Edo Kumwembe na uchambuzi wa goli la Azizi Ki

Edo Kumwembe na uchambuzi wa goli la Azizi Ki

kaligopelelo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
2,832
Reaction score
4,070
09068feff2dab826d54aeb99e1750970.png


Haji Manara naye na uchambuzi wake

Hajis Manara, "Muitaliana Roberto Baggio alifunga goli kama hili kwenye Seria A Msimu wa 1991/92 na liliimbwa sana hilo goli duniani".

George Hagi, Mromania Star zaidi katika football na aliyetamba sana World Cup ya 1994 kule USA, alifunga goli kama hilo wakati akiitumikia Barcelona. Ilikuwa ni Mechi baina ya Barca na Granada kwenye kombe la Mfalme. Hagi alipasia kwa kuuswitch mpira kwenye nyavu ndogo, ilikuwa ni hadithi ya ukumbusho wa goli la Baggio.

Lakini bingwa wa kupasia nyavu duniani alikuwa Gary Lineker, Muingereza aliyetamba na Tottenham, Everton na Barcelona, style hii ya kufunga aliipenda sana na ilizoeleka Kwa kila shabiki wa soka kwa wakati huo.

Mabibi na Mabwana, sasa namleta kwenu Aziiz Stephen Kii, namba 10 mgongoni na style ile ile ya Lineker, Hagi na Baggio, hao pia walikuwa wavaa jezi namba 10 kama anayovaa Aziz.

NB: Sorry nimewakumbusha story ambazo hamwezi kupewa na wachambuzi wa mchele, ni lazma uwe umeiishi football ndio hata uwajue kina George Hagi wa dream team ya Barcelona Ya mwaka 1992.

@az_stephane10 🙌

#Bugati
 
Sijaliona hilo goli, lakini aina ya magoli ya kupress, yameshafungwa saana hapa, feisal kafunga national team.. Msimu uliopita rally in bwalya alifunga pia zote hizo hazikuwa habari,

Shida nini ni kwakuwa ki aziz hajafunga toka aje ama?
 
Kwani kipa uwanjani huwa anakwenda kufanya nini?

Yesu alipotembea juu ya maji wapo wapumbavu na wenye wivu kama wewe walisema kwakuwa hajui kuogelea ndio maana anatembea juu maji.

Jinga limited.
Nimesema halikuwa goli la kimaajabu sijasema namuonea wivu. Sina kitu kinachoitwa wivu kwenye mfumo wa Maisha yangu.
 
Na kama umewahi kucheza mpira ungempongeza mfungaji kwasababu magoli ya namna yanahesabika Kwa msimu.
Hata mfungaji hakutarajia ndio maana alishangilia kama kachukua ubingwa. Namkubali saana Aziz Kii, sina ubishi na ufundi alionao ila lile sio goli la kuanzishia thread.
 
Back
Top Bottom