lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Ufisadi wa lowasa ulianzia bungeni na siyo cdm mpk akaachia ngazi.Siasa ni siasa sheikh, kwanza nyie ndiyo mlianza kumuita fisadi, and then mkamwita mtukufu na kumpachika katika nafasi ya kugombea kiti cha urais!
Capacity charges zinarudiSijui tunakoelekea tunarudi tena nyuma? Kwenye mikataba ya kusainiwa mahoterini, kwenye umeme wa jenereta
Sent using Jamii Forums mobile app
Pokea mzoga wewe afadhar fisad limerud kwenu nguruwe pori wew.Kweli uzee dawa . Mzee amefanya jambo la kutukuka . Niliisha sema atakae baki CHADEMA apimwe akili kama ziko sawa . Tulikumiss mzee
Ameshasoma mchezo huyu. Anajua jinsi gani ya kula na jiwe. Mwanzoni alikaa pembeni kuangalia jiwe anapenda nini na hapendi nini.A.k.a the king maker. This guy ni moja ya watu wenye mbinu za kipekee kwenye siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
+impact ziliisha mara tu baada ya uchaguzi mkuu 2015.Mbona kila anayeandika humu anaona negative impact kwa ccm tu,vipi negative impact kwa CDM mbona haziandikwi au kusemwaswmwa sana
Chadema imeimarika sasa....tushajua nani ni naniYaan nimepata nguvu ghafla..Lowasa kastaafu tu siasa dadeq zako ww..tujuane tu chadema asilia..na kina nyalandu kama mmekuja kutudekshia imekula kwenu na sumaye kama unachapa lapa huu ndo mwaka wako..mtuache jaman na chadema
Ccm wanaona haya kumeza matapishi ila watafanyaje sasa...Chadema wakae kimya katika hili litaisha na kukosa nguvu wakilijibu tu wanalipa promo
Sasa ungefanyaje mkuu katika kipindi kama kile.Kura yangu jamani nilikukosea ni nini!?
Dah kumbe umeongea kama mkereketwaKama kuna Chama ambacho kipo makini na kina Vyombo vyake makini vya kufanya ' Tathmini ' na huwa ' hakikurupuki ' katika mambo ( maamuzi ) yake basi ni CCM. Nakuhakikishia huyo unayemuogopa au unayemtaka Bernard Membe hawezi kuwa ' CCM Flag Bearer ' hata Siku moja hata iweje na kama amekutuma upime ' upepo ' au umpigie ' chapuo ' mwambie kuwa asahau na awaze tu kufanya Kazi zingine. Na sijui ni kwanini baadhi yenu mnapenda sana kupoteza muda Wenu ' Kumjadili ' Membe wakati Mimi binafsi sioni ana ' threat ' gani ndani ya Chama changu imara na ' tukuka ' kabisa cha CCM.
Korosho korosho