Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hivi huyu kijana tuna mpango gani kama nchi wa kumsaidia apunguze hili tumbo, anakoelekea siko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi huyu kijana tuna mpango gani kama nchi wa kumsaidia apunguze hili tumbo, anakoelekea siko.
Serikali itenge bajeti kwa ajili yakehivi huyu kijana tuna mpango gani kama nchi wa kumsaidia apunguze hili tumbo, anakoelekea siko.
Namtafuta msanii mmoja nimemsahau jina ila ana pua kama ya bata hivi
Unataka kunigombanisha na wasanii🤣weka picha tuone kama ndiyeAnaitwa Ali Kiba.
ni kama vile kurwa na doto, hao kuwa tofautisha ni kuangalia ndevu
😂😂😂Hapa unatakusema nini wewe jamaa!
🙌🙌🙌Kinyambe na Tuisila Kisinda View attachment 2619670View attachment 2619671View attachment 2619672View attachment 2619673
😁😁😁Kajala na Samuel sita. tafuta picha zao. Mje mnipe maua yangu
Ni kweli kabisaKuna mchezaji anaitwa Martin Braithwaite ni Chris Brown mtupu.
Google uone.
Chid benzNamtafuta msanii mmoja nimemsahau jina ila ana pua kama ya bata hivi