Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hivi huyu kijana tuna mpango gani kama nchi wa kumsaidia apunguze hili tumbo, anakoelekea siko.
Serikali itenge bajeti kwa ajili yakehivi huyu kijana tuna mpango gani kama nchi wa kumsaidia apunguze hili tumbo, anakoelekea siko.
Namtafuta msanii mmoja nimemsahau jina ila ana pua kama ya bata hivi
Unataka kunigombanisha na wasaniiπ€£weka picha tuone kama ndiyeAnaitwa Ali Kiba.
ni kama vile kurwa na doto, hao kuwa tofautisha ni kuangalia ndevu
πππHapa unatakusema nini wewe jamaa!
πππKinyambe na Tuisila Kisinda View attachment 2619670View attachment 2619671View attachment 2619672View attachment 2619673
πππKajala na Samuel sita. tafuta picha zao. Mje mnipe maua yangu
Ni kweli kabisaKuna mchezaji anaitwa Martin Braithwaite ni Chris Brown mtupu.
Google uone.
Chid benzNamtafuta msanii mmoja nimemsahau jina ila ana pua kama ya bata hivi