Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

wale wapiga deki na kufagia barabara apite km nawaona wanavyofyonya huko walipo😀
 
Wazungusha mikono ha ha ha; mabadilikooo lowassa, lowassa mabadilikooooooo. Nyumbani kumenoga. Mungu mbariki Lowassa.
Mlikuwa mnasema kajinyea, mara mafisadi yamekimbilia Chadema. Mara mgonjwa,Sasa nyienyie..mnakula matapishi yenu!!! Ccm wajinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…