweli unabaki palepale, Mungu ana makusudi na kuzaliwa kwako. Ili umtumikie, na maadamu umeshazaliwa kama hautamwamini na kumtumikia, utapata adhabu. Mwamini Yesu leo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako yote, utakuja hapa kushukuru wazazi waliokuzaa.Huwa nashangaa kweli watu tukishukuru Wazazi hasa Mama eti kwa kukuleta duniani.
Kuna kipi hasa cha maana huku duniani mpaka uwashukuru hao wazazi?
Yani tumetengeneza kitu kwamba huko ulikokuwepo hapakuwa sehem nzuri kuliko dunian.
Kama dunia kwako imejaa Mateso kwanini isiwe Lawama kwao? Hivi kwanza uliwaomba hao wazazi wakuzae?
Mi naona hakuna haja ya kushukuru mzazi yoyote katika hili. Kwasababu hamkukubaliana kukuleta duniani, walifanya kwa malengo yao, hivyo wao ndio walipaswa kukunyenyekea kukuleta huku.
Maisha hayana maana yoyote ile kwani mwisho wa siku kuna kufa, baada ya kufa kila ulichokifanya hakina maana tena kwako.
Upendo ni kitu gani kwani mfano nisingezaliwa ningefahamu nn kuhusu Upendo m nadhani Upendo ni utashi wa viumbe wanaoishi duniani hauna uhusiano na kiumbe ambacho akijafikirika kutokeaMi nafikiri viumbe vyote vipo kwaajili ya utukufu wa Aliyevibuni na sisi tunapohangaika kumfikiri aliyetubuni ni kazi bure. Ni sawa na mtu aliyetengeneza game ya mission flan, Vp kama vile vitu vya kwenye game vikitaka kupima uwezo wa Mtengeneza game. Kuhusu kuwashukuru au kutowashukuru wazazi haina hasara yoyote hata tusipowashukuru lkn kuwashukuru kunatengeneza bondi nzuri baina yetu na wao, kinyume chake tunapowalaumu tunaharibu iyo bondi ya upendo.
Na hakika uko na MAMA alokuzaa,ni kweli anaweza kua hana thamani kwako,sasa cha kufanya ili uwe hulu kumuona mama yako si chochote mtongoze. Usipoleta mlejesho hapa baada ya kumtongoza tutajua ushakua mwehu.Huwa nashangaa kweli watu tukishukuru Wazazi hasa Mama eti kwa kukuleta duniani.
Kuna kipi hasa cha maana huku duniani mpaka uwashukuru hao wazazi?
Yani tumetengeneza kitu kwamba huko ulikokuwepo hapakuwa sehem nzuri kuliko dunian.
Kama dunia kwako imejaa Mateso kwanini isiwe Lawama kwao? Hivi kwanza uliwaomba hao wazazi wakuzae?
Mi naona hakuna haja ya kushukuru mzazi yoyote katika hili. Kwasababu hamkukubaliana kukuleta duniani, walifanya kwa malengo yao, hivyo wao ndio walipaswa kukunyenyekea kukuleta huku.
Maisha hayana maana yoyote ile kwani mwisho wa siku kuna kufa, baada ya kufa kila ulichokifanya hakina maana tena kwako.