matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Mnae mdiskasi huyo hapo sasa
Hahaha dah...kipindi kinaoneshwa lini?saa ngapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnae mdiskasi huyo hapo sasa
EATV sijui wana uchawi gani wale.....Majuzi nilikuwa naangalia habari kwenye hotmix ni noumaa ule mpangilio na usomaji hata habari za ITV cha mtoto.........Watangazaji wao sijui wanawatoa wapi......Production zao kali sana......hata kipindi cha skonga tulichojua kitakufa sasa hivi kinaendeshwa na wanafunzi wenyewe na wanaandaliwa vizuri hadi unashangaa........Kibongo bongo EATV ni next level kwa kila kitu.
Muangalie Musa Hussein wa sasa kwenye mwanadsm kule Clouds tv kama unaweza kuona kama yuko kwenye hata robo ya ubora alivyokuwa EATV!
Hao wanao zungumza ni wapenzi wa Star TV na wanaiangalia ndio maana wanaizungumzia!Naona watu wanaikomalia star tv peke yake...wakati tv zote bongo ukiondoa Chanel 5 na Itv ni utumbo mtupu.
Hao wanao zungumza ni wapenzi wa Star TV na wanaiangalia ndio maana wanaizungumzia!Naona watu wanaikomalia star tv peke yake...wakati tv zote bongo ukiondoa Chanel 5 na Itv ni utumbo mtupu.
Hahahahaha jf yatosha AiseeeKutokana na majukumu na mbio za maisha. nakosa muda wa kufatilia TV. Ila kuna siku niliona hiyo kipindi mwanzo nilizani ni "futuhi" ile comedy ya STAR TV, Seriously
matumbo jenga tabia ya kusoma kwa makini kabla ya kuchangia! Rudi kwenye post yangu soma tena niliicho andika!Hoja yangu ni kwamba utamjadili vipi mtu ambaye ujawahi kumuona?...Tatizo la sahara media linafahamika nimedia house yenye vipindi vibovu ila sio kila mtangazaji ni mbovu..
Mpaka mmemleta hapa inamaana mnamfatilia,mwanangu kapadona piga kazi haters wapo hata waskunyime usingiz mwisho wa mwezi kachukue chako kwa mkubwa.ovaaaa
sio kwamba eti haters ila ndo ukweli hv unadhani kwanini asiwe tbway wa eatv au dullah na awe edson?...ukweli ni kwamba jamaa anatakiwa ajipange sana tuu ma'nake hana swagga za kusema eti nae mkali...na huo ndo ukweli!!
Sent from my iPhone using JamiiForums.

Mpaka kapata airtime inamaana n mkal
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Mnae mdiskasi huyo hapo sasa
Naona watu wanaikomalia star tv peke yake...wakati tv zote bongo ukiondoa Chanel 5 na Itv ni utumbo mtupu.
Zaidi ya BBC Swahili na taarifa ya habari kwa mbaaaali huwa siangalii Star Tv...
Mi hata hiyo channel 5 na itv sijaona maprezenta wa maana zaidi ya kelele na maneno mengi yasiyo na maana. Tofauti na taarifa za habari za nchini huwa sina muda wa kuangalia station za bongo,hazina mvuto.... Watangazaji wanaongea utafikiri walia,kelele,majisifu ya kijinga.
Kwa wale mnaofatilia show ya wallpaper startv mtakua mnamfaham huyu jamaa..mie binafsi
sijamkubali huyu mshkaji naona hana swagga na maujanja
ya kuwepo pale...pia
hata mwonekano wa kistaa hana kabisa
bora akatangaze kipindi cha michezo tu...ni maoni yangu wakuu