East African Federation (EAF) public Views

East African Federation (EAF) public Views

NI VEMA TUKAJIUNGA NA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI ILI TUPATE WATU WA KUTUAMSHA ZAIDI KWANI TUMELALA MNOOOOOOOO.
WATU WA KILIMANJARO,KAGERA,MBEYA NA MWANZA/SHINYANGA WAMEKUWA WAKITUAMSHA LAKINI SISI TUMEBAKI TUKIWAPIGA VITA BILA MAFANIKIO HUKU WAO WAKICHANJA MBUGA KUELEKEA MBELE MPAKA SASA WAKO KWENYE WORLD STAGE HUKU SISI TUKILISHWA LIMBWATA USWAHILI WA KUWAPIGA WENZETU MAJUNGU NA AKINA KIKWETE NA MTANDAO WAKE.
WAANGALIE AKINA PROFESA ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA KUTOKA KAGERA-Mkurugenzi wa UNhabitat
DAKTARI ASHA SHAABAN MTENGETI MSANGI a.k.a ASHA-ROSE MTENGETI MIGIGO KUTOKA KILIMANJARO(sio SONGEA kama KIKWETE alivyoupotosha UMMA kwa lengo la kufumbia macho juhudi za wanaKILIMANJARO za kusomesha watoto wao bila kujali jinsia)-NAIBU K/MKUU-UN
BALOZI GETRUDE MONGELLA KUTOKA MWANZA-RAIS WA BUNGE LA AFRIKA
MWENYEKITI FREEMAN AIKAEL MBOWE KUTOKA KILIMANJARO-KATIBU MKUU WA VYAMA VYA KIDEMOKRASIA BARANI AFRIKA,
HAWA NI BAADHI YA WATU AMBAO MIMI NIKIWATAFAKARI NAONA NI MAFANIKIO YALIYOTOKANA NA JUHUDI ZA KULELEWA NA KUKUZWA KATIKA HALI YA KUTHUBUTU KUFANYA MAMBO MAZURI AMBAYO WENGINE TUNAOGOPA KUYAFANYA HIVYO TUNAJIKUTA TUKIPANGA MIKAKATI YA KUWAKWAMISHA BADALA YA KUPANGA MIKAKATI YA KUJIKWAMUA TENA KWA KUSHIRIKIANA NAO KWANI HAWA WOTE NI WATANZANIA WENZETU.TUWAPE MOYO,TUWAUNGE MKONO ILI WATUONESHE NJIA.
SASA WAKENYA,NK WANAKUJA,TUWAKARIBISHE NA TUWEKEANE TARATIBU ZA KUSHINDANA NA KUSHIRIKIANA PIA(COMPETING & COOPERATING)
TUSIWABAGUE KAMA TUNAVYOWABAGUA WAPEMBA!
LIJE SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI(s.a.m),LITUAMSHE NA IKIBIDI LITUSHIKISHE ABADU KWANI NCHI YETU TUMESHAIUZA HIVYO ANGALAU WAKIJA TUTAbagain!
GODS BLESS E.A.C/E.A.F
 
Asante
kwa majibu mazuri , kwa vile wewe unaandaa na kutuma maoni haya magazetini
nashauri pia ungefanya mikakati maoni yakawa yanaenda moja kwa moja kwenye tume au
ufanye ushawishi haya mawazo yanayotolewa yahusishwe moja kwa moja ktk mchakato mzima wa ukusanyaji wa maoni
asante
 
We dont care about anybody we care about our country. We dont need to import corruption or violence from anybody. East Africa should remain as it is right now, and yes we are not afraid of business because we are better in that field. Kenyans need to understand Tanzanians are happy people and not show off like you guys who like to start fight with everybody.

We are Tanzanians and not your other tribe, you can still do business in TZ now but we dont want to rush to be the same thing with your corrupt and tribal nation. Most people are making a big deal out of our Economy, Tanzania GDP is $12B and Kenya $16B that is not as big deal as you think because that is not a huge difference. You should also consider what we imports from you guys is mostly domestic supplies and the fact that most of minerals like Tanzanite are under radar and should well be above $2b a year which is not considered in GDP.

Tanzania GDP in reality is bigger than $12B and everybody know it. Kenya problem is the fact that you have 50% of the population under poverty level the highest in East Africa, the solution is for Kenya to create middle class, joining TZ and Uganda is not going to make as much difference as you think. Nobody is going to give you guys land and you can not do business by force.

I like ur attitude.It's true Kenya,Tanzania economies are about the same size.No biggie.Trouble is u Tanzanians bhave like our country is at the wrong placing in the geography of the world.This touchy touchy feeling hasn't taken u far an the future is quite dim if u stick to the same ol game u been playing over the years with different playas.We Kenyans have it rough at home an we not damn scared to say it.We host the biggest slums in the world.

We are corrupt,tribalistic, an sick of it.Still we represent as the lead country in East/Central Africa with u an a couple of neighbouring countries huffing an puffing for position at the wing.It's the fact. Brutal honesty. It's not about the shady figures.It's about the pples.That's why on any given day,i'd rather be Kenyan an nothing else.
 
hakuna mtu anayewaogopa wakenya hapa. hayo ni mawazo potofu kitu ambacho tunaongelea ni utajiri wa nchi. hatuwezi leo hii kugawa utajiri wetu kwa nchi jirani wakati utajiri wao wameupoteza kwa kuwagawia wageni kutoka ulaya n.k.

Inabidi Kenya waweze kuchukua ardhi yao kama vile alivyofanya Mugabe na Afrika ya Kusini watafanya miaka ijayo alafu tuanze kuona tunaungana vipi? Tuungane na Kenya na uganda kwa utajiri gani walio nao?

Tuungane wakati kila mmoja ataweza kuonyesha raslimali zake sio vinginevyo.
 
hakuna mtu anayewaogopa wakenya hapa. hayo ni mawazo potofu kitu ambacho tunaongelea ni utajiri wa nchi. hatuwezi leo hii kugawa utajiri wetu kwa nchi jirani wakati utajiri wao wameupoteza kwa kuwagawia wageni kutoka ulaya n.k.

Inabidi Kenya waweze kuchukua ardhi yao kama vile alivyofanya Mugabe na Afrika ya Kusini watafanya miaka ijayo alafu tuanze kuona tunaungana vipi? Tuungane na Kenya na uganda kwa utajiri gani walio nao?

Tuungane wakati kila mmoja ataweza kuonyesha raslimali zake sio vinginevyo.

Tanzania,since u so cool an rich. Invent some technology an blast ur country off the African continent.Be an island or something deep in the Indian ocean.Better yet create ur own planet.Sadly u can't do it.Ur say is a whisper.

As long as u still attached to Africa,the top dogs like the South africans,nigerians,egyptians,ethiopians,morrocans,algerians,botswanas,congolese libyans,ivorians,run the show.Some more sad news,u can't beat em however how much land u think u got.Niceness is dead.Roll with the tymes Tanzania.Let's roll.
 
So you think those countries run the show eh! for your info we run our own show and we don't want to be annexed with you. No wonder you claim Kili na Serengeti are yours losers.

You have nothing to show except your bad mouth. I expected you to come with common sense.
 
So you think those countries run the show eh! for your info we run our own show and we don't want to be annexed with you. No wonder you claim Kili na Serengeti are yours losers.

You have nothing to show except your bad mouth. I expected you to come with common sense.

i give up. u are a lost cause.The view of kili is much better from the Kenyan side.Been there an seen it from both sides an i'd rather put my money where my mouth is. Most pple dont wanna climb a mountain,they just wanna look at it. Guess where they choose to do it.The Amboseli.The Serengeti an the Maasai Mara is just one an the same thing.Only that there is the Kenyan side(maasai mara) an the Tanzanian side(serengeti).

How the Mara outshines the Serengeti was a mystery till i saw on discovery channel that the Zebras,Girraffes etc prefer being on the Mara.U got a beef with that,ask God why this is so. Just to let u know the mara was recently voted on ABC as the new seventh wonder of the world.

Why the Serengeti was excluded is food for thought.Au revoir an go to hell.
 
No wonder Masai Mara is the seventh wonder, and the kili is in Kenya. I thought you know where you came from but its a sad story because even an ant at least can say the truth.

You better continue dreaming. Loser
 
u kenyans
no matter how u intended to invade tanzania, tanzanians as one language ,one tribe, we firmly stand together and very strongly reject any trials of urs
we know u in and out.

I solemnly advice u ,if federation is solution to ur promblems better go and fetch federation with ur relatives Somalise
we don't want and even dream to unite u.
 
i give up. u are a lost cause.The view of kili is much better from the Kenyan side.Been there an seen it from both sides an i'd rather put my money where my mouth is.Most pple dont wanna climb a mountain,they just wanna look at it.Guess where they choose to do it.The Amboseli.The Serengeti an the Maasai Mara is just one an the same thing.Only that there is the Kenyan side(maasai mara) an the Tanzanian side(serengeti).How the Mara outshines the Serengeti was a mystery till i saw on discovery channel that the Zebras,Girraffes etc prefer being on the Mara.U got a beef with that,ask God why this is so.Just to let u know the mara was recently voted on ABC as the new seventh wonder of the world.Why the Serengeti was excluded is food for thought.Au revoir an go to hell.

If this is the kind of thinking you have, I can understand why my fellow Tanzanians are fervently opposed to forming a federation with (you )Kenyans. Actually, I have come to the conclusion that people are not opposed to the federation, rather, they are opposed to forming a federation with Kenyans, for which I share their concerns. These Kenyans are so greedy, selfish and snobish; we should never allow them to touch our soil. For this, lets accept to be seen xenophobic, who cares!
 
Kwa mara nyingine tena wabongo tunauziwa mbuzi kwenye gunia!! Gggrrrrr!!
 
Napongeza kwa kuwepo kwa web hii inayopigania manufaa yetu Watanzania ambao wengine wamejisahau na kutegemea nguvu kutoka nje kuendeleza Taifa letu kitu ambacho hakipo.Ni wakati wa sisi Watanzania wote kujua Taifa letu tutaliendeleza wenyewe.

Napinga Muungano huu kwa kutizama faida katika Taifa letu hakuna,Taifa linatengenezwa na litachukua muda kukaa sawa,amani na utulivu wa nchi utapotea kwani wenzetu bado hawajatulia ni watu wenye emotion ambayo wanaweza kuchochea vurugu nyingine.

Naomba tutatue kwanza Muungano wetu kwani wengi tungependa Muungano wetu uwe imara kwani Bara na Visiwani tumekuwa ndugu damu moja sasa ni wakati wa kutangazwa muungani wa kuwa serikali moja itakayotatua matatizo ya Taifa zima yani Bara na Visiwani kwani sipendi ninaposikia mi Mzanzibari ningepende tuseme sisi Watanzania.

Naomba viongozi muweke nguvu katika hoja yetu ili tubaki Taifa moja Tanzania na mengine yawe ni majimbo ya Tanzania najua wapenda madaraka hawapendi hilo ila ni faida kwa sisi wananchi kwani kunapotokea vurugu tunaumia sisi.
 
Kwa sababu hatuko tayari. Na Watanzania wengi zaidi ya 80% hawajui hata tofauti ya kuwa na shirikisho an kutokuwa nalo! Elimu bado ni duni, serikali nayo kwa makusudi kabisa ndio inazidi kukandamizi elimu kwa kuwanyima udhamini wa elimu ya juu watoto wa Watanzania masikini ambao ndio walio wengi zaidi!

Wanasahau kwamba wao walisoma bure na kama ingekuwa kulipia, wasingekuwa hapo walipo!

Tukiruhusu na wageni kutuvamia sasa Watanzania ndio watachapwa viboko kama watumwa ndani ya nchi yao wenyewe!

Pia nchi jirani zina matatizo makubwa ya ardhi, ukabila na udini! Pia kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Uganda, na matukio ya uhalifu nchini Kenya ni tatizo kubwa! Pia kipindi cha uchaguzi kwa nchi kama Kenya na Uganda hutawaliwa na machafuko makubwa ya kisiasa na kusababisha vifo vya watu wengi sana!

Watanzania tuna matatizo mengi sana, na viongozi wetu wala hawajali. Sasa wanataka kututumbukiza shimoni moja kwa moja!

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake wanaoishi ndani ya lindi la umasikini wa kupindukia!
 
Suala la Shirikisho kutinga kortini
HabariLeo; Monday,January 29, 2007 @00:05

KIONGOZI wa Upinzani katika Baraza la Wawakilishi, Abubakar Khamis Bakari (CUF), anaandaa mashitaka dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa kukiuka Katiba kuhusu Shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki.

Akitoa maoni kwa Kamati ya Kitaifa ya kukusanya maoni ya wananchi juu ya kuharakishwa au kutoharakishwa uundwaji wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki Mjini hapa jana, Abubakar alisema ni kinyume cha Katiba masuala yasiyokuwa ya Muungano kwa upande wa Zanzibar kusimamiwa na Serikali hiyo.

“Hivi Serikali ya Muungano ina mamlaka gani na nguvu zipi kusimamia mambo ya Zanzibar yasiyokuwa ya Muungano?” alihoji na kuongeza: “Mimi nitakuwa wa kwanza kuipeleke Serikali ya Muungano mahakamani.” Alisema kwa sehemu kubwa mkataba wa kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki umekiuka Katiba ya Tanzania kwa kuipa uwezo Serikali ya Muungano kusimamia mambo yasiokuwa ya Muungano.

“Mimi binafsi najiandaa kuishtaki Serikali kwa kutunyima haki yetu na mkataba wa EAC una kwenda kinyume na Katiba na ni batili haiwezekani Katiba ikiukwe,” alisisitiza Mwakilishi huyo ambaye pia ana taaluma ya mambo ya Sheria, aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliochangia maoni yao jana, walizungumzia zaidi kutatuliwa kwa kero za Muungano na huku wengine wakipinga kabisa wazo la kuundwa kwa Shirikisho hilo.

“Mimi naona tusifikirie kabisa suala la Shirikisho tulifute katika mawazo yetu, tutatue kwanza kero za Muungano,” alisema Zakia Omar Mwakilishi wa viti Maalum wa CUF.

Zakia alisema Zanzibar katika mchakato mzima wa uundwaji wa Shirikisho la Afrika Mashariki itakuwa sawa na mbuzi wa sadaka kwa sababu chini ya mfumo wa Shirikisho Wazanzibari hawatakuwa na chao tena.

Kwa upande wake, Zahra Ali Hamad alisema muda wa kuundwa kwa Shirikisho ni mdogo na badala yake alipendekeza muda zaidi wa kufikiria suala hilo kwa sababu bado Watanzania hawajaandaliwa kukabili changamoto mbalimbali zitakazokuja tokea.

Alisema vinginevyo mamlaka ya Zanzibar itaporwa na kuwafanya Wazanzibari kupotea kabisa kwenye ramani ya dunia. Mzee Ali Ussi wa Jimbo la Chaani (CCM) alipendekeza mwaka 2020 ndiyo uwe muda muafaka wa kujadili wazo la kuwa na Shirikisho, lakini sio kwa sasa.

“Mimi hofu yangu ni pale ninapoitazama Zanzibar kama ipo au la, sijui Mamlaka ya Zanzibar itakuwa wapi, kuna mambo yasiyokuwa ya Muungano inakuwaje au wanataka kuongeza orodha ya mambo ya Muungano?,” alihoji
 
sidhani kama ni mda muafaka!maana tumeshindwa kutatua matatizo yetu ya ndani ukosefu wa ajira,elimu ya juu,nishati na umeme..kujiunga na jumuiya ni sawa na kujiongezea matatizo,,uganda na LRA,kenya na ukabila,rwanda na burundi ukosefu wa amani..nadhani tujipe mda zaidi kwani kwa sasa hasara ni nyingi kuliko faida
 
Why are we wasting time trying to reason with Tzeds on EAF? It is time people realized that we will be much better off without them in EAF, they will simply drags us behind.

Do they dream that at any one time they will be as economically strong as Uganda or Rwanda let alone Kenya? What long term economic steps are the Tzed leaders taking to lift this third poorest country in the world from its economic slumber? Heard of grand corruption and politicians getting away with it? Come to Tz.

Fact is: Tanzania economy will forever be dependant on importation of consumer products whether they are coming from India, China, Uganda, Rwanda, S.A, Kenya, they will just import. South Africans, a darling of the Tanzanians have given up on meaningful direct investiment here. Is there one factory owned by South Africans here? NO. The only supermarket chain they run is a dumping site for SA expired products. So what do they want to protect? Their poverty?

Well guys EAF without Tz is the only way.
 
At least you show your ignorance here. South Africans owns some big companies in Kenya just ask those with money at the stock exchange. By the way you admitted yourself we don't want to be strong like kenya, Uganda or Rwanda we want to be more than these countries if you understand what I mean. Your type of strong is not for us is for you. you better start collecting opinions from Rwanda and Burundi not us.
 
So it means u kenyans want decide for tanzanians (none sense),don't u know thtu are the one who disgrace ur fellow kenyans and nation as
whole, kenya is strong?? hehe (laughter) yeah in terms of tribalism und corruptions, ten over ten ur rigtht ths y ,u prefer collabolating with ur fellow defiat corruptors even monkeys and chimpases are roughing after u ,tht kenya ,uganda ,burundi and rwanda are stable and strong countries.
why u play the fool and make it heal

come on,u knys find out lasting soln for u and ur descent, federation for sure will never apear. before ,i advice u fetch it with somali, b/se ur brothers and there u will be giving them loans and everything kenya si taifa kubwa
any way leave us ,and discuss our things we need not any interuption and pressure from u mafia get away.

Tanzania will be built by tanzanians and not the said federation
 
Back
Top Bottom