Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Hahaaa 2020 hiyooo! Anaenda kujikatia kipande chake alichokibakisha awali! Kumbuka alikuwa na ccm yake ndani ya ccm! Mchezo alioutumia wa kuondoka na sehemu ya jeshi na kwenda kuliunga na jeshi jipya ili kupata jeshi kubwa na imara inaweza kuendelea kumweka kwenye ramani ya siasa ila kuhusu madaraka asahau!! This time anaweza kuondoka na kijipande kidogo tu kutoka chadema ambacho hakitamsaidia kama kile alichokibandua kutoka ccm 2015!! Pia labda anaogopa kuwekwa jela nna umri wake ule!!
Inawezekana unachosema mkuu!
Ila lile zee watu wanalichukulia kua ndio limekufa na Jiwe aka-relax,anaweza kuumia!
CCM mle kuna kambi mbili,kambi ya jiwe haina watu wengi sana,kuna ile kambi ya akina Nape,Membe,January,etc,ile ina watu kibao na jinsi Lowassa kaingia,wanaweza piga fitina chini kwa chini Jiwe akajikuta hayupo kwenye kura!
I smell something here!