Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafuasi wa Lowassa huko CCM ni wale waliodhani atawanufaisha siku akiinuliwa enzini. In fact hata yeye aliwatafuta kwa gharama kibwa (mtandao wa Lowassa).

Kwa hali ya sasa Lowassa hawezi tena kufika Ikulu (kwenye enzi). Hilo linaua influence yake na litapunguza sana idadi ya wafuasi kama wapo.

Lowassa karudi CCM kutafuta au kulinda terminal care tu!
Kazeeka. Kachooka!
 

Bora hata Kikwete alikuwa na ujanja wa mjini, huyu peasant anaingizwa kingi mchana kweupe.
 
Msishangae kurudi W kwa Jerry Sla kwenye siasa za CCM. Jerry ni product ya The King Maker
 
😀😀😀😀😀😀😀
 
Katika watu wachache waliolifahamu jambo hili labda kwa miezi 6 iliyopita mimi ni mmojawao , sina wasiwasi wala shaka yoyote ile

mimi nilipata hisia fulan nadhan oct au nov..nikasema hapana bwana..jamaa àlikua amemute sana..pumbavu sana
 
Anayewaambia Membe ananguvu za kupingana na katiba ya chama 2020 ni nani? Membe hata akigombea hawezi kumshinda JPM ambaye ndiye aliyeshika hatamu. Jiandaeni kwa 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…