Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Natamani wanayotaka yasifanyiwe kazi ili wasicheze hiyo mwakani, wanataka kuiendesha Mamlaka mwanzo walikua na pointi ila sasa hivi wanaleta ujuaji
wewe unaonaka simba
 
Kwahyo huyo kiongozi alietoa ujumbe geti lisifunguliwe ni wa nyuma mwiko? Maana aliwaandaa na mabaunsa kabisa wakae mkao wa zuia zuia
Huo mchezo wa simba, maana simba wachezaji tegemeo walikua majeruhi,so mwana fa simba damu akahusishwa kwenye mpango
 
Hawa kenge wasitupotezee muda, acha wasuse kanuni itajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…