Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama


Inawezekana unachosema mkuu!

Ila lile zee watu wanalichukulia kua ndio limekufa na Jiwe aka-relax,anaweza kuumia!

CCM mle kuna kambi mbili,kambi ya jiwe haina watu wengi sana,kuna ile kambi ya akina Nape,Membe,January,etc,ile ina watu kibao na jinsi Lowassa kaingia,wanaweza piga fitina chini kwa chini Jiwe akajikuta hayupo kwenye kura!

I smell something here!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika Siasa Ni mchezo Mchafu sana toa maoni Yako hapa je unahisi Alichokifanya ni sahihi au Kashinikizwa au kaona Dalili hazisomi Huko??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Slaah aliyasema haya akaonekana Mwehu

Sasa wale Waliomvua Ufisadi na Kumsafisha usijeshangaa Wakamrudishia tena ufisadi wake

Ndiyo utajua Kuwa Watanzia Kwenye siasa ni Inconsistent.

Sasahivi Kuna Wengine Wameshaanza kusema Hakuwa na Impact yoyote wakati alipewa mpaka Nafasi ya Kugombania Uraisi

Kumbe alipewa mtu ambaye hana Impact aje atuongoze?

Kikubwa na cha Msingi kazi aliyotumwa ameshaikamilisha!!
Ile Wabunge na Madiwani Kuzitosa nafasi zao na Kuunga Juhudi za Mkuu haikuwa bure.. Ni yeye ndiye aliyewapeleka.
Na ni yeye ndiyo sababu ya Slaa kuondoka Chadema..
Na ni yeye ndiye aliyewavuruga Chadema Katika Uchaguzi wa Mwaka 2015.
 
Duh nimekumbuka yale matusi ya MSUKUMA eti Mzee Lowassa ali..yea kweli siasa usimtukane mtu sijui Msukuma atauweka wapi uso wake.
 
Ni wakati viongozi wa upinzani kujitambua na kujiandaa vyema kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu mwakani.

Hivyo basi, kurejea kwa Lowassa CCM isiwe mjadala mkubwa katika mazingira niliyoyataja ila kujipanga vilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kipindi cha kua na akiba ya maneno.

Maendeleo hayana chama
 
Lowasa ana nyota ya pesa Lowasa na Membe ndo wenye kuweza kusimama na ukawa 2020 wakashinda na kurudisha hadhi ya ccm nje ya hapo ukawa njia nyeupe,ccm mpya haiuziki si mtaani,msikitini wala kanisani,
 
What a timing! Kwenye msiba wa Ruge. Kila la heri msaka fursa ya uraisi. Ila cdm mmetia aibu katika hili. Nafasi kubwa kama ya uraisi mnampa mamluki agombee?
Kosa siyo kosa , kosa ni kurudia makosa mkuu

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu Lowasa kua ipo siku atarudi CCM.
Hayawi hayawi na leo hii yamekua

CHADEMA bado hamjapata kiongozi - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…