Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

ila aliesema NCHI itawaka moto ikitokea uchaguz umesogezwa mbele(Mbowe),yeye kaongea kauli yenye afya kwa taifa tena ya kizalendo,tena uchaguzi wenyewe ukifanyika bado watashindwa.
Tusiangalie wanasiasa kwa kutumia macho ya mbowe
 
Kwi!kwi!
Fuatilia uzi wa Nguruvi3 utamjua tu. Aliyeanzisha chama akabisha, Akajipachika nafasi ya juu ya chama bila kuchaguliwa.
Niendelee?

You mean Zitto !!!. I think Nguruvi3 and other CDM Jihadists or crusaders are obsessed with the guy. They should learn to leave without him and to tie Zitto with CCM is pure cr@p.
 
Mkuu hapa hatuongelei watu, bali matukio na watu. Tunaongelea utaifa na kutaka uwepo wa mtazamo mpya wa demokrasia na siasa za nchi.

Tunachokifanya ni kuonyesha ulaghai na udanganyifu wa wanasiasa wetu wakiwatumia wananchi wenye uelewa finyu(exploitation)

Kukaa kimya wakati mbegu mbaya zinapandwa hakulisaidii taifa.
Hivi unaweza kuamini kuwa matatizo ya Tanzania yanatokana na ukanda au mikoa?

Well, wale wale waliolaani ukanda ndio hao hao wanaohubiri ukanda. Hilo hulioni kama tatizo !!

Yaani wananchi wa Shinyanga wanaaminishwa kuwa matatizo yao yanasababishwa na wakazi wa Arusha na Kilimanjaro.
Hilo hulioni kama tatizo kweli. Kesho litaibuka jingine na mwisho wa siku tutavurugana

Mkuu, kuunganisha CCM na ACT inaweza kuwa wajinga kama ulivyosema. Hata hivyo, mantiki haikubaliani na hoja yako

Mfano, mbegu ya vyama vya siasa vya ukanda imepaliliwa na CCM.
Leo tunafahamu kuwa kumbe mwanzilishi wa hoja hizo ni ACT wakati wakaiwa Chadema.
Supreme leader kayasema Shinyanga bila aibu

Mkuu tuna matatizo ya rushwa na ufisadi kwasababu tu 'we learn to live without thinking about corruptions'

leo unaona klila mwananchi anavyolipa gharama kubwa kuhudumia wala corruption.
Huwezi kukaa kimya mbegu ikipanda, ukawa vocal mbegu ikichanua!

Mkuu, hapo nyuma tumesema supreme leader na genge ni walaghai, tukaambiwa wazushi.

Sasa tunathibitisha point moja baada ya nyingine na tutaendelea tu hata kama tunajua inaudhi watu wengine.

Tulisema hivi, kuna makundi matatu yanayomkabili supreme leader.

Wanaomwamini tu kwasababu wapo hypnotized na mesmerized

Wasiomwamini kwasababu hawana imani naye

Wenye mashaka kuhusu supreme leader na hawamwelewi

Tumeongelea makundi 2 na 3 huko nyuma.

Tulisema kundi la kwanza lina matatizo sana.
Litakapomuona supreme amebeba uchafu wa mwanadamu litasema ni mbole ya samadi na mboji

Leo tunashuhudia kundi hilo likisema supreme yupo sahihi kuongelea Ukanda na Ukabila kwasababu si taboo.

Ni kundi hilo hilo lilisema supreme anaandamwa kwa ukanda na ukabila.

Mkuu unapokuwa na watu waliochanganyikiwa kiasi fulani, hupaswi kukaa kimya, unatakiwa uwatafutie dawa.

Hapa tunatoa matibabu ya kisaikolojia. Tunaelewa hakuna dawa tamu, ni lazima tutumie dozi hata kama ni chungu
 
How do you say you offer psychological cure when you don't talk directly to Zitto's audience in Shinyanga and dispute his claims? Do you think if Zitto had talked to JF audience, would he have said what he said in Shinyanga?

Believe me or not? Politics is all about controlling the narrative whether you are talking to a very educated population or not.
 
Ndiyo maana ya mjadala, sasa wewe tueleze kasema nini, wapi tumekosea au kumuonea
 
Ndicho kinafanyika hapa, kwamba si Shinyanga tu bali nchi nzima na popote duniani mtandao unaposomeka

Hakuna sababu za ku dispute madai yake. Kufanya hivyo ni kuyapa madai yake uhalali na hivyo kushiriki uovu

Kinachotakiwa ni kumkemea, karipia na kumuonya kuhusu siasa chafu za kuligawa taifa
Kinachotakiwa ni kumonyesha anavyofakamia 'matapishi' yake
Kinachotakiwa ni kuueleza umma kuhusu utapeli, matapeli na walaghai

Siyo supreme leader au wapambe wake waliosimama popote na kusema si hivyo, kurekebisha au kukanusha

Ukweli upo wazi, siasa za kujenga chuki miongoni mwa wananchi ni dhaifu, muflisi na za hovyo.

Lini supreme atakua kisiasa? 15 yrs ni muda mzuri kuongelea taifa kwa upana wake na si ukanda na ukabila. Pathetic!
 
You see sir. In one of your previous posts you said that Zitto is exploiting the uneducated mass. If I read that correctly, I don't think the uneducated mass you have referred to will be able to log into this forum and decipher what you have written.

You talk constructive ideas to the group of bourgeois here: Mkandara, Jasusi, Mchambuzi; whereas Zitto preaches to the mass. Who's having a real impact?
 
How do you say you offer psychological cure when you don't talk directly to Zitto's audience in Shinyanga and dispute his claims? Do you think if Zitto had talked to JF audience, would he have said what he said in Shinyanga?

Believe me or not? Politics is all about controlling the narrative whether you are talking to a very educated population or not.
Zakumi,

hapa unatuchanganya kidogo. Pengine nikuulize - Je maana yako ni kwamba in terms of "CONTENT", Zitto yupo sahihi kwa sababu amechagua the right CONTEXT lakini angeweza kutokuwa sahihi kama angechagua the wrong CONTEXT to present his CONTENT?
 
Last edited by a moderator:
You see sir. In one of your previous posts you said that Zitto is exploiting the uneducated mass. If I read that correctly, I don't think the uneducated mass you have referred to will be able to log into this forum and decipher what you have written.

You talk constructive ideas to the group of bourgeois here: Mkandara, Jasusi, Mchambuzi; whereas Zitto preaches to the mass. Who's having a real impact?

What kind of impact are you referring to? Positive? Negative?

You have mentioned a few individuals arguing that they don't have real impact to the masses (because they only exist in JF), compared to Zitto who in your view has huge impact to the masses because hes directly speaking to them. This is major flaw in your argument and analysis - you tend to ignore of the relative importance of 'content' and 'context'.

Zakumi, In this forum, most of us, if not all of us "tumesoma" na "kuelimika". And many of us tumeelimika kwa gharama za wengine ambao they did not get that opportunity (wakulima, wafugaji, etc). Kwa maana hii, kama wasomi na waelewa, we have a very important role to play in the society (Tanzania) in terms of evolving and crystallizing JF as a body of intellectual thought through which the society can reflect upon itself beyond the "obvious" and the "existing". Thats what Nguruvi3, Mag3, Jasusi, to mention a few have been trying to achieve, tirelessly. However, you see these individuals as a hurdle to your mission. What mission? Time will tell.

Zakumi, in any society, an intellectual body is like a mirror in the sense that it gives the society its own "image". Intellectuals coming from diverse background have a duty of telling us 'how we look as a society'. They have an important role of articulating our hopes and fears; intellectuals are supposed to warn us of all impending dangers and persuade us into action for the 'good'. They help the society give meaning to and read meaning into, what may look like the obvious, harmless (safe, non-poisonous), and normal. What Zitto is attempting currently is not obvious, its not safe, its not normal, its not non-poisonous. It will be a grave mistake to let continue. Our role is to warn the society of the impending danger before its too late.

Initially, many viewed Zitto as an intellectual in politics. Today, we can confidently argue that Zitto has separated himself from intellectuals. Zakumi, you bluntly argued that earlier when you were on defense of Zitto where you argued that "politics is all about controlling the narrative".

Whereas politicians (like Zitto and crew) tend to think for us, intellectuals have a duty to help the society think for itself. It is for this reason, Zakumi, Zitto and team cannot like intellectuals who deliver for the later. Zakumi, Zitto and team will always look at Nguruvi3, Mag3 et al as as destructive agents towards their mission. Our criticisms are viewed as destructive criticisms. That's why in his thinking (Zakumi), What Zitto is doing to the "masses", that's constructive. But in reality - your distinction between destructive and constructive criticism is lifeless because what you zitto and team really mean is - "What we don't like the society to hear is destructive and what is in our favor is constructive".

ACT Wazalendo is Self Deception in Politics.
 
Mchambuzi my brother, kuna watu wamepigwa upofu na ushabiki usio na critical arguments, kuna watu wamekasirishwa tu na Zitto kuondoka CDM na kuanza kutengeneza mazingira kwamba CDM bila zitto is dead na wanaamini taasisi kama CDM imejengwa kwa ZZK, so watu hawa badala ya kuw objective kweny arguments zao wamebaki kuw na hasira na chuki dhidi ya CDM kwa yaliyotokea kwa mtu wao.

one among thread za jukwaa la siasa nilimwambia Mkandara toka isu ya zitto na kufukuzwa kwake umegeuka san kaka yangu badala ya kuwa na hoja za kushawishi amekua ni mwenye mtazamo na mawazo ya hasira, na alinijibu kwamba ni kweli anahasira na CDM kwa walivyomfanyia Zitto na wenzake, nikasikitika sana kwamba wachamhuzi wetu including akina Pasco wanaweza kubebwa na upepo wa mtu badala ya kusimamia ukweli daima na kukosoa kama critical thinkers bila kujali upande wowote.

kaka mchambuzi na Nguruvi3 nawaambia ukweli kabisa hawa watu ndio watakao mmaliza huyu jamaa kisiasa maana wanampa sana sifa asizostahili bila kumkosoa anapokosea na kutoa matamshi chonganifu. Na mbaya zaidi wanafurahia uwingi wa watu huku wakisema ndio mwisho wa CDM yaani upinzani kutaka kuua upinzani mwingine kweli ni ajabu sana, ninaamini safari yake ya kujijenga zaidi yeye badala ya chama hatafika mbali kama asipobadilika na kushauriwa vizuri na washauri wake ambao wanampamba hata anapokosea.

Kwa sisi tusio na vyama na wala mrengo wowote, kiasi fulani nililifurahishwa na uamuzi waliouchukua CDM kuwaadhibu wakosefu kwa mujibu wa taratibu za kinidhamu bila kuogopa lolote au ukubwa wa mtu. Kila siku tunaipigia kelele serikali kushindwa kuchukua maamuzi magumu sasa kwa nn wawipongezwe.

no matte the damage, hawa wameset standard za namna ya kudumisha nidhamu bila kuogopa mtu au ufuasi wowote, hapa sasa ndio tutauona uimara au udhaifu wa CDam kama taasisi, kikiyumba just bzof cleaning undesciplined members basi hicho chama hakifai na kife tu, la kama kitaweza kudumisha nidhamu na bado kikasimama imara bila kuhangaika na upepo, then ni taasisi iliyokomaa kisiasa na inayoheshimika.

Kwangu mimi huu ni wakati haswa wa kuwapima CDM kama wanaweza kustahimili mawimbi makali ya kisiasa na kuyashinda maana in reaity wana two politocal enemy at par, huku wapambane na CCM ( original political enemy) na tena wapambane na ACT ( converted enemy), maana hawa furaha yao ni kuona CDM na upinzani kiujumla vinayumba na wao kuchukua nafasi bila hata kuangalia timing.

pamoja na yote kama alivyowahi kuandika Nguruvi3 huko nyuma CDM walichelewa sana kuchukua maamuzi na hatua za kinidhamu wa hawa ndugu ( bad timing), wamechukua maamuzi kwa kuchelewa sana kipindi kigumu mno kuelekea uchaguzi, na hapa ndio Suprime leader anataka kucheza kwa akili sana kuwavuruga wapinzani wake ( remember in reality they fight against parent party not ruling one as they proclaim). So kisasa timing ni kosa kubwa sana, CDM ilibidi walione hili since 20010/11 na kuchukua maamuzi kwa haraka, magumu na sahihi.

kwanini nasema CDM walifanya makosa kuchekwa kuchukua maamuzi kuhusu hili kundi wakati walikua na taarifa sahihi juu ya kuhujumu chama ( kumbuka kuhujumu chama ni pamoja na kuwatoa kwenye focus ya mambo ya msingi na kutaka kujinufasha binafsi na sio chama ( personal popularity/goodwill), nitaonyesha machache ya kawaida kwa jamii (ukiacha yale ya kiintelijensia ya chama chao ambayo tuliyasikia hatujui kama ni kweli au kasingiziwa, ukweli wanaujua Zzk na CDM).

1. Wakati wa mass compaign 2010, watu wakiwa focused na uchaguzi yeye akiwa Kigoma jimboni kwake akatangaza kuwania uraisi kwa chama chake next season yaani 2015, sasa tukabaki kushangaa ina maana hana imani na mgombea wake au ana nia ipi kusema hivyo? Ukiangalia kwa jicho la tatu kijana hakufanya haya bahati mbaya, it was techinical diversion from original focus, hili ni la kusikitisa sana yaani wakati wa kampeni wewe unafanya mambo kama hayo kwa nini usisubiri wakati muafaka???

2. Wakati wa kampeni kule Arumeru (2012 kama sijakosea), it was a national batle kati ya chama chake na chama tawala, akatangaza kuwania uenyekiti wa chama, looo maajabu mengine tena nini lengo lake?? Again diversion of focus, sasa tunabaki kujiuliza nini lilikua lengo lake

hayo ni machache, sasa najiuliza CDM walikua wamelaala usingizi wa pono wasiyaone hayo yote zamani mpaka wanakuja kufanya difficult decision kipindi hiki kigumu cha kuelekea uchaguzi mkuu.

mwisho nihitimishe kwa kusema, namtakia Zzt maisha mema huko aliko na kumshauri tu abadili siasa zake na kufocus kujenga chama zaidi kwa sera bila kuangalia alikotoka, pia nawashauri CDM wasimame imara kama taasisi bil kuyumbishwa na kuondokz kwz waliowaona wahalifu na ujio wa chama chao, wakumbuke CDM hapo ilipofika ni collective effort not a single person effort.

Ni kiu yangu kubwa kuona Tanzania tuache siasa za fitna na chuki na kuacha kufocus kwenye sisasa za vyama badala yake tuangalie maslahi ya nchi na vizazi vyetu vijavyo.
Mambo yanayotokea kwenye siasa yanaturudisha nyuma sana sisi wengine kuingia kwenye siasa na kuzidi kukaa nazo mbali kabisa tutaishia kubaki wachambuzi na kukosoa bila kumuogopa mtu kuanzia chama tawala mpaka wapinzani wote kwa umoja wao
 
Mchambuzi hapo juu, sina la kuongezea nadhani Zakumi ameelewa vema tu. Hoja zimesimama zenyewe kwa vituo.ahsante sana
King Suleiman umeeleza kila jambo hadi nasikia raha.
Nilihisi ni matatizo pengine naona vitu upside down. Sasa wasi wasi umenitoka kabisa.

1. Mkuu, mabandiko ya nyuma tumeeleza makundi 3 yanayokabiliana na Zitto

a) Linalo mwamini tu hata iweje. Hili likisikia kahamia CCM litafuta, kahamia CUF litafuta.

Tulisema kundi hilo lipo mesmerized and hypnorized. Kwa kiswahili lina usigingizi wa pono japo linatembea.
Ndio lile tulilosema akishika ule uchafu, litatetea ni mbole ya samadi.

Ndio mfano wa Mkandara anayelaani Lukuvi kwenda kanisani kuhubiri katiba, anatoa pass kwa Zitto kuhubiri mgawanyiko kwa kisingizo cha '' kuongelea makabili si taboo''

b)Kundi lislomwamini Zitto. Hili ni lile lililochoshwa na bla bla. Kundi linazidi kuongezeka kwasababu Zitto ana prove right dahana yao.
Jasusi kasema, Zitto alikana hana chama akiwa Mahakamani.
Baada ya wiki akasema ni mwanzilishi wa ACT Kundi hili likasema 'si manona?.
Na hoja ya kushambulia kanda inazidi kulipa nguvu zaidi. Alikataa ukanda anahubiri ukanda

c)Kundi la tatu ndilo anahangaika nalo. Lina wenye mashaka juu yake.
Hili anajitahidi kuli win, lakini kujichanganya kunakoendelea ni tatizo kubwa kwa Zitto

Hoja ya kusimamia nidhamu, nashukuru ulinisoma mwaka 2011.

Tuliwaeleza CDM kuwa jipu halitibiwi kwa bandage, linapasuliwa. Tukawapa mfano wa madiwani, Kaborou, Kafulila n.k. kwamba waliondoka wakaiacha taasisi. Tulisema CDM ijengwe kama taasisi kuepuka ya CUF na NCCR

Hoja ya kujenga nidhamu, umesema vema. Hatupo hapa kutetea vyama.

Wengine tunasema kila anayekosea bila haya. Tunawalaani CCM kwa kutovua gamba.

Tunasema CCM imetengeneza jamii ya kutowajibika au kuwajibishana.
Hilo ni tatizo kubwa sana nchini. Utamaduni uliopo sasa, bofoa na piga kunako,mwisho wa siku unakula kiinua mgongo kama akina Luhanjo, Jairo, Werema n.k.

Utamaduni wa CCM umejengekea kwa miaka 50. Hatuwezi kuuvunja leo, isipokuwa, tunaweza kujenga utamaduni mwingine utakaovunja huu wa CCM.

Utamaduni mpya ni kuwajibika kwa kauli na matendo. CDM walichokifanya ni kuanza kujenga mbegu za taasisi na watu na si mtu. Tukisema ni utamaduni mzuri tunaambia hapana, umemgusa supreme leader mwenye immunity

Hoja ya Zitto kushauriwa vibaya na kushangiliwa, nayo inahitaji fikra kwa kundi la 1.

Tuliwahi kumshauri Zitto akae na wenzake, awe mtulivu kwani ni suala la muda tu. Kapuuzia.

Washauri wake wakamwandikia waraka wakimpamba kwa kila nonjera.
Hawa ni wale wa kundi la kwanza, ambao hata sasa hivi hawaoni makosa anayofanya.

Walichotakiwa ni kumshauri Zitto ajenge chama chake kwa busara na weledi.

Kinyume chake wanamshangilia anaposhambulia mikoa ya kaskazini.

Kimkakati hilo ni kosa kubwa sana. Ni tangazo la ACT kufa Kilimanjaro na Arusha kabla haijakwenda.

Ni mikoa yenye ushawishi sana katika siasa. Wafuasi wa supreme hawaoni tatizo, wao wanachokiona ni kivuli cha supreme tu.

Hoja ya Chadema, wiki mbili zilizopita niliandika hivi 'kama kuondoka kwa Zitto kutaiua CDM basi ni jambo jema sana'

Tutakuwa na uelewa kuwa hiki ni chama cha briefcase siyo taasisi. Tukasema pia, CDM ya leo ikishindwa kuhimili misuko suko kama ya nyuma itakuwa ni makosa yao.

Kwa muda huu, walitakiwa waongeze nguvu za kampeni za wabunge, madiwani wao.

Kama wataendelea kuduwaa basi watajikuta pabaya. Tunakumbuka ushawishi wa Amani Walidi.
Alioondoka wakaibuka akina Zitto. Leo CDM ina potential people, wakishindwa kuwatumia ni tatizo lao.

Naunga mkono 100% kwamba huu si muda wa siasa za vyama. Ni muda wa kuiangalia nchi.

Kama tutaendelea na utaratibu wa kufuata mkumbo tutalipoteza taifa.

Wanafiki na walaghai waambiwe bila haya au soni. Hawa ndio kama wale walioachwa miaka 40 iliyopita leo wanalitesa taifa. Tuna chaguo, kuacha kizazi chetu na watu wema, au kuwavumilia wanafiki na walaghai turithishe matatizo kama tuliyorithi
 
Mkuu wangu Nguruvi3, thanks sana ndugu yangu,, from the bottom of my hrt nawapongeza sana wewe na wenzako akina Mchambuzi, mag3 na wengine wote wenye maono ya kweli, endeleeni kushauri, kuonya, kukaripia kukemea na kurekebisha pale mnapoona pana mapungufu na pia kupongeza pale panapostahili.

Nawashauri kwa moyo mmoja muwe na focus kwa maslahi bora ya taifa na hata siku moja msiyumbishwe na upepo na vimbunga vya wanasiasa uchwara mkaacha kuwa focused kama baadhi ya watu walivyokeunga kisa wameona watu wao waliowatarajia wamefanya tofauti, focus yetu kubwa ni nchi yetu pendwa, pambaneni bila kuchoka mpaka tuifikie nchi ya ahadi.

Na nina wahakishishia kabisa msifikiri kazi zenu ni bure, tunawasoma sana na mnabadilisha sana jamii kuliko mnavyodhani, spilover effects ipo kubwa sana kwa mabandiko yenu, taratibu kama moto wa kifuu watu wanazidi kuelimika na kupata ufaham mpya
 
What kind of impact are you referring to? Positive? Negative?

You have mentioned a few individuals arguing that they don't have real impact to the masses (because they only exist in JF), compared to Zitto who in your view has huge impact to the masses because hes directly speaking to them. This is major flaw in your argument and analysis - you tend to ignore of the relative importance of 'content' and 'context'.

Zakumi, In this forum, most of us, if not all of us "tumesoma" na "kuelimika". And many of us tumeelimika kwa gharama za wengine ambao they did not get that opportunity (wakulima, wafugaji, etc). Kwa maana hii, kama wasomi na waelewa, we have a very important role to play in the society (Tanzania) in terms of evolving and crystallizing JF as a body of intellectual thought through which the society can reflect upon itself beyond the "obvious" and the "existing". Thats what Nguruvi3, Mag3, Jasusi, to mention a few have been trying to achieve, tirelessly. However, you see these individuals as a hurdle to your mission. What mission? Time will tell.

Zakumi, in any society, an intellectual body is like a mirror in the sense that it gives the society its own "image". Intellectuals coming from diverse background have a duty of telling us 'how we look as a society'. They have an important role of articulating our hopes and fears; intellectuals are supposed to warn us of all impending dangers and persuade us into action for the 'good'. They help the society give meaning to and read meaning into, what may look like the obvious, harmless (safe, non-poisonous), and normal. What Zitto is attempting currently is not obvious, its not safe, its not normal, its not non-poisonous. It will be a grave mistake to let continue. Our role is to warn the society of the impending danger before its too late.

Initially, many viewed Zitto as an intellectual in politics. Today, we can confidently argue that Zitto has separated himself from intellectuals. Zakumi, you bluntly argued that earlier when you were on defense of Zitto where you argued that "politics is all about controlling the narrative".

Whereas politicians (like Zitto and crew) tend to think for us, intellectuals have a duty to help the society think for itself. It is for this reason, Zakumi, Zitto and team cannot like intellectuals who deliver for the later. Zakumi, Zitto and team will always look at Nguruvi3, Mag3 et al as as destructive agents towards their mission. Our criticisms are viewed as destructive criticisms. That's why in his thinking (Zakumi), What Zitto is doing to the "masses", that's constructive. But in reality - your distinction between destructive and constructive criticism is lifeless because what you zitto and team really mean is - "What we don't like the society to hear is destructive and what is in our favor is constructive".

ACT Wazalendo is Self Deception in Politics.

If you don’t directly talk to people, your impact is insignificant. Yes arguing in this forum at its own social and psychological values. However, changing society isn’t one of them. You are here to engage in usual endless political discourses with no desire to take any actions. That’s what many Tanzanians and I expect from our intellectuals and educated elites.

Tanzania isn’t a homogenous society and many Tanzanian can’t relate to the intellectual body your referring too. So why an ordinary Tanzanians should listen to you? Just because you are educated and just because we live in the same geographic area called Tanzania doesn’t mean you entitled to tell me what I should do without any connection.

I don’t live in a monastery. I live in a real world where good and evil mix together. If Zitto can connect to my world, I will follow him even if isn’t speaking the truth. For example, in 1995 I followed Mrema. I followed him not because he was the best or because intellectually able person, but because I could connect to him and he was the enemy of my enemy.

Now with regard to Zitto, I don’t have a connection with the guy. But at the same time I can’t stop the guy doing what he has been doing. I think you should do the same. As an intellectual, you have lived with uneducated Tanzanians since you were born, but you haven’t connected to their lives. Now Zitto is tapping the energy of uneducated, you are spooked. Where were you these years?
 
Mchambuzi hapo juu, sina la kuongezea nadhani Zakumi ameelewa vema tu. Hoja zimesimama zenyewe kwa vituo.ahsante sana
King Suleiman umeeleza kila jambo hadi nasikia raha.
Nilihisi ni matatizo pengine naona vitu upside down. Sasa wasi wasi umenitoka kabisa.

1. Mkuu, mabandiko ya nyuma tumeeleza makundi 3 yanayokabiliana na Zitto

a) Linalo mwamini tu hata iweje. Hili likisikia kahamia CCM litafuta, kahamia CUF litafuta.

Tulisema kundi hilo lipo mesmerized and hypnorized. Kwa kiswahili lina usigingizi wa pono japo linatembea.
Ndio lile tulilosema akishika ule uchafu, litatetea ni mbole ya samadi.

Ndio mfano wa Mkandara anayelaani Lukuvi kwenda kanisani kuhubiri katiba, anatoa pass kwa Zitto kuhubiri mgawanyiko kwa kisingizo cha '' kuongelea makabili si taboo''

b)Kundi lislomwamini Zitto. Hili ni lile lililochoshwa na bla bla. Kundi linazidi kuongezeka kwasababu Zitto ana prove right dahana yao.
Jasusi kasema, Zitto alikana hana chama akiwa Mahakamani.
Baada ya wiki akasema ni mwanzilishi wa ACT Kundi hili likasema 'si manona?.
Na hoja ya kushambulia kanda inazidi kulipa nguvu zaidi. Alikataa ukanda anahubiri ukanda

c)Kundi la tatu ndilo anahangaika nalo. Lina wenye mashaka juu yake.
Hili anajitahidi kuli win, lakini kujichanganya kunakoendelea ni tatizo kubwa kwa Zitto

Hoja ya kusimamia nidhamu, nashukuru ulinisoma mwaka 2011.

Tuliwaeleza CDM kuwa jipu halitibiwi kwa bandage, linapasuliwa. Tukawapa mfano wa madiwani, Kaborou, Kafulila n.k. kwamba waliondoka wakaiacha taasisi. Tulisema CDM ijengwe kama taasisi kuepuka ya CUF na NCCR

Hoja ya kujenga nidhamu, umesema vema. Hatupo hapa kutetea vyama.

Wengine tunasema kila anayekosea bila haya. Tunawalaani CCM kwa kutovua gamba.

Tunasema CCM imetengeneza jamii ya kutowajibika au kuwajibishana.
Hilo ni tatizo kubwa sana nchini. Utamaduni uliopo sasa, bofoa na piga kunako,mwisho wa siku unakula kiinua mgongo kama akina Luhanjo, Jairo, Werema n.k.

Utamaduni wa CCM umejengekea kwa miaka 50. Hatuwezi kuuvunja leo, isipokuwa, tunaweza kujenga utamaduni mwingine utakaovunja huu wa CCM.

Utamaduni mpya ni kuwajibika kwa kauli na matendo. CDM walichokifanya ni kuanza kujenga mbegu za taasisi na watu na si mtu. Tukisema ni utamaduni mzuri tunaambia hapana, umemgusa supreme leader mwenye immunity

Hoja ya Zitto kushauriwa vibaya na kushangiliwa, nayo inahitaji fikra kwa kundi la 1.

Tuliwahi kumshauri Zitto akae na wenzake, awe mtulivu kwani ni suala la muda tu. Kapuuzia.

Washauri wake wakamwandikia waraka wakimpamba kwa kila nonjera.
Hawa ni wale wa kundi la kwanza, ambao hata sasa hivi hawaoni makosa anayofanya.

Walichotakiwa ni kumshauri Zitto ajenge chama chake kwa busara na weledi.

Kinyume chake wanamshangilia anaposhambulia mikoa ya kaskazini.

Kimkakati hilo ni kosa kubwa sana. Ni tangazo la ACT kufa Kilimanjaro na Arusha kabla haijakwenda.

Ni mikoa yenye ushawishi sana katika siasa. Wafuasi wa supreme hawaoni tatizo, wao wanachokiona ni kivuli cha supreme tu.

Hoja ya Chadema, wiki mbili zilizopita niliandika hivi 'kama kuondoka kwa Zitto kutaiua CDM basi ni jambo jema sana'

Tutakuwa na uelewa kuwa hiki ni chama cha briefcase siyo taasisi. Tukasema pia, CDM ya leo ikishindwa kuhimili misuko suko kama ya nyuma itakuwa ni makosa yao.

Kwa muda huu, walitakiwa waongeze nguvu za kampeni za wabunge, madiwani wao.

Kama wataendelea kuduwaa basi watajikuta pabaya. Tunakumbuka ushawishi wa Amani Walidi.
Alioondoka wakaibuka akina Zitto. Leo CDM ina potential people, wakishindwa kuwatumia ni tatizo lao.

Naunga mkono 100% kwamba huu si muda wa siasa za vyama. Ni muda wa kuiangalia nchi.

Kama tutaendelea na utaratibu wa kufuata mkumbo tutalipoteza taifa.

Wanafiki na walaghai waambiwe bila haya au soni. Hawa ndio kama wale walioachwa miaka 40 iliyopita leo wanalitesa taifa. Tuna chaguo, kuacha kizazi chetu na watu wema, au kuwavumilia wanafiki na walaghai turithishe matatizo kama tuliyorithi

Technically, you become a party member when you pay your dues and become a register member. Zitto wasn't. So why do you question his tactics?
 
Mkuu Zakumi , njaribu sana kukusoma sielewi wapi hasaunasimamia achilia mbali unazungumzia.

Hoja zako zimekosa vionjo auzimeacha vionjo muhimu makusudi kabisa. Nitakujibu kwa mabandiko mawili

Sehemu ya I

1 Unaposema forum hazina nafasi kubadili jamii unashindwakuelewa mwenendo wa dunia kwasasa achilia mbali Tanzania.

Mabadiliko yana sehemu kadhaa.
Kuna Revolution changeszinazosababishwa na ukandamiza, uonevu na unyanyaswaji.
Pia zaweza kusababishwana mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na kisiasa(social, political or economic)

Revoulution inaweza kutokea kwa wananchi au kwa serikali.
Endapo serikali husika itafanya mabadiliko kukidhi haja za kijamii, kiuchumi au kisiasa, hayo ni mapinduzi

2. Kuna passive changes ,mabadiliko yanayotokea bila udhibiti bali hutokea tu kwa vile imelezimu na hakuna njia ya kuzuia

3 Radical changes, ambayo ni mabadiliko ya lazima yanayotumia nguvu

Mabadiliko hayo(baadhi) yametokea kwa njia tofauti nanyakati tofauti.

Miaka ya ya 60 kurudi nyuma kulikuwa na passive changes pamojana revolution.
Nchi nyingi zikajitawala. Nyingine zikafanya mabadiliko kwasababu ilikuwa ni lazima

Miaka ya 70 hadi 90, kulikuwa na mabadiliko ‘radical changes'.
Hayo yaliambatana na maafa kama mapinduzi kwa nchi za Afrika, ulaya ya mashariki na hata magharibi kwa ujumla

Miaka ya 2000 kwenda mbele yamekuwepo mabadiliko ‘passivechanges' kwamba ni lazima kitu kitokeo hata kwa udhibiti.

Tanzania iliwahi passive changes kwa kubadili mfumo wa siasa na uchumi kiasi. wimbi halikuleta madhara.

Kuanzishwa kwa vyama vingi na ubepari ni sehemu yamabadiliko ambayo yasingeweza kuzuilika

Mabadiliko yanayotokea sasa duniani ni mchanganyiko. Yapo ya revolution, radical na passive.

Ni wazi passive changes ndio inaongoza revolution na radical changes.
Tumeona Arab spring ikianza kama passive nahatimaye inakuwa radical

Nchi zilizoendelea kama Marekani nazo zimekumbwa na mabadiliko. Tunaona uwepo wa viongozi vijana, nchi hizo zikibadili sera zao kuhusu mambo ya uchumi, siasa na jamii

Kichocheo kikubwa kimekuwa mitandao ya jamii(forums) ambako watu wamekuwa na nafasi ya kuzieleza serikali na taasisi zao nini wanataka.

Tumeshuhudia kampeni kama za Obama zikitumia mitandao kukusanya pesa,kuwasiliana na wapiga kura, na hata kuratibu upigaji wa kura

Inaendelea……
 
Sehemu ya II

Obama na Democrat walipoanza kutumia mitando walionekana naïve(mapepe).
Utakumbuka mitandao ilivyowasaidia na leo hii ni fashion, si Marekani bali duniani

Mitandao ndio imeratibu Arab Sring na kuleta mabadiliko makubwa nchi za kijamaa kama China ambako bila kupenda mabadiliko yalikuwa nilazima, na lazima yatokee(passive changes)

Tanzania, utaona viongozi wanavyopishana mitandaoni kusaka nafasi za kisiasa.
Hawa unaowasoma mtandaoni
wakieleza wagombea wao ni wafanyakazi wakisiasa.

Mitandao kama JF ikiwa chemic hemi ya kuibuaufisadi, kuiweka sawa serikali na jamii kwa ujumla

Supreme leader anatumia mitandao nkuliko wanasiasa wengi. Ni jambo jema kwasababu mitandao haiepukiki.

Hiyo mikutano anayofanya,siku zote huanza katika mitandao. Bila mitandao kazi yao ingelikuwa ngumu kuliko unavyodhani

Mitandao imekuwa ni sehemu ya vyombo vya habari visivyo rasimi, lakini impact yake ni kubwa kuliko magazeti ambayo mtu hulazimika kugawa dola 1 kwa siku ilia pate gazeti

Kusema kuwa mitandao haifikii wapiga kura ni kuwa out oftouch na dunia hii.
Kusema kuwa mitandao haina impact ni kujiweka katika nafasi ya juu miongoni mwa wazee wa 1947

Tunaamini kwa dhati kabisa, tunawafikia wananchi wengi kuliko mwanasiasa mwingine kwa siku kwa mwezi n.k.

Unaweza kubisha kwasababu tu utakuwa na genes za namna hiyo, ukweli undio huo

Hatuwezi wote kuzunguka Tanzania, lakini tunaweza kuifikiaTanzania kwa njia nyingine.

Babu yangu aliwahi kuniambia ‘mjukuu jembe lako ni dogo sana halienei kiganjani lakini lina makali kuliko majembe yangu 100'' nikamuulizajembe lipi babu?

Akasema kwa msimu mmoja jembe lake linampa laki 2 za mazao.

Kwa mwezi mmoja jembe langu linanipa laki 300 kwa mwezi, tena nikiwa kwenye kivuli(ofisini) na nikienda shamba nikiwa nimekaa(gari)

Zakumi kama unategemea tufanye mikutano juu ya viti na loudspeaker kama Rashid Kawawa na Nyerere, utakuwa unaiutukana teknolojia na dunia.

Tunajibu hoja nyingine….Inaendelea
 
Sehemu ya II

Hatuwaambii Watanzania wafanye nini kama ulivyosema.Tunawaonyesha ukweli, kuwakumbusha, kuwatahadhrisha na kubadilishana mawazo. Hivyo, connection kati yetu Watanzania ni Utanzania, katika hali ya umasikini wa miaka 50

Kwamba, Zakumi atamfuata Zitto the supreme hata kama hasemi ukweli. Kauli hii imenitisha sana.

Hivi unawezaje kuwa na connection na mlaghai. Connection inakuwepo endapo nawe ni mlaghai, wenyewe wanasema ‘you have common interest''

Hoja kwamba Zitto anazuliwa asifanye anayotaka ni mfu.Anayetupa habari za kusema ni supreme.

Mfano, nani alizungumzia mashambulizi ya mikoa ya kaskazini kama si supreme?

Tunakosa gani tukiziangalia hoja zake kama alivyosema? Au unataka kusema, tulipaswa kumeza tu na kushangilia kwa nderemo na vifijo! Real

Zitto is not tapping the energy of uneducated, no sir!

Supreme is ‘tapeli-ng' the unlucky ones

The cluster of elites is going around, bamboozling and exploiting the helpless Tanzanians under the banner of wazalendo

Incessantly,they're spitting the venom to dissect the nation for their political gains.
Never they walk the talk,rather, flip flop day in day out!

Yet, Zakumi is pleading to Wananchi to shut up! or Learn to live with liars

.
For the past 50 years we have endured enough!
It's time to refute and rebuke the hogwash

Sir, heeding your call is to betray Tanzanians, we're not ready for the libertine

Tusemezane
 
If you don't directly talk to people, your impact is insignificant. Yes arguing in this forum at its own social and psychological values. However, changing society isn't one of them. You are here to engage in usual endless political discourses with no desire to take any actions. That's what many Tanzanians and I expect from our intellectuals and educated elites.

Tanzania isn't a homogenous society and many Tanzanian can't relate to the intellectual body your referring too. So why an ordinary Tanzanians should listen to you? Just because you are educated and just because we live in the same geographic area called Tanzania doesn't mean you entitled to tell me what I should do without any connection.

I don't live in a monastery. I live in a real world where good and evil mix together. If Zitto can connect to my world, I will follow him even if isn't speaking the truth. For example, in 1995 I followed Mrema. I followed him not because he was the best or because intellectually able person, but because I could connect to him and he was the enemy of my enemy.

Now with regard to Zitto, I don't have a connection with the guy. But at the same time I can't stop the guy doing what he has been doing. I think you should do the same. As an intellectual, you have lived with uneducated Tanzanians since you were born, but you haven't connected to their lives. Now Zitto is tapping the energy of uneducated, you are spooked. Where were you these years?
Zakumi,
Nani kakudanganya kwamba Zitto is tapping the energy of the uneducated? Na ni kina nani hao?
 
"wasukuma Mungu amewapa bahati sana,amewapa Ng'ombe,Madini,lakini nyie ni maskini sana kuliko kabila lolote Tanzania kwa zaidi ya miaka 50"-Mbowe,amesema haya maneno katika mkutano huko Simiyu(itirima),_ na amepewa uchifu.
haya maneno kwa Nguruvi3 ni yenye afya kwa Taifa lakini Zitto kasema shinyanga ni mkoa unachangia vizuri pato la Taifa,ila ni mkoa maskini kuliko inayochangia kidogo pato la Taifa, Nguruvi3 Kasema Zitto analigawa Taifa,kwanini hakui kisiasa,Mbowe anazaidi ya miaka 20 Katika siasa anataja Kabila kuwa ni maskini kisa kura.. Zitto kazungumzia mkoa(ndani yake kuna makabila yote),kuwa ni maskini,kuna shida ya maji,elimu,afya ,barabara nk.tabu hizi wanapata wananchi wote wa mkoa wa shinyanga,tabora,Mwanza ndio mana akaongea katika mikoa hiyo, Nguruvi3 anamlisha Zitto maneno kuwa analeta siasa za makabila,hakuna halipotaja kabila,maana hizo shida wanapata mpaka wachaga wanaoishi shinyanga nk .Ila MBOWE kataja kabisa wasukuma source ITV taarifa ya habari SAA mbili
Mwaka 2009 nilikua kikazi kigoma ,wakati nafika kulikua na shida ya umeme sana,barabara mbovu,kwa ufupi huduma za jamii ziko chini,Mimi ni mmakonde mmraba wa Lindi,je sababu Mimi ni MTU wa Lindi je siathiriki na hali ambayo hipo hapo kigoma

Ukiangalia mambo kwa mtazamo mfupi na mwembamba, siku zote utaona vitu kwa wembamba na ufupi ule ule.

Ukifungua kichwa, ukakipa nafasi ya kutoa na kuchukua, siku zote utakuwa na maono tofauti

Sisi wengine tunaiangalia Tanzania kwanza, halafu watu na mwisho mtu.

Tunaposema Lukuvi kakosea kuhubiri katiba katiba kanisani, tuna maana hiyo.
Tunaposema JK kumuacha kama waziri wake ni tatizo, tuna maana hiyo
Tunaposema CCM wamelifikisha taifa hapa lilipo, tuna maana hiyo

Wewe unatafuta mizani, ndio maana leo umemsikiliza Mbowe kwa makini na kuja na habari inayokidhi haja yako
Nikisoma tu habari yako, inaonyesha kuna mapungufu mengi, ima umeficha ukweli au umeubadili ili ufike unapotaka

Siwezi kuzungumzia habari yako kwa kutambua wewe upo katika kundi la kwanza la mashabiki wa supreme leader

Leo unataka kuhalalisha makosa yake unatafuta utetezi tu ilimradi.
Wewe upo katika kundi la kwanza,linaloamini tu katika supremacy hata kama hakuna cha kuamini. Lina amini tu bila sababu

Kuongelea makabila si tatizo. Kibaya ni pale unapoongea kwa kukosa busara.

Mfano, ukisema Kilimanjaro kuna utapia mlo zaidi ya mikoa mingine,hujatukana kwasababu ni ukweli.

Unachotakiwa ni kuendelea kuwaeleza wachaga na wapare kuwa, kwavile wao busy sana mara nyingi husahau lishe kwa watoto na ndicho chanzo cha utapia mlo. Hivyo wafanye balance ya kazi na afya.

Ukisema mkoa wa Shinyanga unachangia sana pato la taifa na kupata mgao wa rasilimali kidogo, wakati mikoa ya Arusha na Kilimanjaro inachangia kidogo na inapata zaidi, kwa akili isiyohitaji elimu ya VETA kuna upungufu wa busara na hekima
Hakuhitaji semina kujua ni uchochezi, wala kongamano kubaini ni upuuzi.

Umeelewa?
 
Back
Top Bottom