Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa asilimia kubwa Mhe. Mbowe hana chake tena. Mhe. Mbowe kubali yaishe na ujitoe kwenye uchaguzi wa tarehe 21.1.2025. Wanachama bado wanakupenda na utaendelea kupendwa kwa sababu umekitoa CHADEMA mbali.
Acheni matokeo ya kura yaamue....ndio demokrasia hiyo.
 
Hilo tukio lilinifurahisha lakini kiukweli nilihuzunika sana, Mbowe sio wa kufikia hatua ile.

Mbowe anatupa wakati mgumu wa kumkataa kwa heshima aliyoijenga juu yetu.
Demokrasia ni uchaguzi, tuwaache wajumbe waamuwe.

Nilikuwa namuunga mkono sana Lisu, lakini nchi ni zaidi ya Lisu.

Genge la Lisu halina nia njema na nchi yetu na wala shida yao siyo kuchukuwq dola maana huwezo haupo kwa sasa kwa chama chocote kuitowa ccm madarakani, bali wana movement zao za kushindana na serikali.

Ni Mbowe pekee ndio anaweza kuleta utulivu wa kisiasa nchini.
 
Sawa
 
Saivu ndo amepata akili baada ya kutumika kwa muda kufanya spinning dhidi ya Lissu
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa asilimia kubwa Mhe. Mbowe hana chake tena. Mhe. Mbowe kubali yaishe na ujitoe kwenye uchaguzi wa tarehe 21.1.2025. Wanachama bado wanakupenda na utaendelea kupendwa kwa sababu umekitoa CHADEMA mbali.
Vp unajua kwl democrasia acha ushamba kwaiyo ndy nyie mnataka mtu apite bila kupgwa?
 
Mbona mnaogopa sanduku la kura, halafu mbona huyu mbaba mmemshambulia sana badala kueleza sera mbadala tofauti za Mbowe?
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa asilimia kubwa Mhe. Mbowe hana chake tena. Mhe. Mbowe kubali yaishe na ujitoe kwenye uchaguzi wa tarehe 21.1.2025. Wanachama bado wanakupenda na utaendelea kupendwa kwa sababu umekitoa CHADEMA mbali.
Mbowe usiachie chama kabisa,haiwezekani chama uneachiwa na baba mkwe wako,kisha uje uwape wageni,.......inawezekanaje mzee Mbowe chama ambacho wachaga wamejaa wakina Mrema.pale wanakula posho Kila siku,kisha uje uwape wakuja TU?
Hapana Mbowe,big nooooooooo
 
Sasa akilazimisha ushindi kwa kushirikiana na wana ccm ndiyo utakuwa mwisho wa chama cha CHADEMA ....Watu wanamuhitaji Lisu
Ee sema hapo,atapoteza wafuasi kwa asilimia kubwa
 
Aache kujifanya mchambuzi wa kila kitu japo ni kweli Sultan Mbowe Bin king'ang'anizi anatakiwa aondoke
Inakera sana mtu kujifanya kila kitu ni mjuwaji.

Yeye ni mchambuzi wa soccer, awaachie wachambuzi wa siasa wachambuwe nyege tu zinamsumbuwa.
 
E
Edo hajielewi kabisa...........hivi hata kama wewe umeachiwa chama kutoka Kwa baba mkwe wako,chama ambacho ruzuku inaingia moja kwa moja kwenye account ya familia,wanaukoo kibao wanatajirika kupitia hiki chama,Kisha from no where uje uwaachie wakuja tu,wakina Lissu.
Mbowe usiachie huu urithi wa familia hata iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…