Hawezi kwenda kwa Trump hata mumfunge na mumburuze kwa chain, hasogei oval officeImagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..
Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.
Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.
Hopefully atakuwa kapaka deodorant.
Tumia akili kidogo, Trump anawaogopa waarabu? Wana karata gani kwake?Kati ya karata ambazo sa100 alicheza vzr ni kuwachekesha waarabu.
USA haiwezi na haitoongelea chochote sababu ni rafiki wa nguvu wa mjomba mtu. Mnadhan ziara ya Trump uarabuni ilikua ni nini?
Kukosa kujitambua unamaanisha waarabu wanaoweza kumdictate Trump? Mbona hawajmwambia awalazimishe Israel waache kuwabamiza? Na Kila siku anawapa silaha na pesa, hivi mnapataje courage ya kusupport unyama unaofanywa na serikali ya CCM na Samia?Mnaota nyie
Amkeni msije mkajikojolea kitandani na utu uzima huu.
Trump na uarabuni kwa sasa ni marafiki dam dam, na uarabuni wamepewa kila kitu walichotaka kutoka TZ, hv unadhan kiburi cha kuwakazia bunge la ulaya kinatoka wapi?
watu mnashindwa kung'amua issue ndogo kama hii na mnajiita great thinkers?
*** you and her. Now do something…..Acha kujiaminisha ujinga. Nikisema, hakuna, jua HAKUNA!
Sisi tutapanga na chakutufanya hauna.OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUP[IGA KURA
NO REFORM NO ELECTION
Ahahahahaha! Niambie jina lako na namba yako ya NIDA kama wewe ni mwanaume kweli na sio fala flani tu wa mitandaoni!*** you and her. Now do something…..
Jina: SuckDeezNutzAhahahahaha! Niambie jina lako na namba yako ya NIDA kama wewe ni mwanaume kweli na sio fala flani tu wa mitandaoni!
Ahahahahaha!!Jina: SuckDeezNutz
Namba: 1965081761997
Ila chura kiziwi ni dikteta wa kwanza mwanamke Afrika, mnajisikiaje kunguni wa CCM kutengeneza dikteta wa kwanza mwanamke Afrika?Jinga kweli wewe.
Kama ni ishu ya udikteta Africa wamejaa Kuna kipi kimetokea 😁😁
Mna akili finyi sana nyie nyumbu.
Dah umenikumbusha mkojaniAtatukata makolomeo huyu,mkojani si mnajua acheki na wowote yeye ni ngumi za uso
Haya nimekubali siyo mumekubali taahira weweHaya mumekubali so what?
Ila na nyie wanaume wa CCM wote mko kama juma lokole, kajiteua kugombea urais wote mnavaa khanga ba kofia mnakata viuno kumshangilia vidole juu huku ndugu zenu akiwauaUzuri wa wanaume wa kibongo wanapigana na Samia kwa keyboard, wanaacha kuingia front wapambane ndo kwanza wanapiga soga km mademu zao..!! 😹
Basi sawa tusambaze habari dunia nzima tuone km itafanya udhalimu kuisha..!!
Tushobokee uhuru na mzalendo?Ifike mahali tuache kushobokea hizi fake news oulets
Kwa hiyo Samia ni advocate wa uhuru na demokrasia au?Trump is double standard.
Kwa kauli ambazo amekuwa anatoa hana moral authority.
Kwanza analishwa taarifa za uongo mfano mzuri ni issue ya South Africa.
Malema ni whistleblower na Trump anajua demokrasia inaruhusu uhuru wa kujieleza lakini anataka Malema akamatwe kwa kauli za kisiasa kama wengi wanavyolipinga la kukamatwa kwa Lissu.
Sielwi sielewi...au demokrasia inageuka hatia pale ambapo wazungu hawafaidiki nayo?
Hata angekuwa wa mwishoIla chura kiziwi ni dikteta wa kwanza mwanamke Afrika, mnajisikiaje kunguni wa CCM kutengeneza dikteta wa kwanza mwanamke Afrika?
Trump atakuja kutoa kauli zake kuanzia mwezi August kuelekea uchaguzi mkuuNatamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
🖕Ahahahahaha!!
Ndio mnajisikiaje kwa sifa ya kumpika dikteta mwanamke Afrika? Regardless ya kuwa wa kwanza au wa mwisho, are you people very proud?Hata angekuwa wa mwisho