Twendeni na kasi ya teknolojia ofisi kiganjani kupunguza gharama za uendeshaji pale inapowezekana .
Dunia imebadilika ushindani ni kupunguza kuwa na maofisi kila pande za dunia mfano hapa nyumbani kuanzisha mkoa mpya wenye watu mabosi kibao, wanaohitaji kwa lazima fanicha za gharama, magari vx n.k imepitwa na wakati . Tubadilike .
Turudi kwa mfano wa DV International ofisi kuu Paris, kwingine ni matawi na wawakilishi ofisi kiganjani, usafiri bodaboda, kukutana ktk lobby ya hoteli ya kitalii uliyokodisha kwa muda, ukiweza kukodi vifaa ni bora kuliko kujinunulia maana mkataba unaweza kuvunjwa wakati wowote mambo yanaenda kasi sana, ukadodowe na vifaa ulivyonunua cash , mfano ndege zinabaki zimepaki Airport.
Uendeshaji kampuni, wizara hata nchi katika dunia hii ya kidijitali umebadilika sana.
Created on 2/3/1998, DV INTERNATIONAL has been active for 24 years. The head office of the company is based at PARIS 75015
Digital Video International is a company specializing in the engineering and distribution of professional and broadcast audiovisual materials. . We have identified the following main keywords on its website: international dv, video, optyx, perfect, vente, africa, audiovisual.