Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

Usiwe unamlinganisha Mayele na vikongwe kama Kagere.
 
Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa mshambuliaji wa Simba Meddi Kagere...
Bado mnakataa?
 
Bado mnakataa?
Tuanze na nyie wenyewe wana Msimbazi mnaotaka Kagere aachwe pamoja na Bocco wake. Kama Kagere ni mwalimu mzuri basi endeleeni kumpanga kwa wingi aendeelee kumpa somo Mayele na sio kupiga kelele aondoke Simba.
 
Hili li kongoman hili ni zaidi ya hatarii,
 
Hawa hata uwaambie nini hawatakuelewa. Ni ushabiki ushabiki ushabiki maandazi kwa kila jambo.
 
Yanga hawatengenezi chances nyingi za kufunga kama Simba.

Lakini pia Fiston ni mchezaji daraja la chini kuliko Kagere namfananisha na Michael Sarpong tu.
Hizi ndo akili za mashabiki halisi wa kitanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…