Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

This is sad, Pole sana Ebitoke….utapona hayo maumivu..wengi wamepitia hayo unayopitia sasa hivi na wameweza kupona na kusahau..hata wewe utapita tu hio stage
 
Hujakosea kabisa wacha walimwengu yamfundishe...... Mjini uje na akili tu
 
Ndio ilivyokuwa mkuu jamaa alikuwa anatunishiana na mlela na ebitoke na beyonce [emoji23]..mlela alipoulizwa na waandishi akasema yule sio kaka ake jamaa shobo tu kwanza wanapigana miti[emoji23]
Kwa hiyo ebitoke aliend mshambulia anayemla jamaa yake na huyu kaka lienda mshambulia anayemla mtu wake.
 
Nanukuu
Mbaya zaidi ametoa matusi mazito adharani,nitashangaa sana BASATA na TCRA wakikaa kimya katika hili.
Bila shaka unamaanisha Ebi ashugulikiwe na TCRA na Basata.

Ndugu mwandishi.
1.Kwani Ebitoke wakati anatukana alikuwa ana rap matusi au anachana.
2.wakati anatukana alikuwa ana igiza na kutukana matusi kwa mtindo wa stand up comedy ya matusi au reality show.
3.Wakati anatukana alikuwa anaji recod na na kisha kusambaza video au ilikuwaje?

Nakukumbusha kidgo.
TCRA NI MAMLAKA YA UDHIBITI WA MAWASILIANO Tanzania.
BASATA NI BARAZA LA SANAA Tanzania.

Naomba ufafanuzi
Ktika 12na3.
 
Ila wadada wengine wako very cheap. Sasa ebitoke na mlela walikua na project tu ya swahiliflix, project imeisha dada wa watu aka-fall in love mazima akatoa nyapu bei chee acha tu apigwe miti
 
Amuulize odama. Ali fall in love kwa mlela. Mlela akawa anampiga matukio tu mwisho dada wa watu akaamua kukubali matokeo. Yusuph anapenda kulelelewa maisha yake ni duni mtoto wa kinondoni shamba
 
Asanthe sana mkuu U Hapa nimeamini kuwa kile kitabu cha Green ni applicable to real life
 
Haha labda mlela alikuwa anachomoa na kumwaga njee
 
Wasichana tu-try kuweka vitu privately until we know it's permanently hili mambo haya yasitupate, kadada ka watu kamejitoa kwa jamaa kumbe lenzake halipo naye jamaaan, Mungu nisaidie hivi viatu visinipate maana vinanibana
 
Kiki za kipuuzi sana...Nashangaa watu huwa wanaamini maigizo ya hao Bongo Mavie.
 
Black tinted[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]..Mlela bana a.k.a Jigga
 
Kwan shida nn?! Nimeiona kwa Millard Ayo muda si mrefu. Dada analalamika sijui Mlela alimpa nn huyu mhaya wa watu..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dekiiii babu ufundi vijana umezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…