Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Imebidi tu nipite hapa nitie neno,

Huu upumbavu ndo unawafanya hawa wasanii tuwaone mavi,

Sasa hapo purukushani zote wanatengenza attention ili watoe movie sio,

Tulivyokuwa wajinga kupiliza na sisi ndo tunawapa airtime sasa.
 
Eti ninyi waandishi wa habari, mliitikia wito wa wasanii kwa ajenda zipi hasa? Ni kweli wasanii wa kibongo wengi mbumbumbu ila ninyi waandishi mmezidi bana.
Waandishi wa bongo akili zao sawasawa na akili za wasanii
 
How old are you...??
Maana nisije nikajikuta nabishana kinder boy hapa
Kumbe tunabishana!!! Sikujua sina muda wa kubishana kwa mambo kama haya mkuu naomba radhi nikuache uendelee na ubishi.
 
ampe mimba huo uwezo wenyewe wa kutungisha anao ye mwenyewe akitoka kumpiga ebitoke mboo na yeye anaenda kuukalia
 
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwahio Ebitoke kapigwa hela kumbe. Kupeana fadhila za hela kwa dhamana/ahadi za mapenzi ni uzwazwa sana.

Hela inauma jamani hasa pale ambapo mapenzi yamekata ghafla kabla ya ahadi haijatimia. Unaweza kata shingo ya mtu hasa unaona bwege anakula hela yako na malaya mwingine duh🤣🤣🤣 lazma upigane.
 
Mwaka Jana kuna dada alijinyonga baada ya kuachwa vibaya na mwanaume ambaye alimfundisha mchezo mbaya wa nyuma na akawa ashamharibu (Nadhani alianza kuvuja Huko nyuma), pamoja na kushauriwa kote haikusaidia mwishowe akajinyonga. Mwanamke mwenye akili zake hawezi kuachwa na mwanaume akawa na hasira kiasi hiko Kama Hajaachwa na mimba, Hajaachwa na ukimwi, au hajatapeliwa kiasi kikubwa cha hela na pengine kuharibiwA Kama ilivyo kuwa kwa huyo. Ebitoke hao ndo wanaume akikuvua Kwisha habari yako.....ukimpata mmoja ukaweza kumkomoa na kulipa kisasi Fanya hivyo upite hiviiii[emoji1542]
 
It is obvious she is not fight for love, there is something behind all these. ILA kama ni mkerewe patachimbika
Hahaa wanawake wa ukelewe noma ,ukimuzingua anaweza kukutumai mamba chumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…