gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
HahahahaWa kuhurumiwa na Dk Slaa aliyemkimbia sebuleni amemfata chumbani. Patamu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri pia wanaona wafuasi wao kama midabwada tu, ni hatari sanaSiasa ni ngumu kuliko physics... confirmed!
Na ili uujue ugumu wake ulivyo mkubwa, kesi ya kina Sioi, Shose na Kitilya inaenda kufutwa muda si mrefu.
Wanasiasa wakienda mbinguni motoni hakutakuwa na mtu.
Lowassa abaki huko huko ccm maana usalama wa mafisadi ni kuunga mkono juhudi
Jipe moyoKuanzia Ruge,Lowassa na huyo Magufuli a.k.a jiwe ni wanafiki tu.Nchi hii itapata ukombozi kupitia sisi wananchi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Lowassa alienda jana lumumba akijua wakuu wa chama wana kikao. Magufuli na wakuu wengine walikuwa katika kikao jana ndio lowassa akafika sio kwamba Magufuli alienda mpokea. Ilikuwa ni surprise.Mimi nimeshangaa kuona mpaka Uncle amampokea huyo kinyonga, Kiukweli mimi naona kurudi kwake jamaa hakuna nia njema hata kidogo wacha tusubiri 2020
Hiv Dk Slaa alitangaza kuachana na siasa au alitangaza kujiunga na chama gani?Wa kuhurumiwa na Dk Slaa aliyemkimbia sebuleni amemfata chumbani. Patamu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namhurumia sana mke wakeLowassa ndiye mwanasiasa wa hovyo kuliko wanasiasa wote walowahi kutokea nchi hii.... Afadhali angestaafu siasa kulinda heshima yake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna!CCM wamempokea malaya wa kisiasa asiye muadilifu. Hivi ndani ya ccm ya majizi na mafisadi nani ni mwadilifu?
Umemaliza kila kitu mkuuLowassa yupi? Huyu aliyeitwa malaya na pole pole? Acha upuuzi!
huyu na swahiba wake si ndiyo mafisadi tunao pambana nao ktk hawamu hii?Jamaa amerudi na nguvu zote tukae tayari
Hapa ndipo wananchi mnapokosea.Hesabu na "timing" ya nhe Lowasa ni zero na inampa taswira halisi.
Lowasa alihamia CHADEMA waliokuwa wamemwandama kwa kumtuhumu kwa ufisadi baada ya Mbowe "kubadili gia angani" ili kupata fursa ya kugombea nafasi ya uras kwa tiketi ya chama hicho. Akashindwa katika Uchaguzi Mkuu. Kumbe kama ilivyokuwa kwa Augustine Mrema, alistahili kushindwa. Naye asingetosha kuongoza nchi. Angewezaje kama hana anayoyaamiji wala msimamo?
Pamoja na nia yake ya kuhami mali zake dhidi ya pokonya pokonya ya mamlaka husika inayoendelea, heshima yake na jeuri ya kikwao viko wapi? Jambo la uhakika ni kuwa amejiabisha, amejimaliza, na hatathaninika na Watanzania.