Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UtopolozNi sahihi maana ni mbumbumbu mwenzenu-Rage Aden
Huu ushabiki wa kijinga peleka Facebook kwa makinda wenzio.Siku mashabiki wa UTO mkijua kuwa Feisal ni Ndemla aliyechangamka ndio mtajua hiki alichokisema Edgar Kibwana
KabisaSubiri nongwa kutoka utopoloni japo we mwenyewe umemnukuu edgar kibwana
Bado mnakataa?Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa mshambuliaji wa Simba Meddi Kagere...
Tuanze na nyie wenyewe wana Msimbazi mnaotaka Kagere aachwe pamoja na Bocco wake. Kama Kagere ni mwalimu mzuri basi endeleeni kumpanga kwa wingi aendeelee kumpa somo Mayele na sio kupiga kelele aondoke Simba.Bado mnakataa?
Naam.Mayele anazidi kujifunza toka kwa Kagere
SanaHili li kongoman hili ni zaidi ya hatarii,
Hawa hata uwaambie nini hawatakuelewa. Ni ushabiki ushabiki ushabiki maandazi kwa kila jambo.Mkuu umechangia thread kishamba sana,punguza nongwa kama kushangilia ata akina Ronaldo et all wanashangiliaga kwa nguvu sana as if wamebahatisha la hasha ni uwezo wao binafsi jana Mr Kagere lile goli nilimkubali sana mimi kama mpenda mpira wa miguu na sio shabiki wa mpira Kagere alionyesha ukomavu na uwezo binafsi katika soka as a pro,relax na penda mpira achana na ushabiki itakushushia heshima hapo ulipo its my hope mashabiki wenzie wasiopenda mpra watakusapoti..kila la heri hapo ulipo.
Hizi ndo akili za mashabiki halisi wa kitanzania.Yanga hawatengenezi chances nyingi za kufunga kama Simba.
Lakini pia Fiston ni mchezaji daraja la chini kuliko Kagere namfananisha na Michael Sarpong tu.
Bado ni soft?Ndio usoft wenyewe
Kumbe uligeuka tena?Sana