Uzi SI unataka tuchanganyikiwe tumeanza sasa πDogo tulia yaan una ulizia socket ππ
We ume wai mapema sana kama umekunywa gongoUzi SI unataka tuchanganyikiwe tumeanza sasa π
Kwahiyo unaweza ukatafutwa kumbe upo chini ya uvungu unachezea pes 5 yako πππHahahaha
Tulikuwa tuna yanunua mkuu,
Mchawi alikuwa betri tuπ€£π€£
Nimeuliza mara ya mwisho, ilikuwa 15,000Acha bas shingapi?
Duh kisa zina wekwa kwenye bar nowNimeuliza mara ya mwisho, ilikuwa 15,000
Unaenda dukani una ulizia sabuni ya komesha π
Kaka naona umenitajaπ€£π€£π€£π€£Aaaaaah
π€£π€£π€£
Komesha umenikumbusha mbali mwanaa
π€£π€£π€£
Last bornKwamba mkuu , mimi ni mdogo wenu ? Au sioooooπ π π π
Ila nyamwi wewe kuna kitu nimependaπ€£Hakuna jipya hapo
ππ ole wako uende na sabuni nyingine una anza kupigwa mpaka dukaniAaaaaah
π€£π€£π€£
Komesha umenikumbusha mbali mwanaa
π€£π€£π€£
Ndiyo, pia uadimu wake.Duh kisa zina wekwa kwenye bar now