Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Siasa ni ngumu kuliko physics... confirmed!

Na ili uujue ugumu wake ulivyo mkubwa, kesi ya kina Sioi, Shose na Kitilya inaenda kufutwa muda si mrefu.

Wanasiasa wakienda mbinguni motoni hakutakuwa na mtu.
Nafikiri pia wanaona wafuasi wao kama midabwada tu, ni hatari sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kazi ya Kwanza ya Rostam ulikuwa kumrudsha Ngoyai Na ameikamilisha kwa a haraka Sana Kuliko ilivyotarajiwa

Kazi ya pili kutafuta 'mawakala wa Tigo pesa' Kwenye Vyama vya Upinzani Na Ni rahisi Sana kwake Kuliko ya kumrudisha ngoyai
Kazi ya tatu Ni kurudisha Na Kuwa Middleman kati ya Wafanyabiashara Na SerIkal


Ila tukumbuke Rostam Ni Muajemi ukizubaa unaokota Mpira Nyavuni
 
Aiseee
IMG-20190302-WA0003.jpg
 
Mimi nimeshangaa kuona mpaka Uncle amampokea huyo kinyonga, Kiukweli mimi naona kurudi kwake jamaa hakuna nia njema hata kidogo wacha tusubiri 2020
Lowassa alienda jana lumumba akijua wakuu wa chama wana kikao. Magufuli na wakuu wengine walikuwa katika kikao jana ndio lowassa akafika sio kwamba Magufuli alienda mpokea. Ilikuwa ni surprise.
 
Lowassa ameakisi tu mentality na tabia za watanzania walio wengi: ubinafsi, undumilakuwili, unafiki na desire to survive. Hatujui alikuwa kwenye pressure ya namna gani kutoka kwa Jiwe pamoja na familia yake (kupokonywa mashamba, biashara zake, assets alizopiga kifisadi, kesi ya mkwewe etc).

Bila shaka hata hii timing ya kuhama sasa alipewa ultimultum na watu flaniflani. Mumtakie tu kheri akastaafu siasa penye neema huku akila pension yake. Ila kwa akili ya Jiwe, unaweza shangaa Lowassa anapewa ukuu wa mkoa somewhere
 
kwanza usiseme watanzania w0te tunasikitiko ju ya ruge, sema ww binafsi ndio unamasikitiko.
afu huyo ruge alikua nani haswa watu washindwe kufanya mambo yao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtazamo wa wangu; Magufuli alipenya kwenye mchakato wa CCM 2015 kwa ajili ya vita kundi la Membe na Lowassa!

Rejea alichosema, Nikiwa rais kuna watu wataama nchi!
 
Hesabu na "timing" ya nhe Lowasa ni zero na inampa taswira halisi.
Lowasa alihamia CHADEMA waliokuwa wamemwandama kwa kumtuhumu kwa ufisadi baada ya Mbowe "kubadili gia angani" ili kupata fursa ya kugombea nafasi ya uras kwa tiketi ya chama hicho. Akashindwa katika Uchaguzi Mkuu. Kumbe kama ilivyokuwa kwa Augustine Mrema, alistahili kushindwa. Naye asingetosha kuongoza nchi. Angewezaje kama hana anayoyaamiji wala msimamo?
Pamoja na nia yake ya kuhami mali zake dhidi ya pokonya pokonya ya mamlaka husika inayoendelea, heshima yake na jeuri ya kikwao viko wapi? Jambo la uhakika ni kuwa amejiabisha, amejimaliza, na hatathaninika na Watanzania.
Hapa ndipo wananchi mnapokosea.

Lowassa kabla ya kufikiria kuthaminika mbele ya watanzania anafikiria maisha yake binafsi.
 
Back
Top Bottom