Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Siasa ni siasa sheikh, kwanza nyie ndiyo mlianza kumuita fisadi, and then mkamwita mtukufu na kumpachika katika nafasi ya kugombea kiti cha urais!
Ufisadi wa lowasa ulianzia bungeni na siyo cdm mpk akaachia ngazi.
Hebu turudi kwenye kashfa ya mavi kwenye suluari ya lowasa majukwaani, inzi matakoni pa lowasa. Pumpas pa kunyea lowasa! Ilikuwa ni haki kumtamkia Yale? Je alistahili Yale? Maana kama kuharisha alitoka nako ccm, haya toeni pongezi kwa cdm, kwa kushika mavi ya uharo wa lowasa kumnawisha.
Kumtibu mpk uharo kukata,Leo hii ni msafi mmempokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Kurudi CCM kulinishangaza mwanzoni hasa kwa wabunge na madiwani kwa kuwa nilikuwa sijajua kama ni project ya ccm;

Ni sawa na Kuanzishwa kwa ACT mi mwanzo niliona kama ni tukio la kawaida, mpaka nilipojua kwamba ni project ya kuwagawa wana chadema ili nguvu ya chama ipunguwe,


Ila kurudi kwa Lowassa hakunistui.
Maana, sikuwahi kumwamini hata 50%

Na alipokuja Chadema alinipunguzia imani juu ya chama, hivyo kuondoka kwake kunanipa raha.


Sasa nawaasa viongozi wakuu wa chama,
Wampokee yeyote atakaekuja kujiunga, ila wasimpe madaraka yoyote, akae kama mwanachama tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe kabugi step kweli kukubali kumpokea Lowasa ,atajuta brain ya lowasa na uzoefu wake ni mkubwa sana kuliko Jiwe , hivyo atamchezesha kwata humohumo ccm mpaka atajuta na hataelewa na mwisho Jiwe atagalagazwa kama mtoto maana hatumia akili yeye ni nguvu tu na dola .
 
Kama kuna Chama ambacho kipo makini na kina Vyombo vyake makini vya kufanya ' Tathmini ' na huwa ' hakikurupuki ' katika mambo ( maamuzi ) yake basi ni CCM. Nakuhakikishia huyo unayemuogopa au unayemtaka Bernard Membe hawezi kuwa ' CCM Flag Bearer ' hata Siku moja hata iweje na kama amekutuma upime ' upepo ' au umpigie ' chapuo ' mwambie kuwa asahau na awaze tu kufanya Kazi zingine. Na sijui ni kwanini baadhi yenu mnapenda sana kupoteza muda Wenu ' Kumjadili ' Membe wakati Mimi binafsi sioni ana ' threat ' gani ndani ya Chama changu imara na ' tukuka ' kabisa cha CCM.
Dah kumbe umeongea kama mkereketwa
 
Back
Top Bottom