Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

Wewe siyo wa kuongea maneno ya kiwango cha chini kama haya labda kama umeandika ukiwa baa.
Jaribu kuangalia stats za michezo yote utaona utofauti uliopo kwenye chances creation kati ya Simba na Yanga.

Kagere huenda akawa na zaidi ya one hundred career goals wakati Fiston Mayele ni siyo rahisi hata kufikia nusu ya magoli ya Kagere.

Kingine Kagere conversion rate yake ni kubwa kuliko striker yoyote kwenye ligi kuu yetu.
 
Wewe ni miongoni mwa mashabiki ninaowaheshimu hapa JF. Wengi wanaongea kishabiki kama ulivhofanya Leo ndo maana nikakulaumu. Huwwzi kumfananiaha Mayele na Sarpong hata kama umetoka usingizini. Ni kweli Conversion rate ya Kagere ni Bora japo umri unamtupa na kuwekwa benchi kunachangia kumpotezea confidence. Lakini Mayele siwezi kumunderrate kiasi hicho, angalia anavyopokea mpira, control, turning, dribbling na shooting yake halafu mfananishe na Sarpong!! Kwangu Mechi ya Ruvu imeniongezea Imani kwake na ninabaki kumkosoa katika udhaifu wake wa conversion rate.
 
Yeah it's true kwamba anajitahidi lakini kumbuka mechi nne za kwanza za Ligi Sarpong alikuwa na goli sawa na alizonazo Mayele.

Tofauti yao kubwa ni kwamba Mayele ni mobile zaidi kuliko Sarpong lakini kwenye conversion rate tumpe muda zaidi kumpima.
 
Yeah it's true kwamba anajitahidi lakini kumbuka mechi nne za kwanza za Ligi Sarpong alikuwa na goli sawa na alizonazo Mayele.

Tofauti yao kubwa ni kwamba Mayele ni mobile zaidi kuliko Sarpong lakini kwenye conversion rate tumpe muda zaidi kumpima.
Duhh....kweli mayele ni kama sarpong??[emoji1][emoji1]
 
Wachambuzi wengine hata akili ya kufikiria hawana, Yanga haimtegemei mchezaji mmoja mmoja kwenye kufunga. Na ndio maana unaona Mayele ana magoli mawili, feisali magoli matatu na Moloko ana magoli mawili. Simba saivi wwnalia lia na ma mastraika na ndio maana mpaka sasa hawaelewi ni nani anaweza kuwa msaada kwa timu maana wote ni maji kupwa maji kujaa. Siku akianza Kager kwenye kikosi cha kwanza basi atawakera mashabiki mpaka wamkumbuke Mugalu. Siku akianzishwa Mugalu atawakera mpaka wamuwaze tena Kagere.
 
Yanga hawatengenezi chances nyingi za kufunga kama Simba.

Lakini pia Fiston ni mchezaji daraja la chini kuliko Kagere namfananisha na Michael Sarpong tu.
Boss unazungumzia msimu huu au uliopita??😳😳
 
Boss unazungumzia msimu huu au uliopita??[emoji15][emoji15]
Yes this season.

Kinachokushangaza wewe ni kwamba Yanga wanatumia vizuri hizo nafasi kuliko Simba.

Hebu jaribu kuangalia nafasi walizotengeneza Simba dhidi ya Namungo na zile alizotengeneza Yanga dhidi ya Ruvu Shooting.?
 

Naona mmeniundia bunge
 
Nimeufwatilia huu uzi ila comment yako imenifurahishaa sanaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Amen
Ayo ni mawazo ya mchambuzi, Kama anamuona Kagere ni Bora kuliko Mayele huwezi kumpinga. Mwisho wa msimu kila kitu kitakua hadharani. Huitaji misuli ya shingo ikutoke kumtetea mchezaji, Kazi yake itaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…