EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

Je serikali itatekeleza?

Hiyo mahakama inao uwezo wa kukazia hukumu?
 
Yule mliyempa ukuu wa mkoa kwa makengeza yenu mlimuona mwanaume au mwanamke anakuwa mwanamke mpaka awe mwanaccm?

Mbona mlimuibia vijikura vyake japo vichache, nyie watu wakatili sana kuliko Carl Peters.
 
Itakumbukwa kwamba Chadema ilifungua kesi ya kupinga mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini Tanzania yaliyopitishwa na bunge bila aibu ili kuua demokrasia na kukandamiza vyama vya upinzani, Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2020 kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki iliyoko Arusha.

Leo Hukumu ya kesi hiyo inasomwa, Tayari Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema amekwishafika Mahakamani hapo akiambatana na Wakili wa chama chake John Mallya.

Pia, soma:

1). Vyama vya Upinzani vyafungua kesi kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kupinga Sheria kandamizi ya vyama vya siasa kutumika

UPDATE



----


Kwani huko Kingai hakuwepo, na PGO ilitumika?
 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P

Hivi bado tu hujaunyaka uteuzi sheikh? So sad!
 
Kibaraka mkubwa muimba mapambio
Hata WEWE ni kibaraka mkubwa na muimba mapambio wa Mbowe kama wenzako.

Sasa hivi mnamuita Mbowe Baba🤣🤣🤣🤣

Screenshot_2022-03-12-21-49-32-868_com.twitter.android.png
 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P
We mzalendo? Umeamua na nani? Kwa nini mnajipachika wasifu usio wahusu? Hamna mzalendo double standard, kujipendekeza, kuvizia, haipo!
 
Back
Top Bottom