Huku huwa nabeba mabox na kuyweka kwenye containers, nikimaliza kazi hiyo huwa naenda kazi nyingine ya kuosha vyombo kwenye hoteli moja. Weekends mara nyingi nipo na family na pia huwa nanunua vitu huku na kuvileta bongo, hasa vitu used ambavyo watu wananiagizia ..... Kwani vipi?Nimeogopa kuongelea Ubungo na Kiembe Samaki kwasababu itabidi John Mnyika apewe ving'ora kama Rais wa Unguja! teeh tehe tehe . Mkuu znz unayodhani ni Tembo, ni panya mkuu. Huko US mkuu unashuguulika na nini.
Ok hilo jambo jema kabisa. Nilikuwa naulizia maana baada ya kura ya Scotland, Washington post, Huffington Post, New times n.k. yameandika sana kuhusu mgogoro wa Bernett Formula. Naona ulikuwa busy hukupitia pitia. Ukaja moja kwa moja kuchangia kwa hisia zako.Huku huwa nabeba mabox na kuyweka kwenye containers, nikimaliza kazi hiyo huwa naenda kazi nyingine ya kuosha vyombo kwenye hoteli moja. Weekends mara nyingi nipo na family na pia huwa nanunua vitu huku na kuvileta bongo, hasa vitu used ambavyo watu wananiagizia ..... Kwani vipi?
You are funny!Ok hilo jambo jema kabisa. Nilikuwa naulizia maana baada ya kura ya Scotland, Washington post, Huffington Post, New times n.k. yameandika sana kuhusu mgogoro wa Bernett Formula. Naona ulikuwa busy hukupitia pitia. Ukaja moja kwa moja kuchangia kwa hisia zako.
Ahsante mkuu kazi njema, hiyo red and white stripes inashikwa na kila mmoja si, kila mtu anajua value yake isipokuwa brave tu
Siku zote huwa unazusha kuwa mimi nakukimbia, mimi siwezi kumkimbia mtu pointless kama wewe. Na nimeshakujibu kuhusu 4.5% mara nyingi tu. It's based on population i.e wazanzibari ni 4.5% ya watanzania. Na kimadaraka ni 20% ya Tanzania i.e 5 regions out of 25 regions. Ndiyo maana Warioba alipendekeza bunge la Muungano liwe hivyohivyo ... GOT IT NOW????
[quote="Mchambuzi, post: 10857787" ] Kwanini unalazimisha uongo?Nani Kakuambia wazanzibari ni 4.5% ya watanzania? Hiyo hesabu umeipataje? Hiviunajua formula hii asili yake ni nini kweli au unarukia tu. Unajua ilibuniwalini na ilitakiwa kutumika kwa muda gani? Nimejadili haya Huko juu, ukipataMuda Kasome.
Na Nani Kakuambia Tanzania Ina jumla ya mikoa 25? Na hata Kama ingekuwa kweli(ingawa sio kweli), uhusiano wa idadi ya mikoa na nafasi za Ajira wapi na wapi?Yani mikoa mitano Zanzibar yenye jumla ya wakazi 1.3 million ipate 21%, namikoa mingine yote ya bara kila mmoja ukiwa na wastani wa idadi ya wakazi waZanzibar nzima Kama sio zaidi, ipate 79%, huku humo humo the 1.3 millionzanzibaris pia wakipewa fursa? Please! Kajipange na hoja kwanza Kabla ya kujakudanganya Watu Hapa
Comrade,Nimekupa jibu murua kabisa!! .... hizo numbers hazijatoka from the air bali zime-base kwenye kitu Fulani. Now, wether it makes sense to you or not, that's another issue. Halafu kukaa Marekani ni uchaguzi tu wa mtu kuendesha maisha yake, haimaanishi kuwa ninatakiwa niwe juu kuliko let say anaekaa bongo. UNACHEMSHA!
Nilipoona hajui hata nchi ina mikoa mingapi,nilijiuliza hiyo formula anaijua imepatikanaje au ! Maana hata kwa kuhisi mtuhawezi kwenda fyongo kiasi hicho. Sina uhakika kama anajua kuna mkoa Wa Manyara,Geita, Njuluma n.k.
Halafu anasema hiyo populaion ni 1.3M bado hajaeleza kuwanusu yake inaishi Tanganyika.
Tulionyesha wazi kuwa katika 21% ni wazanzibar tu, lakini pia wanaingia katika 79% kama Watanzania.
Masikini hakuweza kupata hata simple logic, mwenzetu kadandia treni ikienda. Ndio hasa sababu za kumwambia ameingia tu kwa hisia.
Huyu bwana, hatambui kuwa wazanzibar wanalalamika ajira za halamshauri, na baadhi ya wizara kama ujenzi, kilimo, afya, elimu n.k.ambazo si za muungano wafanyakazi wake ni wa muungano.
Wznz wanataka wafanyakazi hao waondolewe kwasababu ni haramu
Wakati wakisema ni haram, wznz hao hao wanachukua 21 ya haramu, halafu wanaviazia 79 ya haramu.
Mwenzetu hilo ni kama mujiza, hana ufahamu, unconscious!
Haelewi kuwa wznz ni Watanzania ndani ya 79 halafu ni wazaznibar ndani ya 21.
Yeye kaota formula kama ya kijana wa kidato cha nne,halafu anapulizia ubani na manukato kwa kusema aulizwe yeye yupo Marekani.
Well,nadhani hukufuatilia mjadala.Comrade,
Inabidi uwavumilie hawa ndugu zetu kwa sababu wao wakikosa hoja wanaanza kejelina kuita majina kana kwamba kujua majina, maisha ya mleta hoja na kazi yakendiyo njia ya kujenga hoja mbadala.
Niliwaambia kitambo, kutumia nguvu nyingi za hoja za nguvu na nguvu za hojabila uhalisia wa siasa zetu ni kupoteza muda.
Tanzania iliyopo siyo hiyo wanayoidhani katika fikra na mitazamo yao, lakinikilicho cha muhimu zaidi, ni Watanzania hao hao kwa uwingi wao wanaoamua maishayao kitaifa.
Kwa sasa hoja waliyobaki nayo eti Tanganyika itadaiwa kwa nguvu. My left foot.
Kila mara nilikuwa ninawaambia, badala ya kujenga hoja za kujiaminisha nyuma yakeyboard/keypad, ingekuwa ni vizuri wakazijongea siasa zetu kwenye politicalepicenter.
Bila kuufahamu ukweli, wataendelea kuwa na msongo wa jambo ambalo hawawezikulibadilisha leo au kesho. Watanzania wengi kupitia wajumbe wa Bunge Maalumhawajawa tayari na jambo lao kama ilivyoonekana kwenye Bunge Maalum la Katiba.Hata kama kesho au kesho kutwa tukienda kwenye Kura za Maoni, jibu litakuwakama lilivyotolewa na Bunge Maalum.
Hii ndiyo hali halisi ya Tanzania katika kioo cha siasa.
Rais Kikwete amewashauri na kuwaambia, wasipoteze muda, wasubiri hayo ya kwaokatika muda wake kwa sababu kwa sasa hayakubaliwi pamoja na kwamba labdayanaweza yakawa mazuri. Haisadii kwa sasa kushupaa kwa jambo ambalolimekataliwa na Wajumbe wa Bunge Maalum kwa sababu huu siyo muda wake.
barubaru, kwa mtazamo wangu wazanzibar ndio wenye tatizo hilo la unafiki kuliko wabara, wao wakiwa Zenji watakuambia ni nchi kamili na wengi wanataka NKataba, wakivuka maji tu kuja nchi jirani ya Tanganyika watakuambia Zanzibar sio nchi ni sehem ya JMT, mfano halisi hata raisi wao kauonyesha juzi wakati wa makbidhiano ya rasimu ya CCM pale Dodoma, katamka wazi Zanzibar ni sehem ya JMT na sio nchi, kiukweli Zanzibar inaihitaji zaidi Tanganyika than Tang. Needs Zanzibar.
Tatizo la Watanganyika ambalo basically ndio linawatesa ni uoga wao kulidai jina la Tanganyika kwa uhuru na kuongea wazi kwamba tunaotaka kupumua ni Watanganyika maana nchi jirani ya Zenji wanatutegemea na kutunyonya kwenye mengi kuanzia Kiuchumi, ulinzi, Elimu na mengi neyo.
Kobello, alianza Kinana na dai kwamba kwa Watanzania wengi uwepo wa Katiba mpya si kipaumbele chao kwani wanachojali zaidi ni maendeleo yao. Akaja Nape Nnauye akasema Watanzania wengi hawahangaishwi na swala la Katiba mpya, wanachojali ni barabara na upatikanaji wa maji. Leo na wewe ume join the band wagon kwamba wanaotaka Tanganyika ni wachache zaidi ya ambao hawajali uwepo wake na kwamba Watanzania bara wengi hawajali haya mambo ya serikali tatu kama tunavyoaminishwa.Wanaotaka Tanganyika ni wachache zaidi ya ambao hawajali uwepo wake. Watanzania bara wengi hawajali haya mambo ya serikali tatu kama mnavyoaminishwa.
Kobello, alianza Kinana na dai kwamba kwa Watanzania wengi uwepo wa Katiba mpya si kipaumbele chao kwani wanachojali zaidi ni maendeleo yao. Akaja Nape Nnauye akasema Watanzania wengi hawahangaishwi na swala la Katiba mpya, wanachojali ni barabara na upatikanaji wa maji. Leo na wewe ume join the band wagon kwamba wanaotaka Tanganyika ni wachache zaidi ya ambao hawajali uwepo wake na kwamba Watanzania bara wengi hawajali haya mambo ya serikali tatu kama tunavyoaminishwa.
Sasa na mimi nauliza; ni kwa tafiti zipi mnatoa haya madai ya kipuuzi? What's wrong with you guys? Kwamba bila haya wala soni unaweza kutetea mambo ya kilaghai, kihuni na kipuuzi yanayotendeka nchini kama tulivyoshuhudia ndani ya kinachoitwa Bunge Maalum La Katiba? Halafu mtu anajiita msomi akidai ameishi ughaibuni muda mrefu...talk of taking an African out of the bush but never taking the bush out of him, that's what! Kobello, je unadhani CCM wanaweza kuthubutu kuruhusu level playing field wakati wa kampeni ya for and against Katiba ya CCM (Chenge/Sitta) kwenye kura ya maoni?
All of the above, based on population as a major variable. Maamuzi yalifanywa na serikali zote mbili baada ya kufuata uamuzi wa IMF kwenye mgao wa BOT ('96).Kwa kuongezea, Kobello, MwanaDiwani, Tusaidieni Hapa:
Maamuzi ya 4.5% and 21% kwa mmoja ya washirika wa muungano I (Zanzibar) yalifanywa on what:
1. Economic basis?
2. Legal basis? And
3. Democratic basis?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mchambuzi, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu ambaye yuko ughaibuni kwa jitihada zake mwenyewe ambaye kwa namna yoyote ile anaweza akatetea ujinga, uhuni, ulaghai na upuuzi unaofanyika nchini. Wote wanaofanya hivyo ni ama ni kwa tamaa, ulafi, utumwa au unafiki; sifa ambazo zimewaganda kama kupe kwa sababu tu ya kutegemea fadhila za hilo genge la mafia lililokamata madaraka.Mkuu Mag3, kina Kobello wa ughaibuni Ndio hawa waliokuwa na balozi wao Ombeni Sefue pale Washington. Sefue karudi hapa na kukwea ukatibu kiongozi lakini ameshindwa kuonyesha uwezo wake wa kiuongozi. Kwa mfano, kwa mantiki Kama hizi za Kobello na wenzao wa ughaibuni, Sefue anatetea uharibifu wa kina Sitta na Chenge bungeni na kudai Kwamba ni sahihi kuweka Kando mjadala wa muundo wa muungano kwasababu eti suala hili limeligawa taifa. Sefue akaendelea kusema Kwamba "muundo wa sasa utabaki Kama ulivyo sasa kwa kuwa bunge limeshindwa Kupata maridhiano juu ya Jambo Hilo". Swali letu kwa Sefue na wenzake akina kobello ni hili:
ikiwa serikalini hakuna muafaka Katika muundo wa serikali Tatu, upo wapi muafaka wa serikali Mbili? Makubaliano yake yanatokana na nini? Hoja Zipi? Hoja za Nani? Lini na wapi?
iwapo hakuna muafaka juu ya muundo wa muungano, kuna muafaka Katika masuala ya tunu za taifa? Maadili na miiko? Muundo wa bunge? Mapato ya serikali ya muungano?
Cc chama, MwanaDiwani, ZeMarcopolo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kasome hapa http://www.afrobarometer.org/files/documents/media_briefing/tan_r5_mediabriefing.pdf ukurasa wa 22.Sasa na mimi nauliza; ni kwa tafiti zipi mnatoa haya madai ya kipuuzi? What's wrong with you guys? Kwamba bila haya wala soni unaweza kutetea mambo ya kilaghai, kihuni na kipuuzi yanayotendeka nchini kama tulivyoshuhudia ndani ya kinachoitwa Bunge Maalum La Katiba? Halafu mtu anajiita msomi akidai ameishi ughaibuni muda mrefu...talk of taking an African out of the bush but never taking the bush out of him, that's what! Kobello, je unadhani CCM wanaweza kuthubutu kuruhusu level playing field wakati wa kampeni ya for and against Katiba ya CCM (Chenge/Sitta) kwenye kura ya maoni?
Kisheria, ukitaka kubadili mfumo wa muungano au kipengele chochote cha katiba unaweza kwa kupitia bunge.Mkuu Mag3, kina Kobello wa ughaibuni Ndio hawa waliokuwa na balozi wao Ombeni Sefue pale Washington. Sefue karudi hapa na kukwea ukatibu kiongozi lakini ameshindwa kuonyesha uwezo wake wa kiuongozi. Kwa mfano, kwa mantiki Kama hizi za Kobello na wenzao wa ughaibuni, Sefue anatetea uharibifu wa kina Sitta na Chenge bungeni na kudai Kwamba ni sahihi kuweka Kando mjadala wa muundo wa muungano kwasababu eti suala hili limeligawa taifa. Sefue akaendelea kusema Kwamba "muundo wa sasa utabaki Kama ulivyo sasa kwa kuwa bunge limeshindwa Kupata maridhiano juu ya Jambo Hilo". Swali letu kwa Sefue na wenzake akina kobello ni hili:
• ikiwa serikalini hakuna muafaka Katika muundo wa serikali Tatu, upo wapi muafaka wa serikali Mbili? Makubaliano yake yanatokana na nini? Hoja Zipi? Hoja za Nani? Lini na wapi?
• iwapo hakuna muafaka juu ya muundo wa muungano, kuna muafaka Katika masuala ya tunu za taifa? Maadili na miiko? Muundo wa bunge? Mapato ya serikali ya muungano?
Cc chama, MwanaDiwani, ZeMarcopolo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sina interest na position yeyote ya siasa Tanzania na sidhani kama nina uwezo huo. Pia sina interest ya kuishi Tanzania, ila ukweli ni lazima usemwe.Mchambuzi, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu ambaye yuko ughaibuni kwa jitihada zake mwenyewe ambaye kwa namna yoyote ile anaweza akatetea ujinga, uhuni, ulaghai na upuuzi unaofanyika nchini. Wote wanaofanya hivyo ni ama ni kwa tamaa, ulafi, utumwa au unafiki; sifa ambazo zimewaganda kama kupe kwa sababu tu ya kutegemea fadhila za hilo genge la mafia lililokamata madaraka.
Hao akina Kobello ndio hao hao; wanaishi kwa kuwalamba miguu watawala wasije wakawasahau huko mbele ya safari; mtu uliyebahatika kupata exposure ya kushuhudia tawala za kistaarabu zinavyofanya kazi utateteaje uendeshaji wa mambo kihovyohovyo kama tunavyoshuhudia kila kukicha? Wengi ama ni ndugu, washikaji au washirika wao na wanao wajibu wa kutetea status quo...hiyo kwao ni amri.
Kisheria, ukitaka kubadili mfumo wa muungano au kipengele chochote cha katiba unaweza kwa kupitia bunge.
Nadhani solution nzuri ni kupata wabunge wengi wa UKAWA 2015 na kujaribu kubadili katiba. CCM haiwezi na haina interest, and you know that. Plus you guys failed to pressure CCM kwa sababu hamna support ya wananchi.
What I'm trying to say here is ...... " I dare you! "