Duniani kuna kipi cha maana mpaka ushukuru wazazi kukuleta?

Upendo ni kitu gani kwani mfano nisingezaliwa ningefahamu nn kuhusu Upendo m nadhani Upendo ni utashi wa viumbe wanaoishi duniani hauna uhusiano na kiumbe ambacho akijafikirika kutokea
Tatizo watu humu hufikiri kwa akili za kufikiaa.
Wanachukulia mambo juujuuu!!
 

Wewe una AKILI kama yangu! Sisi ni matokeo ya starehe zao. Eti mtu anashukuru kuletwa kwenye hii dunia yenye chuki, ubinafsi, mateso, dhuluma, nk.
 
Sisi kwa umoja wetu tunaweza kuifanya dunia tutakavyo hayo maumivu kwa maana ya vita,mateso mbalimbali ni maamuzi yetu pia tukitaka kwa ujumla wetu tunaweza kuwa kinyume chake hapo ndo dhana ya Enlightenment inapoingia
 

Bado sijaelewa maana ya THEIST/ATHEIST. please dadavua kwa kina na mifano
 
Bado sijaelewa maana ya THEIST/ATHEIST. please dadavua kwa kina na mifano
1.Theist =a person who believe God's existance. (Mtu anayeamini kuwa Mungu yupo/au miungu)

2.Atheist =a person that doesn't believe in existance of God . (Mtu asiyeamini uwepo wa Mungu)

Hapa tuko pamoja sasa?
 
Nimeitathimini hii mada kwa mda na umakini...... Kwakweli ni Mada Nzito.
Kukoment kwahitaji walau hao waliokataa kuzaliwa wachangie tupate ya upande wao then kieleweke...[emoji16] [emoji16] [emoji35] [emoji35]
Dah sijui uliwaza nini mkuu yaani nimecheka sana kwa hili jibu,naomba Mungu aniongezee siku za kuishi ili niendelee kufurahi namna hii ninapokutana na majibu ya hivi.
 
Majibu ni rahisi sana, watu waliofanikiwa kimaisha lazima watashukuru wazazi maana huenda hata mafanikio yao yametokana na wao, wamesomeshwa au labda wamepewa mtaji au hata wamerithi mali. Sisi wenye maisha magumu ndio tunaolalamika na hata kumkosoa Mungu. Sidhani kama mtoa mada angekuwa na maisha mazuri bila stress angeandika uzi huu hapa leo. Lkn uwepo wetu duniani ni mipango ya Mungu kwa sisi tunaoamini uwepo wa Mungu.
 
Ndo maana mtoto akizaliwa tu hua ana lia maana hapa dunian ni uwanja wa fujo, cha ajabu tunaogopa kufa wkt hatupendi kuzaliwa.
 
Hii kiboko kabisa
 
Thank you Mkuu!,Blood of Jesus.

You think great.
 
Mi huwa nawashangaaga wale wanaowashukuru wazazi kwa kuwasomesha ama kuwalea, wakati ni wajibu wa wazazi kufanya hivyo.
 
Mm bado naona dunia sio sehem sahihi ya mm kuja. Bora ningeachwa huko
Kumbuka kabla ya kuingizwa tumboni kwa mama ako, ulikuwa ndani ya boxer ya dingi yako ambaye kunyoa vuzi na kufua boxer anadhani ni ubishoo achilia mbali joto kali lenye harufu ya jasho mixer mkojo lililokuwa likikubabua.
 
Una tatizo la akili
 
Mi nashukuru sana maana kwa kuja duniani napata nafasi ya kwenda mbinguni kuishi milele
Ila ni bora kutokuzaliwa kuliko kuishi ktk dhambi kisha uikose mbingu
 
Ila kweli nisingezaliwa haya matatizo yote yasingekuepo ndio maana wenye roho nyepesi wanajinyonga.
Jitaidi usiwe na watoto ili uwe muarobaini wa matatizo yaliyo/yanayokupata kwa kuzaliwa bila kumtuma mtu akuzae kwa hiyo unajuta kuzaliwa na hivyo usiwazae wengine kwa sababu hawajakutuma au sio mjomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…