[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utandawazi umeanza kupoteza maneno ya wahengaWengine huwa hawafanyii kwenye kitanda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
Miss uAnafanana na ivan don sema na ukweli
Sio shavu mtuu ni kuanzia pua macho mpaka mdomoyanawachanganya mashavu ila mtoto akikua mashavu yatapungua ndiyo atatoa muonekano wa diamond. Sasa ni mapema mno kujudge. Chibu vumilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakuja muumbuke...watoto wanabadilika badilika mno hata dadake mlisema kafanana na marehemu.Huyu mtoto wa mwisho hakuwa wa Diamond kabisa, hakuna haja ya DNA mama alilirusha na bwana Ivan sirini.
Kwa mujibu wa sheria za dini lakini kama anaifuata[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Alaaaa
Eeeeeh
May Allah bless Me and You
Kwani uongo? Wengine wanabamizwa vichochoroni, wengine vichakani na wengine wanashikishwa ukuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utandawazi umeanza kupoteza maneno ya wahenga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani uongo? Wengine wanabamizwa vichochoroni, wengine vichakani na wengine wanashikishwa ukuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
Mdomo hata Ivan anao au kwasababu haujalegea kama wa domo angalia hii picha afu unipe jibu[emoji116] [emoji116] [emoji116]Hao watoto wamefanana sana macho na midomo na hiyo midomo yao ni diamond pure lkn huyo wa kiume kwa upande mwingine ana ile Ivan appears kabisa aiseeee
Hakuna tatizo mwanaume humpenda mtoto wa kike zaida and vise vesa
Hii Sura Jamani Ya Nillah Mbna Si ya Ki Almas Almas.. Na Why Diamond Huwa Hampost Sana Toto lake La kiume kama Alivyokuwa anakesha Na Tiffah Mapicha kila Saa
Exactly.... kutwa kucha kufukunyua ya watu ni dalili za kujilaumu why nimezaliwa maskini hahahaHivi huo muda wa kuchunguza familia za watu huwa mnaupata wapi wenzetu,mi naonaga watu wenye tabia hii huwa hawana furaha kwenye maisha yao binafsi
Nikumbushe tena umefikaje huku!!!!Hivi huo muda wa kuchunguza familia za watu huwa mnaupata wapi wenzetu,mi naonaga watu wenye tabia hii huwa hawana furaha kwenye maisha yao binafsi
Duuuuh!! Au macho yangu yanazeeka vibaya!!!!!Ohoooooo!!!
-Ndumilakuwili-
Ohoooooo!!!
-Ndumilakuwili-
nmepita njia hyohyo uliokujia nayo wewe mkuu,sio vibaya kuwajadili wasanii,hususan hawa waliomua kujianika maisha yao hadharani,lakini not to that extent aisee,hususan kama mleta uzi ni mwanaume.Nikumbushe tena umefikaje huku!!!!