Hakika mkuu...kopo za bati tuliunda sana magari...vidole vimejaa majeraha tu ila hatukukoma π€£π€£Sidhani kama za sasa unaweza kuzianika π
Ila mpaka leo tungekuwa na uvumbuzi mwingi sana
Viongozi na tamaa zao
Nishatokaga hukoUNAHITAJI MSAADA ZAIDI:
View attachment 3400871
Hiyo inaitwa taa ya kurunzi sio tochiUmesahau na tochi mkuu
πππ
Yote tisa kumi zamu ya kusafisha hilo chemliπ₯²π₯²Aisee miakao hio,
Unataumwa mafuta dukani tuwashie taaa, aisseeee, mama asipo kuta jioni taa haziina mafuta ni kipondoo siku hio ,π€£π€£