Fanani? Wauhakika nawajibika kwenye fani? KILA kukicha? Dh tunaanza kuwa wazee Sasa.
Nilikuwa nasikliza Jeshi la mtu mmoja Mr2! V/s hard blastersMiaka nasikiliza huu music sisi wengine tulianza na michano ya Saleh Jabir ambaye yeye aliziimba nyimbo za miaka hiyo kwa kiswahili kama Ice ice baby n.k
Then Diplomatz, Gangster With Matatizo. GWM, kulikuwa na Weusi Wagumu Asilia, 2 Proud na nyimbo za Ni Mimi, Nachekelea kwenye Chezo n.k
Wakati huo alikuwepo Jos Mtambo na wimbo Kithaa thaa, Solo Thang alikuwa na wimbo wake mmoja umenitoka... Miaka ya 90s hiyo kama sikosei 94 au 95...
Hard Blasters walikuja kuwika baadaye kidogo late 90s nadhani kama sikosei 98 au 99... Kipindi hicho nami nlikuwa natunga mistari sikuwahi enda studio. Ila nlikuwa mdau mzuri wa Hip Pop... So akina Dully hawakuwa sehemu ya watu naowasikiliza nliona wanaimba nyimbo nyepesi za mabitozi.
Music wa nje miaka hiyo tunawasikiliza akina Nas, Mase, Puffy Daddy, 2 Pac, Naughty By Nature, Coolio. LL. Cool Jay, Notorious BIG etc tunapozea na akina Keith Sweet, R. Kelly, Boys 2 Men, etc
Babu nouma sanaTime inakimbia mzee. π
Tunaweza toa laana.
.. yooh mamsapu
.. jikaze moyo mama,
.. mapenzi sio ugomvi,
.. mapenzi si uhasama,
.. nipe nikupe, mimi hapa ni salama,
Fanani wa uhakika; amekuwa mtu mzima sana. Nimemuona juzi. π
Babu nouma sana
Juliet ya dully ndio ilimtoa mika rasmi.Tunapojadili ngoma kali za muda wote za BONGO FLEVA. Tusiache kujadili Mikono (Producers) waliozipika ngoma hizo;
MIKA ALEKSANTERI MWAMBA (MIKA MWAMBA). FM. Studios. Alipiga hii mipini.
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad Ice
Maria Salome - Saida Karoli
Kamanda + barua - Daz Nundaz
wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
Picco - Kikongwe
Kwenye Chati - Balozi
Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
Mkiwa - K sal ft Ferooz
Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
Raha tu - AY
Mambo vipi - Mchizi Mox
Solid Ground Family - Bush party
Juliet ya dully ndio ilimtoa mika rasmi.
Kuna producer pia enricoTunapojadili ngoma kali za muda wote za BONGO FLEVA. Tusiache kujadili Mikono (Producers) waliozipika ngoma hizo;
MIKA ALEKSANTERI MWAMBA (MIKA MWAMBA). FM. Studios. Alipiga hii mipini.
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad Ice
Maria Salome - Saida Karoli
Kamanda + barua - Daz Nundaz
wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
Picco - Kikongwe
Kwenye Chati - Balozi
Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
Mkiwa - K sal ft Ferooz
Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
Raha tu - AY
Mambo vipi - Mchizi Mox
Solid Ground Family - Bush party
Kuna kichwa kama bonny love na hit kama chemsha bongo.Ndio, Mika Mwamba alisema kupitia mahojiano na Ayo TV, hii ndio ngoma ilimtambulisha kwenye gemu.
Huyu jamaa alikuja kuboresha sound. Alikuwa noma sanaKuna producer pia enrico
MapReduce wa mwanzo kabisa nao
Ova
Kuna producer pia enrico
MapReduce wa mwanzo kabisa nao
Ova
Salehe Jabir kaka wa Salama Jabir anatakiwa kuenziwa yeye ndo alianza japo kwa ngoma za nje yeye akifanya dubbing kwa kiswahiliMiaka nasikiliza huu music sisi wengine tulianza na michano ya Saleh Jabir ambaye yeye aliziimba nyimbo za miaka hiyo kwa kiswahili kama Ice ice baby n.k
Then Diplomatz, Gangster With Matatizo. GWM, kulikuwa na Weusi Wagumu Asilia, 2 Proud na nyimbo za Ni Mimi, Nachekelea kwenye Chezo n.k
Wakati huo alikuwepo Jos Mtambo na wimbo Kithaa thaa, Solo Thang alikuwa na wimbo wake mmoja umenitoka... Miaka ya 90s hiyo kama sikosei 94 au 95...
Hard Blasters walikuja kuwika baadaye kidogo late 90s nadhani kama sikosei 98 au 99... Kipindi hicho nami nlikuwa natunga mistari sikuwahi enda studio. Ila nlikuwa mdau mzuri wa Hip Pop... So akina Dully hawakuwa sehemu ya watu naowasikiliza nliona wanaimba nyimbo nyepesi za mabitozi.
Music wa nje miaka hiyo tunawasikiliza akina Nas, Mase, Puffy Daddy, 2 Pac, Naughty By Nature, Coolio. LL. Cool Jay, Notorious BIG etc tunapozea na akina Keith Sweet, R. Kelly, Boys 2 Men, etc
D. Rob , ni kaka wa king crazy GK, inasemwa ivyo JE ni sahihi?R.I.P D.ROB
ova