Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
- Thread starter
-
- #81
Hahahaaaa mleta thread kalanduka
Nilikuwa 12 yrs old cjui chochote
Umenikumbusha Mbal Mkuu Nakumbuka Kulikua Na Dada Mmoja Alikua Ndie Monita Wakat 2po Std 7 Wama P/s Alikua Anaitwa Patricia Nilikua Nampenda Xana Nahic Hata Yy Alikua Anajua Kua Nampenda Ndio Maana Hatakama Nacheza Class Alikua Haniandiki
....primary mtoto Mercy mweh mweh mweh....eti nilikuwa naota ndoto nimempakiza kwenye ndinga....wakati viatu nilikua navaa mwisho saa sita!! :becky:
umenikumbusha mdundo wangu wa enzi zile. Utanikoma sa sita
Hahahahaaaa mwisho saa sita mchana tulikuwa tunavilowanisha, au kuvijaza maji ndani lakini wapi!!! Unakumbuka gogo?
Mi balehe yangu ilikua sijui nzuri!Mi nilimzimia kweli ticha wangu muhimbili pr.aisee alikua na wezere la hatari!!!
Mi balehe yangu ilikua sijui nzuri!Mi nilimzimia kweli ticha wangu muhimbili pr.aisee alikua na wezere la hatari!!!
Dah! Chuo(sio university) kulikuwa na ticha mmoja,ambae alikuwa mtoto wa mkuu wa chuo!
Jamani jamani alikuwa akipiga min yake na mpasuo! Hayo mapaja yake rangi ya chungwa!! hapo mnara unasoma full,we ticha ulinitesa sana!!
...darasa tano nikamdondokea mtoto wa Mark Mwandosya alikuwa anaitwa Emanuel ila alihama mwaka huohuo tukiwa darasa la 5,hope alienda nje au international school....
Umenikumbusha Mbal Mkuu Nakumbuka Kulikua Na Dada Mmoja Alikua Ndie Monita Wakat 2po Std 7 Wama P/s Alikua Anaitwa Patricia Nilikua Nampenda Xana Nahic Hata Yy Alikua Anajua Kua Nampenda Ndio Maana Hatakama Nacheza Class Alikua Haniandiki
hihihii ulikuwa umewekwa kwenye hadidu rejea!!:becky:
Darasa la nne nilikuwa na spidi hatari! Maneno mengi na fix za hatari! kuna dem mmoja (Jacky) alizimika kinoma na alikuwa tayari kufanya matusi ila mimi ndukiii!!!
mhhhhh.....mapenz bhana...