Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Mtakuja muumbuke...watoto wanabadilika badilika mno hata dadake mlisema kafanana na marehemu.

Ndugu kuna kitu kimenishtua angalia sikio la ivan na la Nilan halafu dada mjanja kachagua jina linaloishia na.. an' kumuenzi hahaha. Naomba tu awe wa diamond
 
nmepita njia hyohyo uliokujia nayo wewe mkuu,sio vibaya kuwajadili wasanii,hususan hawa waliomua kujianika maisha yao hadharani,lakini not to that extent aisee,hususan kama mleta uzi ni mwanaume.
Sasa extent ni ipi? Ukishayaweka mambo yako hadharani usitegemee kuwapangia watu tena chakusema juu yako. Ukipenda sifa penda na kinyume chake maana hamna namna.
 
Mkuu nadhani hukunielewa, ni haki yake kuandika alichoandika kama ilivyo pia haki yangu kumkosoa kwa kile alichokiandika.ndo maana ya mijadala dadaangu,kila mtu anakuwa na mtazamo wake.
Sasa extent ni ipi? Ukishayaweka mambo yako hadharani usitegemee kuwapangia watu tena chakusema juu yako. Ukipenda sifa penda na kinyume chake maana hamna namna.
 
Pua
Midomo
Macho

Vyote wanafanana wabongo wachonganishi.
Sio wachonganishi hawana kazi za kufanya kabisa. Sasa ukiwafuata tu, unakuwa maskini. Na ukiona watu wanafuatilia mambo ya mtu, ujue wanalala njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…