DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

Hujaonyesha ushahidi wa lolote wa unalosema zaidi ya hizo text za wewe kumpima, ungeweza kwenda extra mile...hapo wewe ndio unaonekana tapeli, kakuambia yupo Tanzania na kakuelekeza pa kumfuata na kakusubiri, kilichokufanya ushindwe kwenda nini?
Huwezi ona kama una upofu.

Zaidi ya yote hakuna jamii inayokosa watu wenye uelewa mdogo
 
Bakhresa katupiga tena kama alivyoshinda ile kesi ya mchele mbovu na kupewa bureee shirika letu la Usagishaji la Taifa.
 
Humu humu jukwaani kuna mabandiko mengi sana yanayowataka vijana waache kuzunguka ma bahasha, wajiajiri wenyewe kwa kutumia mitandao ya kijamii ikiwa na maana unaweza kutangaza kazi zako na kufanya kazi mtandaoni.

Leo hao hao walioanzisha hizi network kwa kutafuta kazi mitandaoni na kufanya kazi bila ofisi leo wanaonekana walanguzi, ahahahaa...
 
Mada kama hizi ndio zilifanya nijiunge jamii forum miaka 8 iliyopita.

Madini yaliyojaa ushahidi wa kila namna sio ngonjera za kina BAVICHA, SUKUMAGANG NA MATAGA
Nikweli kabisa mkuu
 
mbona wanatangaza vizuri tu.ingawa wanaweka taarabu sana.halafu zbc kwann movie za kihindi jumapili mchana mmeacha na mimi nilikua mfuatiliaji mzuri wa movie yan siku hizi naboreka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA
  • Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon.
  • Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa kufungua makampuni kama anuani ya ofisi yake
Mada imeshiba
 
Mada kama hizi ndio zilifanya nijiunge jamii forum miaka 8 iliyopita.

Madini yaliyojaa ushahidi wa kila namna sio ngonjera za kina BAVICHA, SUKUMAGANG NA MATAGA
wewe ulishaleta hata moja ya namna hii?
 
Kama anapata pesa na hao AZAM na ZBC wanaridhika na wanachohudumiwa sioni shida.

Kama ni masuala ya kuwa na ofisi nk ni masuala ya waliopewa hizo kazi na wanalipwa pesa kufanya kazi hizo,kwa hiyo wafanye wajiridhishe.(taasisi za serikali)

Mwavheni mfaransa wa watu awapige pesa wateja wake.
Kikubwa waangalie uhalali wake na Kodi yetu Kama taifa tunapata

Kama kati ya hayo n batili bas sheria ichukue mkondo wake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Twendeni na kasi ya teknolojia ofisi kiganjani kupunguza gharama za uendeshaji pale inapowezekana .

Dunia imebadilika ushindani ni kupunguza kuwa na maofisi kila pande za dunia mfano hapa nyumbani kuanzisha mkoa mpya wenye watu mabosi kibao, wanaohitaji kwa lazima fanicha za gharama, magari vx n.k imepitwa na wakati . Tubadilike .

Turudi kwa mfano wa DV International ofisi kuu Paris, kwingine ni matawi na wawakilishi ofisi kiganjani, usafiri bodaboda, kukutana ktk lobby ya hoteli ya kitalii uliyokodisha kwa muda, ukiweza kukodi vifaa ni bora kuliko kujinunulia maana mkataba unaweza kuvunjwa wakati wowote mambo yanaenda kasi sana, ukadodowe na vifaa ulivyonunua cash , mfano ndege zinabaki zimepaki Airport.

Uendeshaji kampuni, wizara hata nchi katika dunia hii ya kidijitali umebadilika sana.

E-commerce, globalization, and outsourcing are all changing the production and distribution of products and services

Créée le 2/3/1998, ‌DV INTERNATIONAL est active depuis 24 années. Le siège de la société est basée à ‌PARIS 75015 et opère sous le code NAF 4741Z - Commerce de détail d'ordinateurs, d'unités périphériques et de logiciels en magasin spécialisé. Elle possède par ailleurs ‌2 établissements secondaires. Son site internet principal présente le métier de DV INTERNATIONAL de la manière suivante : Digital Video International est une société spécialisée dans l’ingénierie et la distribution de matériels audiovisuels professionnels et Broadcast. . Nous avons identifié sur son site web les mots clés principaux suivants : dv international, video, optyx, perfect, vente, afrique, audiovisuel. Sur le plan juridique, DV INTERNATIONAL prend la forme d’une ‌Société par actions simplifiée immatriculée au greffe de ‌Paris sous le numéro de SIREN ‌418251211. Source : Toute la donnée des sociétés | SocieteInfo.com
Created on 2/3/1998, ‌DV INTERNATIONAL has been active for 24 years. The head office of the company is based at ‌PARIS 75015

Digital Video International is a company specializing in the engineering and distribution of professional and broadcast audiovisual materials. . We have identified the following main keywords on its website: international dv, video, optyx, perfect, vente, africa, audiovisual.
 
Si unajuwa hata Uturuki wana ubalozi Dar, lakini wahuni wamechukuwa tenda na kampuni fake ya kituruki Yutek na balozi alikuwepo siku ya kusaini mikataba na bandari, hawa watu ni deep state
Ni kweli lazima sisi tunatakiwa kuhakikisha tunalinda rasilimali zetu
 
Kikubwa waangalie uhalali wake na Kodi yetu Kama taifa tunapata

Kama kati ya hayo n batili bas sheria ichukue mkondo wake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Uhalali ni jambo la msingi. Muhimu kapataje tender? Kashindanishwa na nani?

Huwezi pata tender ya Umma bila kushindanishwa especially when you are not a manual.

Na bila hivyo bei yoyote unaikubali.

Kiufupi huyu hana sifa na hakupata tender kwa kuzingatia sheria yoyote.
 
Twendeni na kasi ya teknolojia ofisi kiganjani kupunguza gharama za uendeshaji pale inapowezekana .

Dunia imebadilika ushindani ni kupunguza kuwa na maofisi kila pande za dunia mfano hapa nyumbani kuanzisha mkoa mpya wenye watu mabosi kibao, wanaohitaji kwa lazima fanicha za gharama, magari vx n.k imepitwa na wakati . Tubadilike .

Turudi kwa mfano wa DV International ofisi kuu Paris, kwingine ni matawi na wawakilishi ofisi kiganjani, usafiri bodaboda, kukutana ktk lobby ya hoteli ya kitalii uliyokodisha kwa muda, ukiweza kukodi vifaa ni bora kuliko kujinunulia maana mkataba unaweza kuvunjwa wakati wowote mambo yanaenda kasi sana, ukadodowe na vifaa ulivyonunua cash , mfano ndege zinabaki zimepaki Airport.

Uendeshaji kampuni, wizara hata nchi katika dunia hii ya kidijitali umebadilika sana.

Created on 2/3/1998, ‌DV INTERNATIONAL has been active for 24 years. The head office of the company is based at ‌PARIS 75015

Digital Video International is a company specializing in the engineering and distribution of professional and broadcast audiovisual materials. . We have identified the following main keywords on its website: international dv, video, optyx, perfect, vente, africa, audiovisual.
Umeangalia details za usajiri wao Dubai?

Wameulizwa hawa DV International ni branch? Jibu ni no, meaning sio branch ya kampuni yeyote.

Pia haijasajiriwa Kama Digital Video International bali DV International, hivi ni vitu viwili tofauti.

Zaidi ya yote ni kuwa hata hiyo Digital Video International sio kampuni inayoonekana kuexist huko ufaransa.

Ni mwenendo wa utapeli ule ule.

Na wamefanya hivyo kwa makusudi ya udanganyifu.

Hivyo hiyo kampuni haiexist ndugu, au kama tunavyoziita huku kwetu kampuni za mfukoni.

Sasa unafunguaje Tawi la ofisi bila kuwa na office?

Kwani International company ili ifanye kazi nchi yoyote lazima iwe na matawi?

Kama hutojali nenda Ubalozi wa Ufaransa uulizie hiyo kampuni, ni kitu hewa tu.
 
TAKUKURU ichunguze kampuni hii hewa inapataje kazi ZBC? Waangalie bei za kazi alizowahi kufanya, na achunguzwe ilikuwaje akawa anapewa kazi kama Single Source wakati hana sifa wala kampuni yake haifanyi kazi kwa taratibu zinazotakiwa?
TAKUKURU walitakiwa kuwa mbele yako kugundua hili. Lakini kwa sababu siku hizi ni wakuamrishwa fanya hiki ama kile, hawawezi kuwa Pro-active. Kuna jambo linatakiwa kufanyika huko TAKUKURU.
 
Umeangalia details za usajiri wao Dubai?

Wameulizwa hawa DV International ni branch? Jibu ni no, meaning sio branch ya kampuni yeyote.

Pia haijasajiriwa Kama Digital Video International bali DV International, hivi ni vitu viwili tofauti.

Zaidi ya yote ni kuwa hata hiyo Digital Video International sio kampuni inayoonekana kuexist huko ufaransa.

Ni mwenendo wa utapeli ule ule.

Na wamefanya hivyo kwa makusudi ya udanganyifu.

Hivyo hiyo kampuni haiexist ndugu, au kama tunavyoziita huku kwetu kampuni za mfukoni.

Sasa unafunguaje Tawi la ofisi bila kuwa na office?

Kwani International company ili ifanye kazi nchi yoyote lazima iwe na matawi?

Kama hutojali nenda Ubalozi wa Ufaransa uulizie hiyo kampuni, ni kitu hewa tu.
Soma hapa. DV International imesajiliwa 1998 Ufaransa. Wewe ushahidi huna kuthibitisha tuhuma zako dhidi ya huyo Mzungu zaidi ya kiherere. Onyesha wapi Azam Media wameilipa hiyo kampuni $5 million?

Soma hapa. DV International imesajiliwa 1998. Wewe ushahidi huna kuthibitisha tuhuma zako dhidi ya huyo Mzungu zaidi ya kiherere. Onyesha wapi Azam Media wameilipa hiyo kampuni $5 million?

Unaweza kuthibitisha imesajiriwa 1998?

Kwa mujibu wa official search kutoka serikali ya UAE, hii kampuni imesajiriwa 2014, na pia sio tawi la kampuni yeyote duniani, sasa wewe kusema imesajiriwa 1998 unaweza leta huo ushahidi?

Basi let me assume wamekutuma uwatetee basi lete yafuatayo.

1. Documents za usajiri wao huo wa 1998 huko Dubai, UAE maana inajitambulisha inatoka huko.

2. Waulize mchakato uliowaleta ZBC, yaani walifikaje fikaje? Maana taratibu za manunuzi ya umma zinafahamika.

3. Ofisi zao huko Dubai ziko wapi na wamewahi fanya kazi sehemu gani duniani kwa ushahidi?
.
 
TAKUKURU walitakiwa kuwa mbele yako kugundua hili. Lakini kwa sababu siku hizi ni wakuamrishwa fanya hiki ama kile, hawawezi kuwa Pro-active. Kuna jambo linatakiwa kufanyika huko TAKUKURU.
Kuna mtu bado anaimani na hiki Chombo?
 
Back
Top Bottom