Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Alaaaa

Eeeeeh

May Allah bless Me and You
Kwa mujibu wa sheria za dini lakini kama anaifuata[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utandawazi umeanza kupoteza maneno ya wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uongo? Wengine wanabamizwa vichochoroni, wengine vichakani na wengine wanashikishwa ukuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamaa (THE DOMO ) ALIKUWA ANA PIZIAMO AU NA YEYE NI KAMA WALE WALIOKUWA WANAPIZIA NJE ?????? EH!!!!!!!!!!??????????

Mhhhhhhhhh YETU MACHO ASEEEEEEEE MADOGO WAKIFIKA 14 YEARS KITU KITASEMA TUUUUUUU..,
 
Hao watoto wamefanana sana macho na midomo na hiyo midomo yao ni diamond pure lkn huyo wa kiume kwa upande mwingine ana ile Ivan appears kabisa aiseeee
 
Kwani uongo? Wengine wanabamizwa vichochoroni, wengine vichakani na wengine wanashikishwa ukuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watoto wamefanana sana macho na midomo na hiyo midomo yao ni diamond pure lkn huyo wa kiume kwa upande mwingine ana ile Ivan appears kabisa aiseeee
Mdomo hata Ivan anao au kwasababu haujalegea kama wa domo angalia hii picha afu unipe jibu[emoji116] [emoji116] [emoji116]
019361372cf5dcafc107dce90f1ebe54.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kua hiyo midomo huioni au umeamua tu kujifyatua akili??? lol

Weka picha yako, mkeo na watoto wenu tuwafananishe.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hivi huo muda wa kuchunguza familia za watu huwa mnaupata wapi wenzetu,mi naonaga watu wenye tabia hii huwa hawana furaha kwenye maisha yao binafsi
Exactly.... kutwa kucha kufukunyua ya watu ni dalili za kujilaumu why nimezaliwa maskini hahaha

Na kwanza ni lazima kwani kila mtoto afanane kila kitu na mzazi wake?? mbona watu hufanana na mababu, bibi, shangazi, n.k.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nikumbushe tena umefikaje huku!!!!
nmepita njia hyohyo uliokujia nayo wewe mkuu,sio vibaya kuwajadili wasanii,hususan hawa waliomua kujianika maisha yao hadharani,lakini not to that extent aisee,hususan kama mleta uzi ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom