Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

Si bora cuber kuliko ugoro 😀😀
 
Time inakimbia mzee. 😆
Tunaweza toa laana.

.. yooh mamsapu
.. jikaze moyo mama,
.. mapenzi sio ugomvi,
.. mapenzi si uhasama,
.. nipe nikupe, mimi hapa ni salama,

Fanani wa uhakika; amekuwa mtu mzima sana. Nimemuona juzi. 😊
Nipoze moyo mama, nimechanganyikiwa na penzi lako la maana
Mapenzi si ugomvi, mapenzi si uhasama,
Nipe penzi, nikupe hapa mimi ni salama
 
Oya acheni kipindi hiko ni nyimbo gani sikuijua? Nilikuwa na counter 4quires ilikuwa ni lyrics tupu za bongo flavour 😀😀😀 afu nipe swali la simultaneous equestion sijui ndiyo hivyo inaandikwa itajua enyewe kama kuna kitu najua!
 
Kuna kikao cha dharura, machozi jasho na damu, na ile nyimbo kabla ya kikao cha dharura sijui nipeni kura zenu ya Prof jize.....kuna ile wameimba na jide "uniamini nataka uwe na mimi watu wenye fitina walileta majungu uachane na mimi ye ye yee...hivi kwanini...inaitwa hiyo nyimbo can somebody help your mshangazi out there
 
Nyimbo za zamani ulikuwa ukiandikiwa dedication kwenye barua ile karatasi ya maua ziliitwaje zile karatasi? Akiii unasisimka weuuuw akiiii zilikuwa tamu zina ujumbe unaingia moyoni.....mapozi ya Mr blue kijana gani hakuitumia wakati huo kubembeleza? Mamsap nilikuwa naielewa nyie dah
 
Wabongo shida ubunifu zero na utulivu hakuna kabisa......hii ya miaka 30 imekuja baada ya kuona Jigga kule NY anaadhimisha miaka 30 ya album yake reasonable doubt basi nao wakacopy mpaka tarehe aisee.
 

Ofisini kwenu kwa sasa wanakuona mtu wa maana ... Kumbe ulikuwa na mambo mambo hayo. Watoto wako umewasimulia haya? Na huo mwili unaonekana mshangazi kweli kweli
 
Wabongo shida ubunifu zero na utulivu hakuna kabisa......hii ya miaka 30 imekuja baada ya kuona Jigga kule NY anaadhimisha miaka 30 ya album yake reasonable doubt basi nao wakacopy mpaka tarehe aisee.
Hakuna jipya chini ya jua, kufanya anniversary ya mtu, kitu, jambo vilikuwepo toka zamani
 
GWM na goma lao la wakati wote, YAMENIKUTA ft 2Proud(now SUGU/JONGWE/TAITA etc).

.....Nauli yenyewe mia hamsini, bora nishuke chini-niende kwa ma'ntilie, anijazie ee bwana, kiungwana....
Yamenikutaa, Yamenikuta mzee mwenzangu sina changu...kmmk🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
P-funk pia amepiga sana mabeat mazuri wazee kuanzia mzee wa busara , Nini mnataka mazee?? Hili la Nini mnataka nakumbuka lilikua linatumika kwenye kipindi flani star tv.
Nature nae mzee wa story nyingi kumbe ndo anaimba ivyo huku vioja vingi ndani yake.

Kuna wachuja nafaka 😀 halafu baadae likatokea beef la tmk halisi na wanaume family ikapigwa battle Kali ambalo tmk halisi walishinda.
Ngoma za wagosi wakaya traffic huyo, bush part na dknob elimu mtaani, Bado madojo na domo kaya dingi.
 
Mimi sijawai elewa ngoma za nature Mimi nakubali nature alikua na chorus Kali

Hit song

Hakuna kulala
Sonia
SITAKI demu
Inaniuma sana
Nini chanzo

Nyingine Huwa sizielewagiii
Nature ndio alikua king mzee, anaimba vitu vinachekesha na kama anapiga hadithi lakini nyimbo inakua tamuu.
Ubinadamu kazi, ofisi ni miguu , ugali, umoja wa tanzania
 
Sugu al
D. Rob , ni kaka wa king crazy GK, inasemwa ivyo JE ni sahihi?
Siyo kweli

Ova
 
Nini mnataka mazee ilikuwa inatumika kwenye kipindi cha Bongo beats cha Star tv kipindi cha Sauda Mwilima baadae alikuja kuondoka
 
Huo wa kuomba kura unaitwa NDIO MZEE baadae akatoa mwingine unaitwa SIO MZEEE.
Alioimba na Jide unaitwa NIAMINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…