Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

EATV sijui wana uchawi gani wale.....Majuzi nilikuwa naangalia habari kwenye hotmix ni noumaa ule mpangilio na usomaji hata habari za ITV cha mtoto.........Watangazaji wao sijui wanawatoa wapi......Production zao kali sana......hata kipindi cha skonga tulichojua kitakufa sasa hivi kinaendeshwa na wanafunzi wenyewe na wanaandaliwa vizuri hadi unashangaa........Kibongo bongo EATV ni next level kwa kila kitu.
Muangalie Musa Hussein wa sasa kwenye mwanadsm kule Clouds tv kama unaweza kuona kama yuko kwenye hata robo ya ubora alivyokuwa EATV!

Naona watu wanaikomalia star tv peke yake...wakati tv zote bongo ukiondoa Chanel 5 na Itv ni utumbo mtupu.
 
Ujawahi kumuona ila maelezo kibao,nadhani ungemuona server ya jf ingejaa kabisa...kweli nshomile kwa ujuaji siwawezi.
Mkuu matumbo pinga hoja zangu na kama umenisoma utagundua nimejaribu kuwaelezea Star TV zaidi kwa ujumla si yeye maana ninacho tizama baadhi ya vipindi vyao!
 
Last edited by a moderator:
Naona watu wanaikomalia star tv peke yake...wakati tv zote bongo ukiondoa Chanel 5 na Itv ni utumbo mtupu.
Hao wanao zungumza ni wapenzi wa Star TV na wanaiangalia ndio maana wanaizungumzia!
Nafikiri Star TV wakiona Haya wanafurahi maana wanajua kuMbe Kuna watu wana wafatilia na wana penda wabadilike!
 
Hoja yangu ni kwamba utamjadili vipi mtu ambaye ujawahi kumuona?...Tatizo la sahara media linafahamika nimedia house yenye vipindi vibovu ila sio kila mtangazaji ni mbovu..
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na majukumu na mbio za maisha. nakosa muda wa kufatilia TV. Ila kuna siku niliona hiyo kipindi mwanzo nilizani ni "futuhi" ile comedy ya STAR TV, Seriously
Hahahahaha jf yatosha Aiseee
 
Hoja yangu ni kwamba utamjadili vipi mtu ambaye ujawahi kumuona?...Tatizo la sahara media linafahamika nimedia house yenye vipindi vibovu ila sio kila mtangazaji ni mbovu..
matumbo jenga tabia ya kusoma kwa makini kabla ya kuchangia! Rudi kwenye post yangu soma tena niliicho andika!

Huyo sijamjadili zaidi ya kuijadili star tv na vipindi vingine!

Rudi usome nilicho andika!
Naomba upingane na nilicho andika!
 
Last edited by a moderator:
Mpaka mmemleta hapa inamaana mnamfatilia,mwanangu kapadona piga kazi haters wapo hata waskunyime usingiz mwisho wa mwezi kachukue chako kwa mkubwa.ovaaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
sio kwamba eti haters ila ndo ukweli hv unadhani kwanini asiwe tbway wa eatv au dullah na awe edson?...ukweli ni kwamba jamaa anatakiwa ajipange sana tuu ma'nake hana swagga za kusema eti nae mkali...na huo ndo ukweli!!
Sent from my iPhone using JamiiForums.
 
Mpaka kapata airtime inamaana n mkal

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Duh wabongo mnahate,lait kama huyu jamaa akipita hapa au kiongoz wake akiona hiz post mkataba ukiisha haongezew dau

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Naona watu wanaikomalia star tv peke yake...wakati tv zote bongo ukiondoa Chanel 5 na Itv ni utumbo mtupu.

Mi hata hiyo channel 5 na itv sijaona maprezenta wa maana zaidi ya kelele na maneno mengi yasiyo na maana. Tofauti na taarifa za habari za nchini huwa sina muda wa kuangalia station za bongo,hazina mvuto.... Watangazaji wanaongea utafikiri walia,kelele,majisifu ya kijinga.
 
Kuna mdada mmoja hivi ni producer pale ni noma sijui bado yupo eatv jina lake meena briliant kika ana sauti ya ukweli sema mara nyingi yeye huwa hatangazi ni muandaji ila akitangaza utatamani kipindi kisiishe
 
Kwa wale mnaofatilia show ya wallpaper startv mtakua mnamfaham huyu jamaa..mie binafsi
sijamkubali huyu mshkaji naona hana swagga na maujanja

ya kuwepo pale...pia
hata mwonekano wa kistaa hana kabisa

bora akatangaze kipindi cha michezo tu...ni maoni yangu wakuu

Malalamiko mengine tuwaachie wanawake(madem) tu mkuu !

Sasa we una mwonekano wa kistaa kwani !
Labda tuanzie hapo !
 
Anajitahidi sana yule kijana, atakuwa karithi kipaji cha ku entertain watu kutoka kwa baba yake ARLOUIS MABELE, lile gwiji la muziki ambalo kwa bahati mbaya halijafikia uwezo wa dangote platinum ndomo
 
Nimemuona jana lo pamba hapangilii, kwenye kuongea sasa loo inabidi abadilike kiukweliii
 
mi napitaga tu nkiona sura za ajabu ajabu km kachelewa interview naenda zangu kwa wahindi kuangalia movie au tv 1
 
Back
Top Bottom