El Jefe
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 293
- 364
Baada ya uteuzi wa SoS Rex Tillerson, mjadala mzito umezuka kuhusiana naye
Sehemu kubwa ya mjadala ni mahusiano ya Rex na Putin/Russia
Kwani huo 'mjadala mzito' juu ya mahusiano ya Rex na Putin/Russia haukuwepo kabla ya Tillerson kuteuliwa kuwa SoS?
Unamzungumzia Kanye West? Kwani Kanye West ni mtu muhimu?Habari hii imefunikwa na habari nyingine kuua mjadala wa Rex. Trump kamteua Gav wa Texas kuwa Sec of Energy.Wakati huo huo Trump ameonekana na Kanye West, mwanamuziki mweusi mwenye utata. Haitegemewi Kanye kuwa na nafasi yoyote katika serikali. Kinachotokea ni vitu viwili
Kwanza, kutangazwa kwa Perry na Kanye siku alipotangaza SoS , mtu muhimu sana ililenga kuua mjadala wa SoS Tillerson na utata unaomzunguka
Nilipomtaja Kanye West kwenye hii thread kwamba alitangaza publicly kuwa anajuta kutokumpigia kura Trump, haya ndio yalikuwa majibu yenu:
Yawezekana Kanye West hakuwa anawakilisha mtu weusi, alikuwa akijiwakilisha yeye na kutafuta namna ya kupata zile bilioni alizokuwa akizihitaji kufanikisha malengo yake na kulipa madeni.
Kanye West! naye iunamwingiza katika mjadala huu! Yaani Kanye ambaye kila wakati ni tatizo hata kwenye show zake. Hivi unamuona Kanye yupo sawa kweli! Na hili la kumuona Kanye kama mtu muhimu linatueleza mengi kuhusu wewe na si yeye. Please
Leo unasema hivi:
Hivi Trump ameonekana na watu weusi wangapi? kama kuonekana na mtu mweusi kunaondoa tuhuma za 'racism' basi Trump hana hizo tuhuma maana ameonekana na Ben Carson mara nyingi sana. Ameonekana na watu weusi wengi sana,huwezi kuwahesabu.Pili, kuonekana na Kanye west ni kuonyesha Trump anajali weusi kuondoa tuhuma dhidi yake ikizingatiwa amezungukwa na wenye utata kama Bainnon, Seccessions na Gen Flynn
Mwenzako Mag3 alidai Kanye West hawakilishi watu weusi bali anatafuta namna ya kulipa madeni na uka-like hiyo comment. Mag3 aje atuambie kuwa Kanye alienda Trump Tower kutafuta namna ya kupata mabilioni anazohitaji kufanikisha malengo yake na kulipa madeni au kuna kingine.
Utasemaje kuwa ni mbinu za kuhamisha mjadala wakati mjadala kuhusu Rick Perry ulikuwa unaendelea hata kabla Tillerson kuanza kuonekana kama ndiye atakayeteuliwa kuwa SoS?Mbinu za kuhamisha mjadala ni nzuri zinampa nafasi ya kutokuwa na distractions. Tatizo, mbinu hizo ni za muda mfupi na hazitoi suluhu ya kudumu
Pili, ulishasema Kanye West sio mtu muhimu, kwahiyo mtu ambaye sio muhimu hawezi kuhamisha mjadala.
Tatu, Trump hajazuia mijadala, watu wanaweza kujadili hadi siku ya confirmation, na siku hiyo kama unavyojua majority tu ndiyo inayohitajika sio lazima kila mtu aseme ndio. Kwahiyo hiyo idea kwamba Trump amehamisha mjadala as if watu hawawezi kuendelea kujadili leo, kesho, keshokutwa, wiki ijayo ni absurd.
Nne, mijadala sio negative tu kuna positive pia, maana sio kwamba kila mtu ana concern(s) na SoS, hapana, wapo wengi tu akina Bob Gates, Condoleezza Rice, Dick Cheney, James Baker, Donald Rumsfeld, Jeb Bush, Mitch McConnell na wengineo wanaomuunga mkono.
Kwani kuna mtu kazuia watu wasijadili hadi siku ya Senate confirmation?. Nadhani kwa jinsi Trump alivyofanya teuzi zake kwa haraka ukilinganisha na watangulizi wake amewapa watu nafasi na mda mrefu wa kuwajadadili walioteuliwa.Kwa mfano, Tillerson atapitia senate kupata confirmations, mjadala utaibuka tena
Trump ni Rais anaeamini katika 'Law and order' , kwahiyo tegemea atasimama kwenye sheria na haki.Au, itakapotokea msigashano uwe unaohusu alt right au black live matters itabadi asimame kama Rais, na ni ngumu kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.